baby zu
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,963
- 5,095
Nna jamaa zangu wawili walimhoji mpka wakamsilimisha๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃAnakuomba radhi na ukimwambia we kilaza anakubali ๐คฃ
Nna jamaa zangu wawili walimhoji mpka wakamsilimisha๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃAnakuomba radhi na ukimwambia we kilaza anakubali ๐คฃ
M niliomba anisummarizie notes kwenye document niliompa Kila muda anakosea nikaamia zangu deepseek nakula life tuProgram ChatGPT iliniambia Simba aliwai kumpiga Real Madrid goli saba kwa nunge pale kwa Mkapa๐คธ๐คธ๐คฃ
Nilivyokosoa akaomba radhi akasema"kumradhi sio Real Madrid ni Horoya".
Ukimkamata anakuwa mpole mbona..๐คฃNna jamaa zangu wawili walimhoji mpka wakamsilimisha๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hahahaha ukimsikia sasa anavyotoa hyo shahada hawezi tamka vizuri ni balaaUkimkamata anakuwa mpole mbona..๐คฃ
Deepseek bado cha mtoto bossM niliomba anisummarizie notes kwenye document niliompa Kila muda anakosea nikaamia zangu deepseek nakula life tu
Natamani ningemsikia ๐คฃHahahaha ukimsikia sasa anavyotoa hyo shahada hawezi tamka vizuri ni balaa