CCM wamejipanga vizuri kupata ushindi, hata kama ni ushindi kwa njia isiyokuwa halali.
Miaka yote hii mitano, na kabla ya hapo, tumesikia manung'uniko yenu kuhusu ubovu wa usimamizi wa uchaguzi wetu unaowapendelea CCM. Miaka yote hii mmekuwa mkilalamika kuhusu jambo hili, lakini hatukuona...