Habari.
Ili kuweka mambo sawa kuhusiana na Siasa za nchi yetu, ifahamike kuwa chama kikuu cha upinzani hapa nchini baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ni ACT- Wazalendo inayoongozwa na Zito Kabwe na siyo CHADEMA inayoongozwa na Freeman Mbowe.
Bila kujua wafuasi wengi wa CHADEMA wamekuwa...
Na Mwandishi wetu,
Dodoma
Mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm Nec kupitia vijana Jaffari Kubecha amekitaja chama cha Act Wazalendo kiteue watendaji vijana makini wenye maono, upeo na kufanya upambanuzi katika kujadili na kujibu hoja za kisiasa kwa uyakinifu bila kuingilia mambo ambayo aidha...
Leo nimekutana na mwajiriwa na taasisi ya Banki Kuu ya Tanzania akiwa amechanganyikiwa. Kilicho mchanganya ni kitu cha ajabu sana. Aliniambia kesho 13.06.2021 wana ufunguzi wa jengo lao jipya jijini Mwanza. Kwa vile Banki Kuu ya Tanzania ni ya watanzania wote bila kujali tofauti zao- alikuwa...
Zitto Kabwe amewaambia wanaoizodoa Act-Wazalendo kwa kushiriki Uchaguzi Mdogo kuwa wanasumbuliwa na ushamba.
Haya ameyaandika baada ya baadhi ya watu ambao anawaita ''wenzetu'' kuanza kumzodoa wakati walisusia uchaguzi na chama chake kikaheshimu uamuzi wao wa kususia uchaguzi.
Maelezo haya...
Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kitashiriki Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Muhambwe, ambalo liko wazi baada ya kifo cha Astashasta Nditiye ambaye alikuwa mbunge mteule wa jimbo hilo
Wamesema hauwezi kusimamisha shughuli zote kwa sababu ya kusubiri jambo moja. Hivyo watashiriki Uchaguzi huku...
TAARIFA KWA UMMA Maalim Seif Apumzishwa Baada ya Kupata Maambukizi ya Covid 19
Chama cha ACT Wazalendo kinawajuilisha wanachama wake, Wazanzibari, pamoja na umma wa Watanzania, kuwa Mwenyekiti wake wa Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe, Bi Awena, pamoja na Wasaidizi wake kadhaa wa karibu...
Kila anapoitisha tu Press tegemea yafuatayo kutoka Kwake....
1. Kuongea kwa Kufokafoka kuwazidi hata akina Fid Q na Chidy Benz.
2. Kutemea sana Mate ( Kulowesha ) Vipaza Sauti vya Watu kama Chatu akitaka Kula Kitoweo chake.
3. Kupenda Kupigapiga Meza utadhani ana Ugomvi nazo kwa muda mrefu.
4...
Siasa sio mbaya ila Wanasiasa ndio wabaya .
Dada zetu walichagua njia ya moja ya kuchagua maisha tonge kwanza liende kinywani kufia chama badae.
Njaa haina baunsa..muda wa akina Halima Mdee kukata rufaa Baraza kuu la CHADEMA umeisha leo ni dhahiri kuwa hawana nia ya kukata rufaa baada ya...
Waswahili wana msemo: "atafutae hachoki, akichoka amepata". Msemo huu utajidhirisha huko Zanzibar kuanzia sasa ambapo Wazanzibar wanaotafuta ukombozi kwa mara ya pili, watatafuta ukombozi huo kupitia chama tofauti na ACT-Wazalendo na chama pekee kitakuwa ni CHADEMA unless CHADEMA nao waonyeshe...
Chama cha ACT-Wazalendo, kimesema wanachama wao 18 wanaodaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana, wameanza kuachiliwa huru kwa staili ya kutupwa katika maeneo mbalimbali mjini Unguja.
Mbali na hilo, kimeitaka Serikali kuwaachia huru au kumfikisha mahakamani Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia askari wanne wa vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na maofisa watatu wa Idara ya misitu kwa tuhuma za mauaji ya Katibu wa ACT Wazalendo tawi la Mwembemakumbu, Said Salum Suleiman.
Video hii inamuonyesh SAID MMANGA...
Baada ya vituko vya tume za NEC na ZEC ,sasa wamekuja na mtego wakutaka kutushirikisha kuhalalisha wizi wao
Naomba vyama hivi viwili na wakimjumuisha rungwe (Chauma) na NLD sio mbaya wafanye yafuatayo
1.Wasikubali kushirikishwa kwenye serikali ya muafaka wa kitaifa kule Zanzibar na pia...
CHADEMA na ACT-WAZALENDO: Hoja 7 Zinazowafanya Watanzania Wasiwe Tayari Kumwaga Damu kwa Kuandamana.
Vyama vya CHADEMA na ACT- Wazalendo vimekutana na kuwaambia waandishi wa habari eti kuanzia jumatatu wataanza maandamano yasiokuwa na kikomo kwa kile walichodai eti kuibiwa kura katika Uchaguzi...
Kwanini Watanzania hawatawaunga mkono wapinzani kwenye mgomo wao na maandamano.
Kwanza vyama vya upinzani vimegoma kukubali mapungufu yao makubwa kabisa ya kimuundo na kisera katika vyama vyao. Kwanza kabisa wananchi wanataka kujua kama kweli wana nia ya dhati?
Kwanini kuna ACT Wazalendo...
MGOMBEA Ubunge Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Saed Kubenea amesema anataraijia kushinda uchaguzi wa jimbo hilo kwa wastani wa asilimia 52.8 hadi 58.2.
Kubenea ametoa kauli hiyo leo tarehe 26 Oktoba 2020 wakati anazungumza na wanahabarii jijini Dar es Salaam, kuhusu mwenendo wa...
Vikosi vya SMZ jana usiku walivamia Barza ya Mwanakombo; hii ni Ofisi ya Ngome ya Vijana wa @ACTwazalendo. Vitu walivyoiba ni Tv na Viatu, pia waliondoka na Mlingoti wa Bendera.
Aidha leo hii Naibu Katibu Mkuu wetu upande wa Zanzibar ametekwa na watu wanaosemakana kuwa ni Vijana wa Jeshi...
Kinachoendelea ndani ya Act hasa kwa wagombea wa wili wa ubunge kumshutumu Maalimu na zitto juu ya kumuunga mkono Lissu na kumshutumu Maalimu kuwa amekiuka katiba ya chama hicho hivyo anapoteza uanachama na sifa ya kugombea .
Tujadiliane kama wazalendo kitendo chochote cha kumtoa Maalimu kwenye...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad kesho Oktoba 20, 2020 atazungumza na vyombo vya habari kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea nchini.
Wapi: Ukumbi wa Ramada Hotel, jirani na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Posta Mpya, Dar es...
Wakuu Salaam:
Bernard Membe kama kabwaga manyanga basi tutangaziwe rasmi maaana haonekani kokote.
Kama amerudi tena India tujue mgombea wetu saivi hayuko nchini!
JPM ratiba zake ziko wazi na kama hafanyi kampeni basi ratiba inaonyesha kua ana likizo, kulikoni Membe?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.