Mkutano wa kampeni za mgombea urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad jimbo la Mpendaye.
Leo tarehe 08/10/2020, Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amefanya mkutano wa hadhara kwa kuwakutanisha...
Rais wa Afrika Kusini amemkata mshahara waziri wa ulinzi kwa miezi mitatu baada ya kuruhusu maafisa wa chama tawala kusafari kwa kutumia ndege ya jeshi hadi nchini Zimbambwe pamoja naye Septemba 9.
Nosiviwe Mapisa-Nqakula alishtumiwa kwa kuruhusu matumizi ya rasilimali ya taifa kwa sababu za...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba linamshikilia Katibu wa Chama Cha ACT Wazalendo Tawi la Kosovo Shehia ya Kangani Hassan Hamad Hassan mwenye umri wa miaka 56, kwa tuhuma ya kuwashambulia kwa kuwakata mapanga wanachama wa Chama Cha Mapinduzi akiwemo Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Wete...
Chama hicho kimelitaka Jeshi la Polisi kuwafikisha Mahakamani endapo kuna kosa au kuwaachia bila masharti maafisa wake watatu waliokamatwa jana.
Arodia Peter (Afisa Habari), Dotto Rangimoto (Afisa Habari Msaidizi) na Dahlia Majid (Afisa Uchaguzi) walikamatwa jana katika Ofisi za ACT-Wazalendo...
Maneno yanayoendelea mtandaoni ni mengi ila inaonyesha Membe kakaza hawezi kuruhusu kuacha kujaribu kutetea ndoto yake ya kuwa rais.
Awali Membe alijiamini kuwa na watu wengi nyuma yake ambao angehama nao, lakini akajikuta ameondoka mwenyewe, wale wachache kutoka CUF na CCM waliojiunga na ACT...
RASMI: ACT-WAZALENDO YAMUUNGA MKONO MGOMBEA URAIS WA CHADEMA
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza chama chao kumuidhinisha Mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Maalim Seif ameyasema hayo saa chache...
Ndugu zangu,
Hii inatokana na uzoefu wa kura za Wazanzibar hususani wapemba ambao hupiga kura kutegemea chama anachotoka Maalim Seif. Kama hali itakuwa hivyo ACT wana uhakika wa wabunge angalau 20 kutoka Zanzibar kitu ambacho CHADEMA au chama kingine hakiwezi kupata wabunge kumi (10) nchi...
Habari wenye chama chenu, naamini mnafuatilia mikutano ya Mgombea wenu wa Urais kama mimi nifanyavyo kwa wagombea wa vyama vitatu maarufu. Nilitamani kuongea na kiongozi wa Chama mara baada ya uzinduzi wa kampeni, bahati mbaya simu yake ilikuwa bize haikupokelewa.
Niliyoyaona kwenye hotuba ya...
Kampeni zinaendelea na leo Chama cha ACT-Wazalendo wanazindua kampeni zao Lindi, wagombea wote kwa upande wa Jamhuri na Zanzibar wameshawasili uwanjani na kwa sasa kikundi cha burudani kutoka Lindi kinatoa burudani ya utangulizi. Tuwe pamoja kujuzana yatakayojiri.
=====
Maalim Seif: Nasema...
Benard Membe na Makamu wa Rais (wagombea) wa ACT-Wazalendo wamekidhi vigezo vya kuteuliwa na kugombea.
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Bernard Membe kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Omary Mohamed kuwa mgombea wa...
Deodatus Balile (Makamu mwenyekiti jukwaa la wahariri): Kumetokea jambo wiki hii ambalo limefanywa na mchungaji Peter Msigwa kwenye mkutano alioufanya wiki hii anawaambia wafuasi wa chama chake cha CHADEMA kwamba waandishi wa habari wamesusia mkutano wake pale Iringa nadhani alikuwa anampokea...
Mgombea urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amefurahishwa sana na uteuzi wa wagombea Ubunge wa CCM na kuwapa pole wote waliokatwa kwa sababu walikuwa karibu naye.
Membe amewakaribisha wale waliokatwa kujiunga na ACT-Wazalendo ili safari iendelee.
Ameandika katika akaunti yake ya...
Huu ni ushauri kwa vyama husika - ACT Wazalendo na CHADEMA. Tunawashaurini kukaa, kubaliana (juu ya role, cooperation principles and operational modality) na kisha undeni JEIT iwasaidie kukusanya intelligence za uchaguzi wakati wa kampeni.
Lisha ichambue na kuwashauri namna ya kupanga na...
Tuanze na Quote ya Tom Ford kwanza "Dressing well is a form of good manners".
ACT- Wazalendo wamejipanga kusuuza nyoyo zetu tunaopenda Mitindo. Najua mtasema nguo zinawasaidia nini wagombea? Maybe haziwasaidii lakini kongole lazima wapate.
I am not too political hivyo hata nikiangalia...
Kila nikiwasikia ACT-Wazalendo wakizungumza naona wanatia sana Huruma na wakati mwingine hadi 'wanalazimisha' Waungane na CHADEMA lakini kila nikiwasikia CHADEMA wao nawaona hawataki huo Ushirikiano wa 'Kinafiki' na badala yake wanataka kila Chama Kipambane tu na hali yake kuelekea Uchaguzi Mkuu...
Kwa muda mrefu chama cha ACT-Wazalendo kimekuwa kikiwashawishi Viongozi wa CHADEMA ili wakubaliane na wazo lao la kushirikiana au kuungana katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Ikumbukwe kuwa ACT-Wazalendo ndio wameonekana kuwahitaji zaidi Chadema, kuliko wao kuhitajiwa na...
Kamati Kuu ya ACT Wazalendo inafanya kikao leo 02 Agosti 2020. Kikao hichi ni maandalizi ya Mkutano Mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 05 Agosti 2020.
Kikao kinafanyika Lamada Hoteli jijini Dar-es-salaam.
Pamoja na mambo mengine. Kamati Kuu leo inategemea kupendekeza majina ya wagombea Urais...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa mstaafu, Semistocles Kaijage, amesema daftari la wapiga kura lina wapigakura milioni 29,188,347.
Nipashe.
Kimahesabu hapo najua Magufuli ana Kura zake Milioni 20 Kamili, Lissu ana Kura Milioni 9,188,347 na Membe ana 0. Mshindi kuwa...
CCM wamejipanga vizuri kupata ushindi, hata kama ni ushindi kwa njia isiyokuwa halali.
Miaka yote hii mitano, na kabla ya hapo, tumesikia manung'uniko yenu kuhusu ubovu wa usimamizi wa uchaguzi wetu unaowapendelea CCM. Miaka yote hii mmekuwa mkilalamika kuhusu jambo hili, lakini hatukuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.