Kwa mujibu wa Wikipedia, Afya ni hali ya kujisikia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa. Hivyo basi, ili binadamu awe na afya iliyo bora yaani asisumbuliwe na...
Wakati tuko kwenye wimbi kubwa la watanzania na dunia nzima kuathiliwa na magonjwa na changamoto za kisaikolojia au magonjwa ya Akili, bado serikali ya Tanzania haijatengeneza miundombinu ya...
MAWAZO YENYE ATHARI CHANYA: KUCHOCHEA MAENDELEO NA MABADILIKO KATIKA JAMII
Imeandikwa na:Mwl.RCT
Picha | Kwa hisani ya 'training'.au
1. UTANGULIZI
Katika jamii yetu ya leo, mawazo yana nguvu...
Nchi yetu inakumbwa na majanga mbalimbali kila mwaka. Majanga haya yanaweza kuwa ya asili au yasiyo ya asili (artificial). Ukipitia vyombo mbalimbali vya habari kama televisheni, redio au magazeti...
Mafanikio thabiti juu ya elimu Kwa ngazi zote hupelekea hamasa ya utendaji na uwajibikaji wa hali ya juu katika sekta au kazi fulani. Hii hutokana na kuundwa Kwa msingi imara kipindi mwanafunzi...
Utawala bora na uwajibikaji ni misingi muhimu katika kujenga jamii yenye maendeleo thabiti na ustawi. Utawala bora unahusu mfumo wa uongozi uliojengeka kwa msingi wa uwazi, uwajibikaji...
Michezo imekuwa sehemu muhimu sana katika jamii yetu hivi sasa. Inawezesha watu kujenga afya na kuwa na uhusiano mzuri na wengine. Hata hivyo, michezo haitakuwa na maana kama haitaendeshwa kwa...
Elimu inahitaji kuzingatia utofauti na usawa. Uongozi bora unahitaji kuheshimu na kuthamini tofauti za kitamaduni, kijinsia, na kiuchumi. Shule na vyuo vinapaswa kujenga mazingira ya kujifunza...
Kudra za mwenyezi Mungu ndiyo zimetupa afya na nguvu ya kufanikisha kuandika hili na wewe ndugu, kupata nguvu na uwezo wa kusoma hili andiko kuhusu
Nchini Tanzania, Mzozo wa Mkataba wa Mlimani...
Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki yenye wakazi zaidi ya milioni 58. Nchi ina mfumo wa vyama vingi vya siasa, na wananchi wake wana haki ya kushiriki katika mchakato wa utawala kwa...
TIBA YA MSONGO WA MAWAZO.
Utangulizi.
Msongo wa mawazo ni hali ya mtu kuzongwa na mawazo hasi ambayo mara nyingi hupelekea matokeo mabaya Kwa muhusika hasa pale asiposaidiwa au asipojisaidia...
Ajira ya watoto na umaskini hufungamana pamoja na kama tutaendelea kutumia kazi za watoto kama tiba ya gonjwa kuu la kijamii la umaskini, tutaendelea kuwa maskini na ajira ya watoto itaendelea...
Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika kukuza maendeleo ya nchi yoyote. Katika Tanzania, kama nchi nyingine, sekta muhimu kama biashara, viwanda na usafirishaji,na sekta ya kilimo na...
Nini maana ya afya?
Afya ni hali ya kujisikia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na maradhi au ugonjwa wowote.
Afya bora hutokea pale ambapo binadamu anafuata taratibu zote...
KUEPUKA SHERIA ZINAZODHIBITI KUPITA KIASI
Ili kuboresha sera zinazotekelezeka na sheria zinazowezekanika..Kutokubadilika kwa matokeo kunapoteza rasilimali na fursa, huzalisha sera zisizoitikia...
Tanzania ni moja ya nchi zenye kilimo kikubwa barani Afrika na inachukuwa kama nguzo moja wapo ya uchumi wa nchi.Takribani asilimia 75 ya Watanzania wanajishughulisha na kilimo kinachotegemea...
Nalia juu ya kizazi changu,nalilia kizazi changu,Nalilia kizazi cha taifa langu,hakuna mzazi afurahiaye kuharibika kwa binti au kijana wake wa kiume.Ulimwengu unapoenda hakuna ajuaye,Watoto wengi...
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekabiliwa na changamoto kubwa katika kufikia uwajibikaji na utawala bora katika sekta mbalimbali. Ripoti ya hivi karibuni ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...
Kama jamii ya watanzania na Kwa maadili yetu, tunategemea kuona watoto wa kike wakipata malezi Bora na ushauri nasaha kuhusu mahusiano na athari za mahusiano ya kimapenzi hasa Kwa wale wa mwaka wa...
UTANGULIZI
DP World ni kampuni ya kimataifa inayojihusisha na uendeshaji wa bandari na miundombinu ya usafiri wa baharini. Jina "DP" linasimama kwa "Dubai Ports" kwa kuwa kampuni hiyo ilianzishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.