Taifa la Tanzania lenye utajiri mkubwa wa maliasili na urithi wa kitamaduni, limepiga hatua kubwa katika sekta mbalimbali za kiuchumi, zikiwemo kilimo, madini, viwanda, ujenzi, utalii na huduma...
Kumekuwa na changamoto kubwa ya utawala bora na uwajibikaji katika sekta ya afya nchini Tanzania. Changamoto hii inajitokeza kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ufinyu wa bajeti, upungufu wa...
HAKUNA HAKI BILA UWAJIBIKAJI, HAKUNA UWAJIBIKAJI BILA UAMUZI, HAKUNA UAMUZI BILA UHURU.
Uhusiano kati ya Haki, Uwajibikaji, Uhuru na Uamuzi: Kuelewa umuhimu wake katika Maendeleo ya Jamii
Na...
Wazo la kuwa na sarafu moja ya Afrika limekuwa likijadiliwa tangu mwanzoni mwa miaka ya 1980, na jitihada zimefanywa katika miongo iliyofuata kuelekea lengo hilo.
Matumizi ya sarafu moja katika...
Usalama ni suala muhimu sana katika maendeleo ya nchi yoyote, na Tanzania sio tofauti. Katika juhudi za kuboresha usalama na kulinda raia wake, serikali ya Tanzania inaweza kutumia vifaa vya...
Kulikuwa na mtu mmoja anayeitwa Mwanaisha ambaye alikuwa amejiandikisha kwa bima ya afya ili kuhakikisha kuwa yeye na familia yake wanapata huduma bora za afya. Hata hivyo, aligundua kuwa bima...
“Labda kesho nitafanikiwa…Labda ni kwa kua sikusoma...au Labda sina nyota”. Ni msururu wa mawazo unaopita kwenye akili ya kijana Rakimu ila siku asubuhi kabla ya kuamka na kufungua dirisha na...
Taifa katika kuhakikisha tunazipiga hatua na kusonga mbele kwa maendeleo ya sasa na vizazi vijavyo hatuna budi kuhakikisha tunawekeza nguvu katika sera safi na bora, elimu yenye kiwango na...
Na: Mr Potocal
Kwa sababu ya athari mbaya inayoonekana katika kuchukua hatua juu ya mabadiliko ya hali ya hewa, ushirikiano wa kimataifa unahitajika ili kuleta mabadiliko ya kina ambayo...
Tanzania, nchi yenye uwezo mkubwa, imekuwa ikikabiliana na changamoto katika mfumo wake wa elimu kwa miaka mingi. Miundombinu duni, uhaba wa walimu, upatikanaji mdogo wa elimu bora, na ukosefu wa...
Je, ulishawahi kutembelea tovuti gani ya taasisi ya kiserikali?Ni kweli kuna watu wako nyuma ya mifumo hiyo na wajibu wao ni kutufikishia huduma nzuri ya mtandaoni.
Inasikitisha wakati ambapo...
Nuru ya uwajibikaji
Mara nyingi, nchi yetu ya Tanzania imejikuta ikisakamwa na changamoto nyingi za utawala bora na ukosefu wa uwajibikaji. Lakini katika kiza kirefu, nuru ya matumaini inang'aa...
Utawala wa afya na ustawi ni nguzo kuu ya utawala bora; unaongozwa na mfumo wa thamani unaojumuisha afya kama haki ya binadamu, sehemu ya ustawi na suala la haki ya kijamii.
Moja kati ya haki ya...
Kutokana na Mabadiliko ya Tabia nchi, kumekuwepo na maeneo mengi sana ya nchi ambayo hupata mvua ndani ya mwezi na nusu tu na mvua hupotea mazima, au wanapata mvua miezi miwili pekee.
Arusha ni...
Utangulizi
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepata maendeleo makubwa katika sekta mbalimbali, ikiwa na ukuaji mkubwa wa uchumi na maendeleo. Hata hivyo, kama nchi nyingine nyingi, bado...
Andiko la Kuchochea Utawala Bora na Uwajibikaji katika Sekta ya Afya.
Utangulizi:
Sekta ya afya ni muhimu sana katika maendeleo na ustawi wa jamii. Ili kuhakikisha huduma za afya zinatolewa kwa...
HADITHI YA WANYAMA WA MSITU: JINSI UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA ULIVYOSAIDIA KULETA MABADILIKO CHANYA KATIKA JAMII YAO.
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Picha | Msitu wa kijani kibichi
Katika...
Vijana wengi wa Kitanzania Wanatumia Dawa za Kuongeza Nguvu za Kiume. Tatizo ni Nini?
Hivi karibuni, nilibahatika kusafari na kutembelea jiji la Dar es salaam Tanzania. Jiji la Dar ni jiji lililo...
MICHEZO ni shughuli ya kiburudani iliyopangwa kwaajili ya malezi na afya ya mwili.kuna aina nyingi za michezo kama masumbwi, mpira wa miguu, mpira wa magongo, mpira wa wavu, mpira wa pete, mpira...
Dunia inaenda kasi sana kwenye swala la maendeleo ya teknologia.
tumekuwa tukishuhudia ongezeko kubwa sana la uanzilishaji na uendelezaji wa teknologia, pamoja na kuwa maendeleo haya yameshuhudiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.