Utaratibu ni kwamba, mtuhumiwa akishatiwa hatiani, kipengele kinachofuata (after mitigation) ni kupewa adhabu.
Sasa adhabu ziko nyingi; inaweza kuwa kifungo gerezani, kulipa faini, kutaifisha mali/kitu, kuchapwa viboko, kuhukumiwa kifo au kulipa fidia, n.k
Kwa Tanzania, adhabu za makosa...