afariki dunia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    DRC: Mgonjwa wa pili wa Ebola afariki dunia

    Mgonjwa wa pili aliyekuwa anaugua Ugonjwa wa Ebola amefariki dunia huko Kaskazini Magharibi mwa DRC. Taarifa hiyo imetolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO), ikiwa ni siku chache baada ya mlipuko mpya wa ugonjwa huo kutokea DRC. WHO imesema uchunguzi wa vinasaba ulionesha maambukizo mapya...
  2. Geza Ulole

    TANZIA: Rais wa awamu ya tatu ya Kenya, Mwai Kibaki afariki dunia

    Kenya’s former President Mwai Kibaki is dead. The announcement was made on Friday morning by President Uhuru Kenyatta. “It is a sad day for us as a country. We have lost a great leader, the former president Mwai Kibaki,” President Kenyatta said in a news conference from State House. “I order...
  3. Shark

    TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Yanga, Abdul Sauko Afariki Dunia

    Inna Lilah, Wa Inna Ilaihir Rajiuun, Aliyekua Katibu Mkuu wa Yanga Bwana Abdul Sauko amefariki leo Alfajir katika Hospital ya Mloganzila. Taarifa zaidi zitafuata ===== Abdul Sauko (kushoto) akiwa na Seif Magari (kulia). Klabu ya Yanga imepata msiba wa kiongozi wake wa zamani Abdul Sauko...
  4. JanguKamaJangu

    TANZIA Nigeria: Sis Osinachi Nwachukwu aliyeshirikishwa wimbo wa ‘Ekwueme’ afariki dunia

    Mwanamuziki wa Nyimbo za Injili kutoka Nigeria aitwaye Sis Osinachi Nwachukwu maarufu kwa wimbo wake “Ekwueme” amefariki dunia. Osinachi alishirikishwa na Prospa Ochimana katika wimbo huo, amefikwa na mauti jioni ya Aprili 8, 2022, hii baada ya kupambana na ugonjwa usiojulikana kwa takriban...
  5. figganigga

    TANZIA Balozi Emanuel Ole Naiko afariki Dunia Dar

    Familia ya Emmanuel Ole Naiko inasikitika kutangaza kifo cha BABA YAO, BALOZI EMMANUEL OLE NAIKO kilichotokea leo 30/03/22, nyumbani kwake Bahari Beach, Dar es Salaam. Habari ziwafikie wana familia waliopo Dar es Salaam, Monduli-Arusha na kwengine kote. Balozi Ole-Naiko amewahi kushika...
  6. Idugunde

    TANZIA Profesa Honest Ngowi afariki dunia kwenye ajali Mlandizi Pwani. Alikuwa mhadhiri Chuo Kikuu Mzumbe

    Habari Wote. Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Lughano Kusiluka anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Honest Ngowi na Dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo kwa ajali ya gari wakiwa njiani kuja Kampasi Kuu Morogoro. Tunaomba muwe watulivu wakati Menejiementi inaendelea kufuatilia taarifa kamili ya...
  7. John Haramba

    TANAPA yatangaza kifo cha Faru Rajabu (mtoto wa Faru John) katika Hifadhi ya Serengeti

    Shirikia la Hifadhi la Taifa Tanzania (TANAPA) limetangaza kifo cha Faru Rajabu aliyekuwa na umri wa miaka 43, leo Jumatatu Machi 21, 2022 akiwa katika Hifadhi ya Serengeti sababu ikitajwa kuwa ni uzee. Faru Rajabu alikuwa mtoto wa Faru John ambaye alifariki mwaka 2015 akiwa na miaka 47. Faru...
  8. Suley2019

    Jacob Oulanyah, Spika wa Bunge la Uganda afariki dunia

    Rais Museven kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa Twitter ametangaza kifo cha Spika wa Bunge wa Uganda Jacob Oulanyah. Museven anaeleza kuwa kifo hicho kimetokea leo majira ya saa 4:30 asubuhi kwa Ukanda wa Afrika Mashariki. Taarifa zinaeleza kuwa Jacob Oulanyah alikuwa nchini Marekani kwa...
  9. John Haramba

    TANZIA Rais Mstaafu wa Zambia Rupia Banda afariki dunia

    Rais wa zamani wa Zambia, Rupiah Banda amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85 baada ya kusumbuliwa na saratani ya tumbo. Mtoto wa Banda ameeleza kuwa baba yake amefikwa na umauti Ijumaa Machi 11, 2022 baada ya kuumwa kwa muda mrefu. Banda, raia wa nne wa Zambia alikuwa madarakani mwaka 2008...
  10. Niache Nteseke

    Msanii Pasha Lee wa Ukraine afariki Dunia

    Msanii maarufu wa Ukraine anayejulikana kwa jina la Pasha amefariki Dunia kutokana na kushambuliwa kwa makombora na wavamizi wa Urusi huko Irpin, Ukraine. Kifo cha msanii huyo kiliripotiwa na mwanasheria na mwandishi wa habari Yaroslav Kuts. "Hawakuwa na hata wakati wa kupiga picha ambazo...
  11. JanguKamaJangu

