afariki dunia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msitari wa pambizo

    TANZIA Askofu John Ramadhani afariki dunia

    Habari zalizotufikia hivi punde ni kuwa askofu mstaafu wa kanisa Anglikana Dayosisi ya Zanzibar na askofu mkuu msataafu wa Kanisa Anglikana jimbo la Tanzania John Ramadhani amefairiki dunia. Bishop Ramadhani ni kaka wa marehemu jaji mkuu msataafu wa Tanzania Jaji Augustino Ramadhani. Bishop...
  2. P

    TANZIA Mikhail Gorbachev afariki Dunia

    Aliyekuwa rais wa Soviet Union (Russia) Mikhail Gorbachev amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 91 Gorbachev amefariki akiwa anapatiwa matibabu katika Central Clinical Hospital jijini Moscow Marehemu atakumbukwa kwa kufanikiwa kumaliza Cold War bila ya umwagaji wa damu, pia atakumbukwa kwa...
  3. Kalpana

    TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

    Mtoto wa mbunge Mwambe afariki dunia jana akiwa anaogelea na wenzanke nyumbani kwao. Alijirusha kwenye kina kifupi cha maji ndani ya bwawa la kuogelea lilipo nyumbani kwao na akagonga kichwa. Watu wazima hawakuwepo nyumbani chanzo cha taarifa kinasema. Poleni kwa familia
  4. J

    KAHAMA : Afariki dunia masaa machache baada ya kuhesabiwa kwenye sensa ya Agosti 23

    TAARIFA KWA WOTE, IELEWEKE SIO SENSA IMEMUUA ILA ALIKUWA HOSPITALI AKIJIUGUZA HAPO KABLA, KILA MMOJA AHESABIWE MIMI KAMA JABALI TAYARI NIMEHESABIWA LEO NAKUOMBA KAMA UMEKOSA NAFASI LEO SIKU BADO ZIPO KAHESABIWE. Hospitali ya Kahama, mkoani Shinyanga === Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 60...
  5. EINSTEIN112

    TANZIA Augustino Mrema, Mwenyekiti wa chama cha TLP afariki dunia

    Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Lyatonga Mrema (77) amefariki duninia leo Jumapili 21 August 2022, saa 12.15 asubuhi, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam. Mrema aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, alizaliwa Desemba 31, 1944, Vunjo mkoani Kilimanjaro...
  6. JanguKamaJangu

    Msanii maarufu wa Rwanda, Yvan Buravan afariki Dunia kwa saratani

    Mwanamuziki maarufu Nchini Rwanda, Yvan Buravan (27) amefariki Dunia baada ya kusumbuliwa na Saratani ya Kongosho. Msiba umetokea usiku wa kuamkia leo Agosti 17, 2022 akiwa India alipokuwa akipatiwa matibabu. Buravan alianza kupata umaarufu mwaka 2016 kupitia wimbo wake wa Malaika, baada ya...
  7. Greatest Of All Time

    Mzee Somo wa Simba afariki Dunia, kuzikwa leo Mtwara

    Aliyekuwa msaidizi wa mtunza vifaa wa klabu ya Simba, Hassan Mtutanje maarufu kama Mzee Somo amefariki dunia juzi jumamosi usiku. Marehemu atakumbukwa kama mmoja ya wafanyakazi wa Simba waliokuwa na mahaba mazito na klabu hiyo. Mzee Somo atazikwa leo kwao mkoani Mtwara. Apumzike kwa amani.
  8. Roving Journalist

    TANZIA Dar: Pacha Rehema aliyebaki baada ya kutenganishwa naye afariki dunia

    Mtoto Rehema ambaye ni pacha aliyekuwa amesalia baada ya mwenzake waliyetenganishwa kufariki dunia, naye ameaga Dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), jana Agosti 11, 2022. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma wa MNH, Aminiel Aligaesha amesema: "Ni kweli amefariki jana saa tano...
  9. M

    KWELI Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli alifariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 61 Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki...
  10. mawaridi

    TANZIA Ivana Trump aliyekuwa mke wa Donald Trump afariki dunia nchini Marekani

    Ivana Trump aliyekuwa mke wa Donald Trump amefariki dunia nyumbani kwake huko New York City Ivana alikuwa ni mke wa kwanza wa Donald Trump, amefariki akiwa na umri wa miaka 73 Marehemu alizaa watoto watatu na Donald Trump, watoto hao ni Donald Jr, Ivanka na Eric Taarifa za kifo chake...
  11. wanzagitalewa

