afariki dunia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    TANZIA Kiongozi wa zamani wa kijeshi wa Misri, Hussein Tantawi afariki dunia

    Kiongozi wa zamani wa kijeshi wa Misri Field Marshall Mohammed Hussein Tantawi amefariki dunia. Bwana Tantawi amewahi kuwa waziri wa Ulinzi wa Misri kwa miaka 21. Pia amekuwa Rais wa mpito kuanzia 2011 hadi 2012 badaa ya kuobdolewa kwa Rais Hosni Mubarak. Utawala wake wa Mpito ulikoma Mara...
  2. TODAYS

    TANZIA Mdogo wa Zacharia Hans Pope afariki dunia, ikiwa ni ndani ya wiki ya maombolezo ya kakake

    Mdogowa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, marehemu Zacharia Hans Poppe aitwaye Eddy Hans Poppe, (pichani kushoto) amefariki dunia juzi Jumamosi, septemba 18, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam. Msiba huo umetokea ikiwa...
  3. Replica

    TANZIA Mzee Muhidin Ndolanga afariki dunia, aliwahi kuhudumu kama rais Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania

    Medani ya soka nchini imepata pigo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Alhaji Muhidin Ndolanga kilichotokea leo jioni Dar es Salaam Ofisa habari wa TFF, Clifford Ndimbo ameiambia Mwanaspoti kuwa kifo cha Mzee Ndolanga kimetokea katika Hospitali ya TMJ...
  4. Gwajima

    TANZIA Mke wa Augustine Lyatonga Mrema afariki dunia

    Mke wa mzee Augustine Lyatonga Mrema amefariki dunia ktk hospitali ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu ya shinikizo la damu. --- Mwenyekiti wa TLP, Augustino Mrema amepatwa na msiba wa kufiwa na mkewe Rose Mrema. Taarifa iliyotolewa kwa umma na Mrema imesema mkewe amefariki dunia usiku wa...
  5. and 300

    TANZIA Prof. Mathew Luhanga, aliyekuwa Makamu Mkuu wa UDSM kuanzia 1991 hadi 2006 afariki dunia

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. William Anangisye anasikitika kutangaza kifo cha PROF. MATTHEW LUHANGA, aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia 1991 hadi 2006, kilichotokea jioni ya leo tarehe 16.09. 2021. Tunatoa pole kwa familia, Chuo chetu na Tanzania...
  6. B

    TANZIA Jaji Haji Omar Haji afariki dunia

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dr. Hussein Ali Mwinyi leo ameongoza mazishi ya Jaji Haji Omar Haji huko mkoa wa Mjini Magharib Unguja Zanzibar. Jaji Omar Haji Mazishi yalihudhuria halaiki kubwa ya watu pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali, mahakama na vyama vya...
  7. Hardlife

    TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

    Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba, Hans Pope amefariki usiku huu katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya UVIKO-19 na alinukuliwa na kituo cha E-FM akisema alikuwa ICU akipambana na maradhi hayo. Marehemu Hanspope...
  8. Chachu Ombara

    TANZIA Mohamed Rashid Musa, Diwani kata ya Likombe afariki dunia

    Diwani wa Kata ya Likombe iliyopo Wilaya ya Mtwara, Mohamed Rashid Musa amefariki dunia leo Alhamisi Septemba 9 saa mbili asubuhi. Katibu wa CCM Wilaya ya Mtwara, Eliud Shemauya ameiambia Mwananchi kuwa diwani huko amefariki katika Hospitali ya Mkoa ya Ligula alipofikishwa jana Septemba 8, 2021...
  9. Shadow7

    Bondia afariki Dunia baada ya kupigwa ‘KO’

    Mwanamasumbwi wa kike raia wa Mexico, Jeanette Zacarias Zapata amefariki dunia baada ya kupita siku tano tu tangu kupokea kipigo cha ‘KO’ ulingoni. Jeanette Zacarias Zapata, 18 aliyefariki dunia Zapata mwenye umri wa miaka 18, alipigwa ‘Knocked out’ raundi ya nne dhidi ya bondia Marie Pier...
  10. The Sheriff

    TANZIA Lee "Scratch" Perry, mtayarishaji nguli wa Reggae, afariki dunia akiwa na miaka 85

    Pigo lingine laufika muziki wa Reggae. Mwimbaji na mtayarishaji nguli wa muziki wa Reggae, Lee "Scratch" Perry, ameondoka akiwa na miaka 85. Kufuatia taarifa iliyotolewa na Waziri Mkuu wa Jamaica Andrew Holness, Lee, ambaye jina lake halisi ni Rainford Hugh Perry, aliaga dunia tarehe 29 Agosti...
  11. Greatest Of All Time

