SoC03 Threads

  • Suggestion Suggestion
RASILIMALI ZA UMMA Rasilimali zinazoonekana za umma ni rasili¬mali zinazoshikika (kama vile miundombinu ya kuonekana, majengo, vifaa, mali na mali¬asili) ambazo zinamilikiwa na/au kusimamiwa na...
0 Reactions
2 Replies
466 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Kwa yanayotokea nimejifunza kuwa, HADITHI AMBAYO NI MUHIMU KWAKO, NI MUHIMU KWETU PIA Uhuru-wa-kujieleza na ufahamu wa vyombo-vya-habari na habari una uhusiano wa ndani.Ujuzi wa vyombo-vya-habari...
0 Reactions
0 Replies
293 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi. Kwa miaka mingi sana vijana wakiume walikua wakipewa kipaumbele katika nyanja tofauti tofauti lakini mambo yalianza kubadilika pale matukio ya unyanyasaji wa ulipoongezeka hasa kwa...
0 Reactions
0 Replies
339 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Fursa za uwekezaji Teknolojia ya mbao na bidhaa zisizo za mbao zinatupa fursa nyingi za uwekezaji kama Taifa. Mianzi nchini kwetu ni kitu cha kawaida lakini ni malighafi inayotumika kuongeza...
1 Reactions
2 Replies
886 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Ili maisha bora yaendelee kila kiumbe kinchopumua kinahitaji chakula kwanza ndipo mambo mengine yaweze kuendelea. Lakini siyo chakula tu bali inahitajika kutambua kwanza usalama wa hicho chakula...
1 Reactions
1 Replies
268 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi Uwajibikaji ni ile hali ama kitendo cha mtu kutimiza majukumu yake yanayompasa kufanya bila kuwepo na shuruti ya aina yoyote. Katika huu ulimwengu wa sasa inamfaa kila mtu awe...
2 Reactions
2 Replies
391 Views
Upvote 4
  • Suggestion Suggestion
Uwajibikaji na Utawala Bora Mapendekezo ya Kubadilisha Mfumo Utangulizi : Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu katika kukuza demokrasia na maendeleo endelevu katika nchi yoyote. Katika...
1 Reactions
1 Replies
759 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Utangulizi : Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu katika kuboresha sekta ya elimu ya Tanzania. Ili kuleta mabadiliko chanya, ni muhimu kufanya marekebisho katika mfumo wa elimu ili kuongeza...
1 Reactions
1 Replies
699 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
NJOZI NJEMA ILA USINGIZI HAUISHI. Katika nchi ya Tanzania tangu tulivyoingia kwenye mabadiliko ya mfumo wa kidunia tulibeba dhana kwamba elimu ni mojawapo wa msingi wa ukombozi wa fikra kati yetu...
1 Reactions
1 Replies
261 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
FALSAFA YA JULIUS NYERERE: UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KAMA MSINGI WA MAENDELEO YA KIJAMII KATIKA AFRIKA Imeandikwa na: Mwl.RCT I. Utangulizi Uwajibikaji na utawala bora ni muhimu sana katika...
1 Reactions
1 Replies
720 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Shukuru umeiona tena hii weekend. Shukuru safari zako za wiki zilikua salama. Shukuru kwa ulichojaaliwa kupata kwa wiki, hata kama ni kidogo. Shukuru kwa kuwa upo salama sasa, japo sjui unasoma...
1 Reactions
1 Replies
320 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Uchumi wa nchi yetu utegemee zaidi kilimo kwa kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa Tanzania basi sekta hii ipewe bajeti nzuri kwa ajili ya wakulima (mikopo) na kupunguza garama za pembejeo mfano mbolea...
1 Reactions
1 Replies
376 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Nimeanza na swali hili ambalo lilikua ni wito kwa serikali zote Duniani kuhusu kusambaa kwa taka za plastiki katika mazingira yetu. Kiukweli taka za plastiki ni hatari Duniani kote si kwa binadamu...
1 Reactions
3 Replies
888 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
UMENIFUNDISHA KUFUNDISHA Jumatatu moja tulivu, wanafunzi wa darasa la tano waliingia darasani baada ya kutoka Paredi. Mwalimu mgeni machoni mwao akaingia darasani. Wanafunzi wote wakasimama na...
1 Reactions
2 Replies
536 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Mabadiliko kuhusu uwajibikaji au utawala bora katika nyanja mbalimbali kama elimu, afya, malezi, teknolojia, na sheria linaweza kuwa na athari kubwa katika kuboresha huduma na maendeleo katika...
2 Reactions
2 Replies
346 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Nchi yenye watu takribani milioni 70. inategemea maamuzi ya mtu mmoja. Ambaye kakalia kiti Cha utawala. pamoja na kuwa na jopo la washauri lililosheheni wasomi wenye shahada kubwa. Lakini Saini...
2 Reactions
2 Replies
960 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Mapinduzi ya viwanda yalileta mwamko mkubwa sana katika mataifa ya magharibi katika uzalishaji mali na kuudondosha mfumo wa “utumwa” baada ya kutengeneza zana bora za kiutendaji ambazo zilianza...
1 Reactions
1 Replies
432 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Tovuti za wizara ya elimu zimekua na muundo ule ule tangu awali zilipotengenezwa hadi leo, hakuna vyumba vipya ambavyo vinabeba maudhui mapya ya kutoa msaada kwa wanafunzi. Wote tunajua...
1 Reactions
1 Replies
456 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Ni Kupunguza Wimbi la Kurejea Kwenye Uhalifu Kila Mwaka, Tunaposheherekea Sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania), Ambaye Pia ni Amiri...
1 Reactions
4 Replies
708 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Hii ni kampuni ambayo ilikufa kutokana na utawala wao mbovu hasa kwa walio juu yaani mkurugenzi na mameneja kwani walikuwa wakiwaendesha sana wenzao wa chini waliokuwa wafanyakazi wenzao ambapo...
0 Reactions
0 Replies
330 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom