Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Jiji la Dar, Mbunge wa Ubungo na Waziri kipindi cha awamu ya tatu Charles Ndiliana Ruwa Keenja amefariki Dunia leo akipatiwa Matibabu Seifee Hospital jijini Dar.
Marehemu Keenja alizaliwa December 24, 1940.
Mungu aipokee Roho ya Marehemu mahali pema...
Mbunge wa Ushetu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kwandikwa amefariki dunia leo hii wakati akipatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.
CURRICULUM VITAE – (CV)
SURNAME: KWANDIKWA
FIRST NAME: ELIAS
OTHER NAME: JOHN
SEX: MALE
MARITAK STATUS: MARRIED
DATE OF BIRTH: 1st...
Profesa Mayo ambaye ni mmiliki wa shule ya sekondari Alpha iliyopo mikocheni B afariki dunia usiku huu katika hospitali ya TMJ.
Taarifa zaidi zitafika kadri nitakavyozipokea.
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
====
Prof. Mayo Amefariki Dunia Mkoani Dar es Salaam katika...
Joseph Mfugale ambaye alikuwa mmiliki mwenza wa Peacock hoteli amefariki dunia leo asubuhi.
========
Mmiliki wa hoteli ya Peacock, Joseph Mfugale amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa ndugu za Mfugale aliyetajwa kuwa msemaji wa familia, Expedito Mfugale alipoulizwa kuhusu taarifa...
Diwani wa CCM kata ya Luduga wilaya ya Wanging'ombe Mkoani Njombe, Hassan Ngella amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Mbeya baada ya kuugua ghafla.
Katibu wa siasa na uenezi CCM wa wilaya, Ruben Nyagawa amethibitisha.
-----
Diwani wa Kata ya Luduga...
Jambazi aliyemuua kwa kumkata mapanga Askari polisi, H.2407 Constable Damasi Magoti wa kituo Cha polisi Mbughuni wilayani Arumeru, Jacob Kideko au Ramadhani Kichwa(43) Mkazi wa Makiba amefariki dunia katika jaribio la kuwatoroka polisi alipokuwa akisafirishwa jijini Arusha.
Kwa mujibu wa...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko, majonzi na masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Ramadhan Ali Abdallah Maarufu (Mzee Kichupa) kilichotokea Jumanne 27 Julai, 2021 katika Hospital Kuu ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.
Sophia Nyerere, ambaye ni Mjukuu wa Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, amefariki dunia leo Jumanne katika Hospitali ya Mzena mkoani Dar es Salaam, alipokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu. Marehemu Sophia ni Mtoto wa John Nyerere.
====
SOPHIA Nyerere, ambaye ni mjukuu wa Baba wa...
Familia ya Freeman Aikael Mbowe wametangaza kifo cha Baba Mdogo wa Mbowe aitwaye Manase Alphayo Mbowe aliyefariki baada ya kupata mshtuko baada ya kupata taarifa za mwanaye kutuhumiwa Ugaidi
Amefariki Hospitali ya Machame Julai 23, alikopelekwa baada ya kupata mshtuko
Freeman Mbowe ametuhumiwa...
Aliyekuwa mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Mama Anna Mghwira amefariki dunia leo July 22, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mount Meru, Arusha. Mama Mgwira alistaafu ukuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mei mwaka huu na alikabidhi ofisi kwa mrithi wake, Kigaigai Mei 27 mwaka huu wa 2021
Anna...
Mhandisi Leornard S. Kapongo aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Kudhibiti Ugavi wa Umma(PPRA) amefariki dunia
Alikuwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Agha Khan, amefariki Julai 17 jioni
Patrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi tajwa nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS.
Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP
=====
Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Injinia Mfugale amefariki Jijini Dodoma.
Mfugale jana aliondoka na ndege akiwa na...
John McAfee amekuwa akiwa amefariki katika chumba kimoja cha Gereza katika Jiji la #Barcelona, Uhispania
Umauti umemkuta saa chache baada ya Mahakama Nchini humo kuamua kumsafirisha hadi Marekani ili akashtakiwe kwa makosa ya kukwepa kodi
Taarifa za awali zinaeleza uwezekano wa John #McAfee...
Aliekuwa mgombea ubunge kupitia hatua za awali za kupata kupeperusha bendera ya c.c.m Musoma mjini Dr. Kayombo afariki ktk hospital ya Mkoa wa Mara alfajiri alipokuwa akipata matibabu.
Kayombo the Dr. alikuwa maarufu sana pale alipoimbwa na mwanamziki Bestnaso!
Kesho mwili utasafirishwa...
Mzee Kennedy Kaunda amefariki mchana wa leo wakati akipatiwa matibabu kwenye hospital ya Maina
=====
MAISHA YA AWALI
Kaunda ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto wanane. Alizaliwa katika hospitali ya Misheni ya Lubwa katika kitongoji cha Chinsali, katika Mkoa wa Magharibi mwa Northern...
Taarifa zinaeleza kwamba amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Muhimbili alikolazwa tangu tarehe 13 June
========
MWIGIZAJI wa Kikundi cha Maigizo cha Kashkashi kinachorusha mchezo wao wa kuchekesha wa Mizengwe kupitia Televisheni ya ITV, Jumanne Alela almaarufu Mzee Matata...
Marehemu Profesa Mwesiga Baregu (Picha kutoka mtandaoni)
Jana, Juni 13 asubuhi, nilipokea taarifa za kifo chako nikiwa bado kitandani; nikiwa nimejilaza kwa mapumziko na siyo kwa ugonjwa. Mke wangu, Jacqueline akanijuza kuhusu kuondoka kwako hapa juu ya uso wa dunia.
Nilipigwa butwaa na...
Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo tarehe 12 Juni, 2021 baada ya kupata ajali eneo la Kawe.
Kwa wale wakongwe, utamkumbuka Fredwaa kwa lipi?
====
Dar es Salaam. Mwandishi wa habari Fred Fidelis maarufu Fredwaa amefariki katika ajali ya gari iliyotokea...
Wandugu,
Mwanasiasa mkongwe humu nchini bwana Christian mzindakaya amefariki dunia. Mzindakaya amefariki jioni hii katika hospital ya taifa ya Muhimbili ulipokuwa akipatiwa matibabu.
Wakati wa uhai wake bwana Mzindakaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali ikiwemo kuwa mbunge wa Sumbawanga kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.