    TANZIA Mbunge na Mkurugenzi wa Fedha wa zamani, Khadija Makontena afariki dunia

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan amemtumia salaam za pole Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF ) Profesa Ibrahim Lipumba, familia, ndugu na jamaa kufuatia kifo cha Mbunge wa zamani wa Chama Cha Wananchi (CUF) na Mkurugenzi...
  12. Roving Journalist

    TANZIA Pacha waliotenganishwa, mmoja afariki dunia

    Mtoto mmoja kati ya waliofanyiwa upasuaji wa kutenganishwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Neema amefariki dunia wakati akiendelea na matibabu Jumapili Julai 10, 2022. Taarifa ya Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma wa MNH, Aminiel Aligaesha imeeleza kuwa hali ya Neema...
  13. Informer

    TANZIA Mwanahabari mkongwe, Dkt. Gideon Shoo afariki dunia

    MWANAHABARI nguli na mkongwe wa siku nyingi Dkt.Gideon Shoo ambaye pia alikuwa mchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi ndani na nje ya Tanzania amefariki. Kwa mujibu wa taarifa za awali zilizoifikia DIRAMAKINI zinaeleza kuwa, Dkt.Shoo amefariki Julai 9, 2022 wakati...
  14. N

    Aliyepigwa na mashabiki wa Yanga jana, yadaiwa afariki dunia

    Nafikiri wote mliona ile clip ya shabiki yule aliyevaa jezi nyekundu kitendo kilichowakera mashabiki nguli lialia wa dar young africans wakamshushia kipondo heavy katika harakati za kulinda brand ya team yao Inasemekana jamaa kafariki dunia Hili ni onyo kwa makolo na wengineo watakaojaribu...
  15. Raymanu KE

    VIAGRA ISSUES: Jamaa afariki Dunia akila uroda na wanawake wawili

    Aisee ngono siku hizi imekuwa overrated kiukweli. How can someone just dare have an intercourse with two or more women at the same time after consuming Viagra and expect northing terrible to happen to them surely? Leo mida ya asubuhi tumeshuhudia tukio la kushangaza Sana ambapo mwanaume mmoja...
  16. J

    Nyani wamnyakua mtoto mikononi mwa mama yake, afariki dunia

    Kigoma. Kundi la nyani wa hifadhi ya Gombe iliyopo kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, limevamia nyumba ya Shayima Faya (20) na kumpokonya mtoto mchanga wakati akimnyonyesha na kutokomea naye porini ambapo baadaye mtoto huyo alifariki dunia. Akizungumza leo Jumatatu Juni 20, 2022 Kamanda wa...
  17. Sol de Mayo

    Mchezaji wa timu ya taifa ya Algeria afariki dunia

    HABARI ZA KUSIKITISHA. Kiungo mshambuliaji wa USM Alger na timu ya taifa ya Algeria 🇩🇿 B Billel Benhamouda (24) amefariki dunia kufuatia ajali ya gari. Benhamouda alicheza na kufunga katika mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya DR Congo 🇨🇩 إنا لله وإنا إليه راجعون Allah amjaalie qauli...
  18. JanguKamaJangu

    TANZIA Mtoto mchanga wa Marehemu Mbunge Irene Ndyamkama afariki dunia

    Mtoto mchanga aliyeachwa na marehemu Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamkama amefariki dunia jana Aprili 30, 2022. Mtoto huyo amefariki baada ya kuishi kwa siku saba tangu kuzaliwa kwake, Mbunge Irene alifariki dunia Aprili 24, 2022, katika Hospitali ya Tumbi wakati akipatiwa...
  19. Influenza

    TANZIA Wakala wa wachezaji, Mino Raiola afariki dunia

    Mino Raiola (54) ambaye ni Wakala wa Wachezaji wengi amefariki dunia baada ya kuugua kwa miezi kadhaa Raiola alilazwa katika hospitali ya Milan mnamo Januari 2022 na kufanyiwa upasuaji lakini aina ya ugonjwa wake haikubainishwa Wachezaji waliokuwa wakiwakilishwa na Raiola ni; Player...
  20. Aaron Arsenal

    Mino Raiola Ana hali mbaya, ni wakala wa Pogba, Zlatan, Lukaku, Haaland, Balotelli

    BREAKING NEWS: Italian football agent Mino Raiola died after illness. He was agent of Ibrahimovic, Pogba, Haaland etc 🚨 Football agent Mino Raiola has passed away according to the Italian media. 🙏😔 Taarifa Kadhaa huko Ulaya zinaripoti kifo cha wakala maarufu Raia wa Italia na Uholanzi Mino...
Back
Top Bottom