๐—›๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—š๐—ฟ๐—ผ๐—ธ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—ผ ๐—ฝ๐—ผ๐—ฎ

๐—›๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—š๐—ฟ๐—ผ๐—ธ ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—ผ ๐—ฝ๐—ผ๐—ฎ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
1_20250507_180308_0000.png


๐Ÿ’ก Hakika Maendeleo ya Teknolojia yanazidi kwenda Kasi lakini kuendelea kwasi kumepelekea watu kujisahau sana na kupelekea maadili kushuka.

images (23).jpeg


๐Ÿ’ก Mtandao wa X ambao Zamani ulikua unaitwa Twitter uliweza kutambulisha akili bandia aina ya Grok.

๐Ÿš€ Lakini Teknolojia hiyo ambayo inasaidia watu kufanya shughuli mbalimbali kwa kupitia chati boti ambayo unaweza kuitumia ndani ya we browser au kupitia app ya X ya Tajiri Elon musk.

๐Ÿš€ Mtandao huu unaongoza Kwa kujibu maswali mbalimbali mtu anayomuuliza hata kama ni Hatari kiasi gani inaweza kukusaidia kukupatia majibu ambapo kikawaida Mitandao mingine inakataa kukupa majibu.

5_20250507_180309_0004.png


โš ๏ธ Kwa Tanzania sasa Watu wengi wakitumia vibaya kwa kuweza kuchukua picha za watu na kuweza kuzifanya watakavyo asilimia kubwa ya watumiaji wa mtandao wa X wanachukua picha za watu mara wazivue nguo au kufanya wafanyavyo.

4_20250507_180309_0003.png


โšก Hali hii inapelekea kuvunja maadili kupitia Mitandao ya kijamii, hivyo ndugu, jamaa na marafiki kuwa makini na picha unazotuma Mitandao unaweza jikuta umevalishwa sekti, chupi , boxer au kukaa uchi ๐Ÿ˜Œ.

2_20250507_180308_0001.png



3_20250507_180308_0002.png


6_20250507_180309_0005.png


Tutumie Mitandao kwa manufaa sogeza picha kuona sample za picha watu wengi wamezifanya hovyo kabisa Tujihadhari ๐Ÿ˜Œ.

7_20250507_180309_0006.png


โš ๏ธ Picha zitakazo onekana sio nzuri
 
twitter ni kama imekubwa na ugonjwa --- kujifyatua akili ndo inaonekana fashion

ni mambo ya kukosa maadili tu haya
 
Program ChatGPT iliniambia Simba aliwai kumpiga Real Madrid goli saba kwa nunge pale kwa Mkapa๐Ÿคธ๐Ÿคธ๐Ÿคฃ

Nilivyokosoa akaomba radhi akasema"kumradhi sio Real Madrid ni Horoya".
Inakosea sana, juzi niliipiga maswali ikawa inachemsha inaomba radhi,kiasi ikakubali nimeipata kweli yeye ni kilaza, ila anajifunza next time atakuwa bora zaidi...

Huko mbeleni zitakuwa hatari kweli kweli
 
Inakosea sana, juzi niliipiga maswali ikawa inachemsha inaomba radhi,kiasi ikakubali nimeipata kweli yeye ni kilaza, ila anajifunza next time atakuwa bora zaidi...

Huko mbeleni zitakuwa hatari kweli kweli
kabisa itakuwa vizuri,inaenda inajifunza pia vitu na mambo mapya itakaa sawa.
 
Hii itazua tafrani, wengi wataingia mtegoni?
 
Hizi picha hizi jamani.

Kuna mtu ataeditiwa halafu itakua mshike mshike nguo kuchanika.

Tena huenda kuna watu wanazo picha hizo kwenye gallery zao.

Kuna watu wataenda jela sababu ya grok.
 
Back
Top Bottom