SoC03 Threads

  • Suggestion Suggestion
Andiko kwa Wizara ya Michezo: Kuboresha Uwajibikaji na Utawala Bora Natumai andiko hili litaleta chachu katika hali njema na hamasa ya kuleta mabadiliko chanya katika sekta ya michezo nchini...
1 Reactions
1 Replies
521 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Maisha yanaenda kwa Kasi na Kila kitu kinabadalika, muda mwingine nakaa nakutafakari je tuendako ni sahihi ? Je, ni kheri kurudi miaka ya zamani au kwenda mbele bila kujua kinachotusubiri? au ni...
1 Reactions
1 Replies
439 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Tanzania, kama taifa linaloendelea, inakabiliwa na changamoto nyingi. Kujenga mfumo imara wa uwajibikaji na utawala bora ni muhimu sana kwa maendeleo endelevu na ustawi wa nchi yetu. HAYA NI...
2 Reactions
2 Replies
768 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Ilikuwa majira ya kiangazi saa Saba mchana, mbingu ilionekana na uhaba mkubwa wa mawingu hali iliyopelekea jua kuwa Kali sana kuliko ilivyozoeleka. Joto lilikuwa Kali sana kiasi ya kwamba Machinga...
2 Reactions
1 Replies
772 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
UWAJIBIKAJI KWA WANAOHITAJI ZAIDI: JE, JAMII INAPIMWA KWA JINSI INAVYOWATENDEA? Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Uwajibikaji wa jamii kwa wanaohitaji zaidi ni suala muhimu sana. Kila mmoja wetu...
1 Reactions
1 Replies
420 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Katika kuboresha uwanda wa sheria na haki nchini Tanzania, kuna mawazo na mapendekezo muhimu ambayo yanaweza kuchukuliwa ili kuimarisha mfumo wa kisheria na kuhakikisha haki inapatikana kwa wote...
1 Reactions
1 Replies
458 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
HAKUNA DEMOKRASIA INAYOWEZA KUJENGWA BILA UKOSOAJI WENYE TIJA KWA WALE WALIO MADARAKANI Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI: Demokrasia ni mfumo wa utawala ambao unategemea uwajibikaji, usawa na...
1 Reactions
1 Replies
363 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Bunge Langu: Jina lake lilikuwa Dec_Rapha. Alikuwa mwanaume jasiri mwenye sauti ya ujasiri na moyo wa kujitolea. Kwa miaka mingi, alishuhudia jinsi Bunge la Daqwaan lilivyokuwa likisimamiwa na...
1 Reactions
1 Replies
335 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Soko la ajira hivi sasa ulimwenguni kote linakabiliwa na ushindani mkubwa, kwani nafasi ni chache na wenye uhitaji ni wengi. Tanzania kama zilivyo nchi nyingi duniani tunakabiliwa na tatizo la...
1 Reactions
0 Replies
476 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Elimu ni ufunguo wa maendeleo binafsi na maendeleo ya jamii kwa ujumla. Hata hivyo, kuna changamoto nyingi katika kutoa elimu bora, hasa katika mazingira magumu mjini na vijijini. Hali hii inaweza...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Kichwa cha habari: Ajiralink.com - Kuunganisha Vijana na Fursa za Ajira na Ukuaji wa kifikra na utendaji kwa vitendo. Kwa kuzingatia vigezo na masharti yaliyotolewa, naomba kutoa andiko kuhusu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
An Extensive 5 Year Reforms Program for the Youth - Panya Road Hata Wafungwa Wanaweza Kufaidika Kwenye Programu Hii. Tuwatumie Panya Road, Kuimarisha Uchumi kwa Kutoa Mafunzo ya Uzalishaji...
1 Reactions
3 Replies
419 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Wahenga wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi. Hakika, katika safari yangu hapa duniani, nimekua najiuliza maswali mengi sana...
4 Reactions
4 Replies
866 Views
Upvote 7
  • Suggestion Suggestion
Andiko langu linagusia uboreshwaji wa shule za vipaji ziwe katika vipaji vyote na sio katika uwezo wa akili darasani tu. Mathalani, kuwepo na shule za; 1. Vipaji vya sanaa kama wachongaji...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Upvote 6
  • Suggestion Suggestion
ELIMU NI MSINGI WA MAISHA BORA Katika kijiji cha Kalimani, watu walikuwa hawana ufahamu wa umuhimu wa elimu. Wazazi hawakupeleka watoto wao shule, na badala yake, waliwafundisha jinsi ya kufanya...
0 Reactions
0 Replies
332 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
Utalii; Ni kitendo cha mtu au kundi la watu kusafiri kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa lengo la burudan, biashara, kujifunza au makusudi mengine (Wikipedia, 2023). Utalii kwa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
368 Views
Upvote 0
  • Suggestion Suggestion
JINSI USHIRIKI WA RAIA UNAVYOWEZA KUBORESHA UTAWALA BORA KATIKA JAMII YAO Imeandikwa na: MwlRCT Picha | Kwa hisani ya rifs-potsdam UTANGULIZI Ushiriki wa raia na utawala bora ni dhana mbili...
1 Reactions
4 Replies
636 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
UTANGULIZI Bandari ya Dar es Salaam, ambayo ni moja ya bandari kubwa na muhimu zaidi barani Afrika, imekuwa chanzo cha fursa na maendeleo kwa Tanzania. Hivi karibuni, kumekuwa na mazungumzo kuhusu...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
UONGOZI WA KWELI: UWAJIBIKAJI, KUJENGA MTAZAMO MZURI WA UONGOZI, NA KUWASAIDIA WAFANYAKAZI KUJIFUNZA NA KUKUA KIUTENDAJI Imeandikwa na: MwlRCT Picha | Kwa hisani ya superbeings UTANGULIZI Mada...
3 Reactions
2 Replies
416 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Nikisukumwa na uhalisia katika jamii za kitanzania. Imekuwa ni desturi kutazama ajira kama mkombozi pekee baada ya kuhitimu ngazi fulani ya elimu hususani katika fani mbalimbali. Hii inatengeneza...
0 Reactions
0 Replies
315 Views
Upvote 0
Back
Top Bottom