Utangulizi
Katika ulimwengu wa teknolojia, uwajibikaji na utawala bora ni muhimu kwa maendeleo ya nchi. Matumizi ya teknolojia yanaweza kuwa chachu ya kuongeza uwajibikaji na kuboresha utawala...
MANENO MATUPU YA KISIASA: JE, WANA UWEZO WA KUONGOZA?
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Katika siasa za Tanzania, maneno matupu ya kisiasa yamekuwa yakitumiwa sana na wanasiasa kama njia ya...
Wachumi na watalaamu wa mambo ya uchumi wamekuna vichwa na sasa wanakubali kuwa sababu hizi zinaweza kukuza uchumi wa nchi kama zitafanywa kwa kuzingatia kanuni zake, na kwa msisitizo.
Na suala...
UTAWALA BORA KWA MAENDELEO ENDELEVU
Utangulizi:
Utawala bora ni msingi muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii yetu. Tanzania, kama taifa lenye lengo la kufikia maendeleo endelevu...
Na Norberth Saimoni
Chanzo:NSPCC
Usawa wa kijinsia ni agenda ya nchi nyingi ulimwenguni ambayo inajumuisha hatua na jitihada mbalimbali zinazolenga kuhakikisha kunakuwa na ulinganifu baina ya...
Katika Maisha tunajifunza kuwa, kila mtu haijalishi ni umri, rika, jinsia, ama uwezo alio nao huwa una msukumo katika kufanya jambo Fulani. Jambo hilo linaweza kuwa kwa ajili yake, ama kwa ajili...
Tupo katika dunia ya sayansi na teknolojia ambayo kila siku vitu vipya vimekua, vikigundulika na vya zamani kufanyiwa uboreshaji zaidi ambapo tunaona mabadiliko ya Sayansi na teknolojia yalikua...
Ndoa Kama Ilivyo tafsiri yake kuwa muungano wa watu wawili mwanamke na mwanaume waliokubaliana kuishi pamoja wakishirikishana Kila kitu katika nyanja zote Kwa ajili ya ustawi wa maisha yao.
Ili...
UKOSEFU WA AJIRA
"Tunateseka kupita kiasi Africa, Tusaidieni, Tunamatatizo Africa. Tumepoteza haki zetu kama watoto. Tuna Vita na maradhi, hatuna chakula dah! tunahitaji Elim na tunaomba...
MAMA MZAZI ANAPIGANIA HAKI ZA AFYA KWA MTOTO WAKE
Imeandikwa na.Mwl.RCT
UTANGULIZI
Watoto wanapaswa kupata huduma bora za afya na haki zao zinapaswa kulindwa. Katika simulizi hii, tutakutana na...
Habari za muda huu wanajamvi.
Mifumo Bora wa Kodi ni nini na umuhimu wake?
Mfumo bora wa kodi unaweza kutofautiana kulingana na malengo na mahitaji ya nchi husika. Hata hivyo, kuna mifumo kadhaa...
KWANINI TANZANIA NI MASIKINI?
Umasikini ulikuwa mjadala wa kitaifa kabla ya mfumo wa vyama vingi kuingia nchini. Ukipigwa vita chini ya sera na mikakati ya Azimio la Arusha lililofuata falsafa ya...
Dhana ya elimu na ajira kwa wahitimu
Ndoto kuu ya wazazi wengi katika jamii ni kuona watoto wao wakifanikiwa katika kila walifanyalo, kama ni biashara basi iwe yenye faida na kama ni elimu basi...
Uteuzi mpya wa viongozi na mabadiliko ya viongozi Tanzania mwaka 2022/23 yamekuwa chachu kubwa katika kuimarisha uongozi bora na uwajibikaji. Mabadiliko haya yameleta matumaini mapya kwa wananchi...
Imeandikwa na: Mwl.RCT
Utawala bora ni mchakato muhimu katika kusimamia na kuongoza jamii kwa njia inayoheshimu na kuzingatia haki na maslahi ya watu wote. Hata hivyo, katika nchi nyingi za...
UTAWALA BORA KWA MANUFAA YA NCHI YETU
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Utawala bora ni msingi muhimu katika kukuza maendeleo ya nchi yoyote ile. Ni mchakato wa kuongoza na kusimamia rasilimali za...
Habari Tanzania, habari mtanzania. Je umewahi kutenga muda wako kuwaza kuhusu uhusiano wako na plastic materials katika maisha yako ya kila siku? Kama jibu lako ni ndiyo, je unaamini Tanzania...
Mwandishi:Safari Afrika
Mfu Afrika na uhuru Bandia, Nasikia huna raha maana machungu umezoa, umechoka kulia na kushoto unaelekea, jua limekuchwa na kivuli chako katu hakikusogea.
Afrika uliye...
UTANGULIZI
Kama ilivyo kwa vijana wengi wa kitanzania nilikuwa na ndoto ya kumaliza shule kwa kutaka kusoma kadri ya uwezo wangu ili mwishowe niweze kuhitimu masomo yangu, nipate kazi ambayo...
Utawala bora katika kilimo ni mfumo wa uendeshaji wa shughuli za kilimo ambao unazingatia kanuni za uwazi, uwajibikaji, ushirikishwaji wa wananchi, utawala wa sheria, na ufanisi katika utumiaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.