    TANZIA Mzee Said Mohamed (baba yake GSM) afariki dunia

    Mzee Said Mohamed ambaye ni Baba Mzazi wa Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) amefariki dunia alfajiri ya leo Machi 1 2022 na anatarajiwa kuzikwa leo saa kumi jioni kwenye makaburi ya Kisutu Dar es Salaam. Marehemu Mzee Said ni Mfanyabiashara wa muda mrefu Tanzania ambapo alianzisha...
  12. KELVIN GASPER

    TANZIA Beki Ally Mtoni Sonso afariki dunia, amewahi kuichezea Taifa Stars na klabu za Yanga, Kagera Sugar, Lipuli

    Beki wa KMC, Ally Sonso amefariki dunia leo katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na jeraha la mguu. Marehemu enzi za uhai wake aliwahi kuchezea timu za Yanga, Lipuli, Kagera Sugar na Ruvu Shooting.
  13. Idugunde

    TANZIA Mwandishi Emmanuel Chacha wa ITV afariki dunia. Amefariki ghafla akiwa jijini Mwanza

    Aliyekuwa mwandishi mwandamizi wa kituo cha ITV na Radio One, Emmanuel Chacha amefariki dunia jioni ya leo Februari 10, 2022 akiwa jijini Mwanza. Chacha alianguka ghafla ambapo amefariki akiwa njiani akipelekwa hospitali.
  14. John Haramba

    TANZIA Shabiki aliyeandika mabao yote ya Messi katika makaratasi afariki dunia

    Hernan Mastrangelo ambaye alijulikana zaidi kwa jina la Don Hernandied amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 101, huyu anasifika kuwa shabiki wa Lionel Messi ambaye aliandika katika makaratasi mabao yote ambayo yalifungwa na mchezaji huyo. Mjukuu wa mzee huyo, Julián ndiye ambaye alianza...
  15. Dr Restart

    TANZIA Muimbaji mkongwe wa nyimbo za Kimasai, Ole Pakuo afariki dunia.

    Kwa masikitiko makubwa, muimbaji maarufu na mkongwe wa nyimbo za injili kwa lugha ya Kimaasai, Ole Pakuo amefariki dunia. Ole Pakuo amefariki dunia leo mchana wa Tar 28-01-2022 katika hospital ya Rufaa ya kaunti ya Kajiado nchini Kenya. Alifikishwa hapo baada ya kuugua kwa muda mfupi na baadae...
  16. Ferruccio Lamborghini

    TANZIA Staa wa tamthilia ya Ertugrul, Artuk Bey afariki dunia

    Muigizaji wa tamthilia pendwa zaidi kwa sasa ya Uturuki ya Ertugrul, bwana Ayberk Pekcan maarufu kama Artuk Bey amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 51. Ayberk ambaye amecheza kama, Artuk Bey kwenye tamthilia hiyo ya Ertugrul, amekuwa akisumbuliwa na kansa kwa miezi kadhaa. Familia ya...
  17. Mwl.RCT

    TANZIA Askofu Desmond Tutu afariki kuamkia leo akiwa na umri wa miaka 90

    Rais Ramaphosa amethibitisha kifo cha mshindi wa Nobel na miongoni mwa watu muhimu kumaliza ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, Desmond Tutu katika umri wa miaka 90. Tutu aligundulika kuwa na saratani ya kibofu mwishoni mwa miaka 1990 na amelazwa mara kadhaa kwa maradhi yanayohusiana na...
  18. K

    TANZIA Sani Dangote afariki dunia

    Bwana Sani Dangote mdogo wa tajiri nambari moja Africa ameaga Dunia huko Marekani. === Sani Dangote, the vice president of theDangote Group and brother to Aliko Dangote, is dead. Mr Dangote died in the United States Sunday after a protracted illness, PREMIUM TIMES learnt. Relatively less...
  19. Thidanganyiki

    TANZIA Aliyewahi kuwa mchezaji wa klabu ya Simba, Yahaya Akilimali afariki dunia

    Aliyekuwa winga teleza wa klabu ya Simba, Yahya Akilimali, amekutwa na umauti usiku wa kuamkia leo Jumamosi ya Oktoba 30, 2021 katika Hospital ya Maweni, Kigoma. Mazishi yatafanyika leo nyumbani kwao Ujiji Kigoma.
  20. BAK

    TANZIA Colin Powell, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa kwanza Mweusi wa Marekani, afariki Dunia kwa COVID-19

    Colin Powell, the former secretary of State and chairman of the Joint Chiefs of Staff, has died from Covid complications at the age of 84. Powell was previously diagnosed with multiple myeloma, a type of blood cancer that hurts the body’s ability to fight infections. “General Colin L. Powell...
Back
Top Bottom