Hivi utajisikiaje ukiwa umepanda Ndege halafu unasimama kama kwenye mwendokasi freshi sio!!
Shirika moja nchini Ireland linaitwa Rynair limeleta safari za ndege za gharama nafuu kwa kuweza kupunguza nauli za ndege na kuondoa viti kwenye baadhi ya safari zake.
Mpango huu ni kuwezesha abiria...
๐ก Hakika Maendeleo ya Teknolojia yanazidi kwenda Kasi lakini kuendelea kwasi kumepelekea watu kujisahau sana na kupelekea maadili kushuka.
๐ก Mtandao wa X ambao Zamani ulikua unaitwa Twitter uliweza kutambulisha akili bandia aina ya Grok.
๐ Lakini Teknolojia hiyo ambayo inasaidia watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.