Katika miaka ya mapema ya 2000, tasnia ya teknolojia ilikuwa ikiendelea lakini haikuwa na utofauti. Wafanyikazi wengi wa teknolojia walikuwa wazungu na wanaume, na wanawake na watu wa rangi...
Utangulizi
Katika dunia ya leo, kanuni za uwajibikaji na utawala bora zimeibuka kuwa nguzo muhimu kwa maendeleo na maendeleo ya mataifa. Maandishi haya yanaangazia Tanzania kama kielelezo cha...
Elimu ni nini? Ni ujuzi ambao kitu chochote au mtu yeyote mwenye ufahamu anaupata ambao atamsaidia katika maisha yake ya kila siku. Unapopata ujuzi katika maisha ni moja ya njia ya kujikomboa na...
Baada ya kuona ugumu wa maisha nchini, Kama Mtanzania, Mzalendo, nikaamua kuingia mitandaoni kutafuta na kujua sababu yake ni nini? Nilipopitia baadhi ya mitandao ya kitaifa na kimataifa. Nimekuta...
UTANGULIZI
Kodi ni muhimu kwa kila mwananchi, kwa maana hutoweza kuiwajibisha serikali kama hulipi kodi. Pia ni muhimu kulipa kodi ili kupata huduma bora kama elimu, ulinzi, afya na miundombinu...
Mabadiliko ndio kila kitu.
Tanzania na Afrika kwa ujumla Ina matatizo yanayofanana kwenye kila nyanja elimu,uchumi,utawala,kilimo,afya sayansi na teknolojia.
Elimu tunayowapa watoto wetu...
Wengi sana wamekua wakitazama nadharia ya uhuru katika sura ya kawaida tofauti kidogo na mimi,Mimi nautazama Uhuru kwa njia ya kifalsafa zaidi. Ili taifa liitwe taifa huru Kuna mambo makuu manne...
Utangulizi
Hifadhi nyingi za barabara nchini Tanzania zimeingiliwa kwa matumizi mbalimbali ya wananchi wakiwemo wafanyabiashara na watoa huduma wadogo wadogo wakati na wakati mwingine wale...
UWAJIBIKAJI: SULUHISHO LA CHANGAMOTO ZA SEKTA YA AFYA NA UBORA WA HUDUMA ZA AFYA
Imeandikwa na: MwlRCT
I. Utangulizi
Je, unajua kuwa uwajibikaji unaweza kuboresha sekta ya afya nchini...
Mh. Nuru kuweka mwangaza gizani
Katika Kijiji kimoja cha Tutafika , nchi ya Gizani, kulikuwa na kiongozi wa kipekee aliyeitwa NURU GIZANI, Jina lake lilimaanisha "kufunuliwa au kuondolewa Kwa...
UTANGULIZI
Sheria ya ndoa Sura ya 29 ya mwaka 1971 iliyofanyiwa marejeo mwaka 2019 ni sheria kuu inayosimamia masuala ya ndoa nchini Tanzania. Sheria hii inakabiliwa na mapungufu mengi na...
UTANGULIZI
Kumekuwa na usumbufu mkubwa linapokuja suala la kupata vitambulisho vya taifa, hakuna sababu za msingi za kwanini inachukua mpaka miaka 4 mtu anakuwa anafatilia kitambulisho hiko bila...
Utangulizi
Kelele zilisikika zikisema “watu ambao wanasema vijana tukajiajiri ni wale waliokaa maofisini, wao tayari wana vyeo na nafasi, kujiajiri sio kitu rahisi, ingekuwa ni rahisi na wao...
Suala la kuthamini utamaduni wetu katika nchi zetu za Afrika, mfano Tanzania limekuwa changamoto kubwa sana. Utamaduni wetu umeonekana kuwa taka, unaonekana kuwa ushamba na kuonekana kama mambo...
Utangulizi:
Uwajibikaji ni msingi muhimu katika jamii yoyote iliyo na utendaji mzuri, ikilenga kuwafanya watu na taasisi kubeba jukumu la vitendo na maamuzi yao. Katika muktadha wa jamii na...
Haya ndiyo maisha haijalishi ni mambo gani unapitia, lakini fanya jambo moja kuwa hai, kwamba haya ndiyo maisha.
Nimewaza sehemu niliyopo sasa, na pia nikafikiria niliko toka, nikashika tama...
Nini maana ya Pesa
Pesa ni njia ya kubadilishana ambayo kwa ujumla hukubalika katika biashara za bidhaa, huduma, au madeni.
Inaweza kuwa katika fomu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na sarafu halisi...
UTANGULIZI
Msanii ni mtu anayetumia lugha kufikisha ujumbe( kazi zake za sanaa) kwa jamii. kwa lengo la kuburudisha na elimisha.
Katika kutoa maana halisi ya fasihi simulizi kwenye kipengele...
Utangulizi
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeonyesha uwezo mkubwa wa ukuaji wa kilimo, kwa kuwa na ardhi yenye rutuba, hali ya hewa rafiki na rasilimali nyingi za asili. Hata hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.