SoC03 Threads

  • Suggestion Suggestion
Jambo ni aidia yangu ni wazo zuri natumani utaopokea vyema ni jambo la kuleta maendeleo na faida kwa jamii. WAFANYA BIASHARA WA CHAKULA; wengi wamekuwa wakipata hasara endapo ile gas ikitokea...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoendelea ambayo imekuwa na changamoto za migogoro ya ardhi kutokana mwingiliano na ongezeko la idadi ya watu hivyo ardhi kugeuka dhahabu. Pamoja na thamani na...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 6
  • Suggestion Suggestion
Habari jukwaa, Ni saa mbili na dakika kumi na tano asubuhi nyuma ya nyumba moja ya vyumba vitatu ya mkazi mmoja katika viunga vya jiji la Amsterdam, Uholanzi, ambapo tunakutana na kundi la watu...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Upvote 6
  • Suggestion Suggestion
Ujuzi na uzoefu vimekuwa kikwazo kwa vijana (hasa wahitimu wa vyuo) kuajiriwa.Japo kuna mikakati ya kuwakomboa kiuchumi kupitia uwekezaji na miradi ya maendeleo. Bado ajira zinazozalishwa...
2 Reactions
3 Replies
720 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Kichwa cha Habari: "Kuendelea Kwa Teknolojia: Mabadiliko Makubwa na Athari Zake" Teknolojia imekuwa mhimili muhimu katika maendeleo ya kisasa na imeathiri kila nyanja ya maisha yetu. Leo hii...
1 Reactions
2 Replies
491 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Elimu ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na ustawi wa nchi. Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la mjadala na hamasa kuhusu mabadiliko na utawala bora katika nyanja ya elimu...
1 Reactions
1 Replies
468 Views
Upvote 3
  • Suggestion Suggestion
Wakati wote wa vipindi vya majira ya mwaka hali ya mazingira haikuwa na hiana kwani ilitulia tuli mithili ya maji yaliyomo ndani ya mtungi. Anga tulivu na angavu lenye rangi ya samawati...
2 Reactions
1 Replies
838 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Stafeli (soursop), pia inajulikana kama Graviola, ni tunda ambalo asili yake ni Amerika Kusini na Kati. Mti wa mstafeli hutoa tunda kubwa la kijani kibichi na lenye mvuto. Tunda hilo...
4 Reactions
3 Replies
15K Views
Upvote 8
  • Suggestion Suggestion
Mimi ni fundi ujenzi nimesomea chuo cha ufund Arusha, Mwaka 2018 nilipata kazi ya kitui cha afya umaliziaji wa jengo la mama na mtoto. Nilifanya kazi hiyo nikiwa kama fundi msaidiz kwani alishika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Mazingira ni eneo lote wanamokaa viumbe, akiwemo mwanadamu pamoja na viumbe visivyo na uhai. Viumbe hai hivi pamoja na vile visivyo uhai hutegemeana ama kwa njia chanya au hasi. Katika kupigania...
1 Reactions
1 Replies
359 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Siku moja Heri akiwa katika kutembea alimkuta mwanaume wa makamo akiwa ameketi Kando ya barabara. Mwanaume yule kwa muonekano tu na vile alivyokuwa amekaa pale chini hata wewe ungejua kabisa kuwa...
2 Reactions
1 Replies
859 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Nguvu ya Mwanamke Madarakani. Mwaka wa 2023 ulikuwa mwaka wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania. Watu walikuwa na matumaini makubwa ya kuleta mabadiliko katika serikali na jamii. Walitaka viongozi...
1 Reactions
1 Replies
362 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Utawala Bora ni namna ya kutumia madaraka ya umma katika kutawala rasilimali kwa njia zilizo sahihi ili kukuza uchumi wa nchi.utawala Bora hujumuisha ukweli uwazi uwajibikaji na ushirikishwaji...
1 Reactions
3 Replies
547 Views
Upvote 2
  • Suggestion Suggestion
Mabadiliko Katika Sekta ya Elimu Mwaka 2015, Tanzania ilikuwa inakabiliwa na changamoto kubwa katika sekta ya elimu. Ubora wa elimu ulikuwa umeshuka sana. Walimu walikuwa hawana motisha na uwezo...
1 Reactions
1 Replies
461 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Picha | Kofi Annan (1938-2018) - kwa hisani ya JOEL SAGET/AFP via Getty Images UTANGULIZI Uongozi bora ni muhimu sana katika kutokomeza umaskini na kukuza maendeleo. Kama alivyosema Kofi Annan...
1 Reactions
1 Replies
426 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Kuna daktari mmoja alikuwa anakaribia kununua nyumba Msasani. Wakati anaendelea na zoezi hilo, ghafla 'taasisi mojawapo ya taasisi zinazopiga kelele', wakaanza makelele yao. Yule dk akaghairi...
1 Reactions
1 Replies
250 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Afya ni moja ni moja ya kichochezi katika utawala bora na uwajibikaji katika jamii ivyo maswala ya afya yanaitaji mabadiliko makubwa. Hivyo maswala ya huduma ya afya yanatakiwa yatolewe kwenye...
1 Reactions
1 Replies
419 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
mmong'onyoko wa madili kwa watoto mmong'onyoko wa madili kwa kiasi kikubwauchangiwa na mzazi mlez au mtu wa karibu. wazazi uchangia kualibika kwa watoto unakuta mzazi anajari kazi zake mda wote...
1 Reactions
1 Replies
394 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Uwajibikaji ni maana ya ule wajibu wa kuhakikisha kuwa watumishi wa umma na viongozi wanawajibika kwa vitendo na wanawajibika kwa matendo yao kwa watu wanaowahudumia. Uwajibikaji umekuwa ni muhimu...
1 Reactions
0 Replies
375 Views
Upvote 1
  • Suggestion Suggestion
Ulikuwa ni usiku wa Jumamosi, uso wa dunia ikiwa umekumbatiwa vilivyo na giza nene. Laiti kama mtu angelitoka kutembea nje kwa usiku ule, pengine asingeweza kuona hata kile kilichokuwa hatua moja...
2 Reactions
2 Replies
397 Views
Upvote 3
Back
Top Bottom