    TANZIA DCI wa zamani, Robert Manumba afariki dunia

    Mkurugenzi mstaafu wa makosa ya Jinai DCI Robert Manumba amefariki dunia usiku huu. Taarifa zaidi zitakuja hivi punde === Katika utumishi wake ndani ya Jeshi la Polisi amefanya kazi katika nyadhifa mbalimbali zikiwemo Chumba cha kupokea mashtaka kuanzia mwaka (1976 – 1977), mwendesha...
  12. Replica

    TANZIA Maalim Seif Mohamed Azzan afariki dunia, alikuwa mbunge wa zamani wa Pandani na muasisi wa mageuzi

    Marehemu Maalim Seif Mohamed Azzan amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kisiwani Pemba. Marehemu ni miongoni mwa waasisi wa harakati za mageuzi na kuwaunganisha wazanzibari, kupigania haki na demokrasia ya vyama vingi. Maalim Seif Azzan amewahi kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
  13. The Sheriff

    #COVID19 Dakar, Senegal: Rais wa zamani wa Chad Hissene Habre afariki kwa COVID-19 akiwa gerezani

    Rais wa zamani wa Chad Hissene Habre, ambaye alikuwa akitumikia kifungo cha maisha nchini Senegal kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu, amefariki dunia. Taarifa hiyo imetolewa leo Jumanne na Waziri wa Sheria wa Senegal Malick Sall alisema Jumanne. Habre alikuwa na miaka 79...
  14. May Day

    India: Kijana alivyopoteza maisha kwa ajali wakati akifanyia majaribio helikopta aliyokuwa akiiunda

    Nakumbuka hata hapa nchini kuna taarifa kadhaa zinazoelezea juu ya uundwaji wa chombo hichi, na hata kumewahi kutoka lawama ni kwa nini hwapewi kibali cha kujaribu Vifaa vyao hivi. Ingawa wanasema huwezi kujua ufanishi bila kujaribu lakini nadhani kuna mashine na mashine. Hii imetokea India...
  15. P

    TANZIA Mwalimu Alex Kashasha, mchambuzi nguli wa Soka afariki dunia

    Mchambuzi nguli wa habari ya michezo maarufu kama mwalimu Kashasha amefariki dunia hivi punde alipokuwa amelazwa hospitali ya Kairuki. Chanzo mimi mwenyewe niko eneo la tukio. ---- Mchambuzi nguli wa soka nchini Tanzania, Mwalimu Alex Kashasha amefariki dunia leo Agosti 19, 2021 akipatiwa...
  16. W

    TANZIA Waziri wa zamani, Basil Pesambili Mramba afariki dunia kwa ugonjwa wa COVID-19

    Waziri wa Zamani, Basil Pesambili Mramba amefariki dunia leo agosti 17 akiwa anapatiwa matibabu regency hospital. Mramba alilazwa wiki mbili zilizopita kwa maradhi ya COVID-19. Kifo chake kimesababishwa na Mshituko wa Moyo(Cardiac arrest) Mramba aliwahi kuwa Waziri wa fedha, pia Waziri wa...
  17. mugah di matheo

    TANZIA Gerd Müller, mchezaji wa zamani wa Bayern Munich afariki dunia

    Gwiji wa zamani wa Bayern Munich na timu ya Taifa ya Ujeruman bwana Gad Mullar amefariki dunia Jana akiwa na miaka 75. Miongoni mwa kumbukumbu anazokumbukwa nazo ni Kufunga goli 34 kwenye mechi 35 za champions league Kufunga goli nyingi kwenye World cup moja Kufunga goli 40 kwenye msimu moja wa...
  18. Informer

    TANZIA Mzee ASAS (CEO wa ASAS Group of Companies) Alhaj Faraj Ahmed Abri, afariki dunia

    DEATH ANNOUNCEMENT ‎إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون "Surely we belong to Allah and to Him shall we return". It is with sadness that we share the news of the demise of ALHAJ FARAJ AHMED ABRI MZEE ASAS ) CEO of ASAS GROUP OF COMPANIES Who Passed away In Dar es salaam today Friday 13th...
  19. B

    TANZIA Profesa Justinian Anatory afariki dunia

    Aliyekuwa Naibu Makamu Mkuu Mipango, Fedha na Utawala katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya, Profesa Justinian Anatory amefariki dunia. Profesa Anatory ameacha alama zake za kitaaluma UDSM na UDOM aliko pitia akilisukuma gurudumu la maendeleo mbele. Bwana alitoa, bwana ametwaa...
  20. Idugunde

    TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa RFA, Juma Ahmed Baragaza afariki Dunia

    Aliyewahi kuwa Mtangazaji maarufu wa Radio free Afrika na Star Tv, Juma Ahmed Baragaza amefariki dunia leo Agosti 7. Atakumbukwa zaidi katika vipindi mbali mbali alivyojipatia umaarufu ikiwemo Mambo Mambo na RFA pamoja na Asili ya Mtanzania kupitia Star Tv.
Back
Top Bottom