Lugha ya Kiswahili, ni lugha inayokua kwa kasi ikiwa ni miongoni mwa lugha zenye wazungungumzaji wengi duniani. Ni lugha inayozungumzwa sana kwenye nchi za Afrika mashariki na baadhi ya nchi...
1. Utangulizi
Utawala bora ni mfumo wa kisiasa, kiuchumi, kitamaduni na kijamii unaofuata kanuni za kisheria uliojaa uwazi, uwajibikaji na uwazi wenye kuleta tija katika jamii. Katika andiko hili...
Ilikuwa ni siku yenye mawingu mepesi sana na sauti za ndege zilikuwa zikisikika kutoka katika viunga vya chuo ambacho Katarina alikuwa akisoma.
Siku hiyo ilikuwa ndiyo siku ambayo wanachuo wengi...
Mara nyingi, tunapozungumzia afya, tunawaza tu juu ya upatikanaji wa huduma za matibabu na jinsi ya kudumisha afya yetu binafsi. Hata hivyo, afya ni zaidi ya hilo, Ni muhimu kutambua kwamba...
Uwajibikaji ni mada ambayo imezungumziwa kwa kina katika nyanja mbalimbali za kijamii. Inahusisha uwajibikaji wa watu binafsi, makundi na hata serikali katika nyanja tofauti. Nyanja kuu za...
watu wengi katika ulimwengu wa kisasa wamezoea kufanya vitu kimazoea upelekea kupoteza ufanisi wa kazi na hata maendeleo yake kudumaa.
hii kutokana na kufanya vitu vile vile kila siku bila...
Utangulizi
Uwajibikaji na utawala bora ni masuala muhimu katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii katika Tanzania. Kwa muda mrefu, nchi yetu imekabiliwa na changamoto katika nyanja...
Katika nchi yetu ya tanzania kumekuwa na ukosefu wa uwajibikaji kwenye nyanja nyingi sana kuanzia jinsi ya kupata ajira mpaka kazi inavyofanyika,kwa mfano mtu anaaniriwa kwa kufanyiwa usahili na...
Usichomoe! "Nimekwambia usichomoe kabla haijafika mwisho, aya irudishe alafu upunguze sauti kidogo saivi ni usiku tusisumbue majirani"
Muda wote huo baba...
Ni mda mrefu hata sasa waalimu wa shule za msingi na sekondari wanatumia njia ya kutuma ripoti ya matokeo au karatasi yenye matokeo ya Mwanafunzi, Shule baadhi waalimu huwakusanya wanafunzi na...
Fingerprint ni nini?
Kwa kiswahili (alama za vidole) ni alama au michoro inayopatikana kwenye vidole vya binadamu na zina maelezo ya kina ambazo hudumu katika maisha ya mtu na hivyo kuzifanya...
MUOMBE MUNGU SANA TAFUTA PESA KWA BIDII:
ayo mengine ACHANA nayo kwanza. Maisha yamebadilika Sana, nakumbuka wakati na kua, nyumbani kwetu, kulikua na desturi kuwa siku ya juma pili huwezi...
Salaam watanzania wenzangu. Nimepata shauku ya kuandika juu ya swala la malezi bora kwa watoto wetu kama msingi mzuri wa jamii bora ya kesho na baadae.
MABADILIKO YANAYO WEZA KULETWA NA MAUDHUI...
Baada ya kumaliza stashahada ya sheria mwaka 2020 wakati nasubiri matokeo kutoka ili niweze kuendelea na elimu ya juu zaidi, nilikuwa na miezi kadhaa ya kusubiri kuanza kujisajili na shahada na...
Utawala Bora unahitaji uwajibikaji kutoka kwa serikali kwa watu wake. Ili kuhakikisha kuwa watu wanalindwa, serikali inahitaji kufanya kazi kwa uwazi na kutenda kwa haki. Ni muhimu kuweka mifumo...
Ulimwengu wa sasa umegubikwa na changamoto nyingi zinazohusu maendeleo na demokrasia. Utawala bora ni mojawapo wa masuala yanayotiliwa mkazo na kusisitizwa na jamii mbalimbali duniani. Dhana hii...
UONGOZI UNAOTOKANA NA UTUMISHI: HUFAFANUA UKWELI NA KUSHUKURU
Imeandikwa na: Mwl.RCT
Picha | Kwa hisani ya equita(dot)ie
UTANGULIZI
Kila wakati tunapofikiria juu ya uongozi, mara nyingi...
Mnamo mwaka 2018 ni kiwa kwenye daladala nikiwa narudi nyumbani,ndani ya gari kulikuwa na watu wakilalamika juu ya kiongozi katika taasisi fulani,Watu hao walikuwa wanalalamika sana wakisema"Yule...
Salama waungwana,
Hakuna anayeupenda, kila mtu anauchukia, Kwa kweli sijawahi kuona hata mtu mmoja anayetaka kuwa Maskini. Kila mtu, jamii na taifa hupigana vita ya umaskini Kwa kila namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.