Hawa jamaa sio kama vyombo vya habari vinavyo chukua mda wa stive mangere,mwijaku,dotto magari,baba levo na wapuuzi ambao wamejazana kila kona kueleza raisi wa nchi bila kufumbua watu nchi ambazo ni fursa.
Katika kitu ambacho unatakiwa kuelewa walipotokea na ukarimu wa afghanistan ni kwamba...
Ripoti zinasema, tangu uvamizi wa Marekani nchini Afghanistan na Iraq uliotokea baada ya Shambulio la September 11:
1. Zaidi ya askari 30,000 walioshiriki uvamizi huo wamejiua. Hii ni mara nne zaidi ya askari waliokufa vitani/ kwenye mapigano.
2. Mwaka 2019 pekee askari 6261 walijiua ikiwa ni...
Taarifa za Damascus kuanguka mikononi mwa waasi zikiwa zinaendelea kusambaa na kusubiria kuthibitishwa rasmi wengi wameshangazwa na waasi wa Syria kuweza kufanikiwa kirahisi na kwa haraka sana dhidi ya utawala wa Bashar al-Assad
Hapa tunajifunza kwa vitendo pia kwamba majeshi ya Urusi, Iran na...
Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kusoma kozi za ukunga, na wanafunzi walioko vyuoni wameamriwa wasirudi masomoni, hali inayotamatisha ndoto yao ya kupata elimu hiyo.
Taarifa iliyotolewa na Shirika la Habari la BBC imesema takriban taasisi tano tofauti nchini humo...
Kupitia vyombo vya habari Kundi la Taliban linaloongoza Serikali ya Afghanistan limepiga marufuku Binadamu na Wanyama kuonekana kwenye Televisheni katika maudhui ya aina yoyote kuanzia Matangazo ya Taarifa ya Habari na burudani nyinginezo na badala yake vioneshwe vitu kama majengo, magari na...
Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake.
Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake...
Wadau hamjamboni nyote?
Huwezi amini lakini huo ndiyo ukweli
Yaani kwa ndugu wavunja undugu kwa ndugu mmoja mwenye neema kumtimua nduguye mwenye shida
Serikali ya Kiislamu ya Jamhuri ya Iran imeamua kuwatimua bila huruma Ndugu zao raia wa nchi inayofuata sheria za Kiislamu ya Afghanistan...
Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umeendeleza mkandamizo mkali kwa wanawake wa nchi hiyo kwa kupitisha sheria kali za maadili zinazotaka wanawake kuficha kabisa gubigubi nyuso zao na miili yao wanapokuwa nje ya nyumba zao pamoja na kupiga marufuku wanawake kuongea mbele ya hadhira/umma...
Ijumaa iliyopita Marekani ilikuwa inaadhimisha kujiondoa rasmi nchini Afghanistan baada ya vita dhidi ya ulichokiita ugaidi vilivyochukua miaka 20.
Kuangukia mikononi mwa Taliban kwa mji wa Kabul kulitanguliwa na kuuliwa kwa askari 13 wa Marekani pamoja na 170 wa jeshi la Afghanistan mnamo...
Baada ya Wanamgambo wa NATO kukimbia Afghanistan kwa kasi ya mwendo wa Ngiri mkia juu na kutelekeza Silaha Vifaru ndege na zana zingine kuwaachia Taliban, Military base zote kama Bagram Military base kuimefanya kuwa na Jeshi imara na sasa wanaanza kutoa msaada kwa Nchi jirani. Masaa machache...
Utaratibu wa familia masikini kuuza watoto wa kike au kuwatoa kama malipo ya mkopo umekuwepo kwa muda mrefu Afghanistan ila kudorora kwa uchumi na kurudi kwa Taliban madarakani baada ya majeshi ya Marekani kuondoka kumezidisha janga hili la kibinadamu na kushuhudia familia nyingi zaidi zikiuza...
Magaidi wa ISIS wenye mlengo wa kiislamu wakiri ndio waliua kwenye msikiti wa waislamu kule Afghanistan
Vigumu sana kuelewa mlivyo nyie watu....kuuana ndio zenu. Halafu mnalia lia udini.
Islamic State claimed responsibility for an attack on Monday on a mosque in Western Herat province in...
Sijawahi kuelewa kwanini mnapenda mauaji hivi.....
At least five people were killed and three injured after gunmen attacked a mosque during prayer time in Afghanistan's Herat province, the spokesperson for the region's governor's office said on Tuesday.
The attack happened on Monday evening...
Pamoja na yoooote, ila Marekani ni nchi fulani yenye uhuru sana akifuatiwa na Uingereza.
Hebu fikiria, kwao unafanya maandamano ya aina yoyote ile. Wanaruhusu bila tatizo na wakati nchi nyingine wanakataa.
Ujerumani walisema mtu yeyote atakayeandamana kuhusu Palestina, tunamchukua na kumpeleka...
Blazilian women taking a selfie and unarmed with the Taliban, But she was gang raped by 7 men in India.
- but if it was the Taliban that raped her instead, then US would've gone back to war with them.
⭐ Sulaiman Ahmed
⭐ Alex Barnicoat
⭐ Huma Zehra
1. Brothers
2. Lone Survivor
3. The Outpost
4. Zero Dark Thirty
5. Hyena Road
6. Combat Obscura
7. The Covenant
8. Armadillo
9. Red Sands
10. Lions For Lambs
11. The Old Guard
12. Charlie Wilson's War
13. The Objective
14. War Dogs
15. 12 Strong
16. American Sniper
17. The Hurt Locker
18...
Mazayuni ujanja umewaishia, kwanza walikiondowa Ghaza kikosi chao kikali kuliko vyote kinachoitwa Golan baada ya kuchezea kichapo na kuona morali ya askari wao ipo chini sana. Wakaona kuendelea kuwaweka hao ni kuwaua tu, wakawaondoa.
Wakaleta kimya kimya kikosi kinachoitw "kfir", hiki ni kikosi...
Tetemeko jipya la ardhi limekumba magharibi mwa Afghanistan - siku kadhaa baada ya mitetemeko miwili mikubwa katika eneo hilo kuua zaidi ya watu 1,000.
Shirika la Utafiti wa Jiolojia la Marekani (USGS) linasema kuwa tetemeko hilo la ukubwa wa 6.3 lilipiga karibu na mji wa Herat. Ilikuwa katika...
Kwa namna Marekani ilivyoonyesha upendeleo wa dhahiri, naweza kusema inatengeneza uharibifu mwingine sijui kwa faida gani!
Je, hali hii inaiweka dunia kwenye wakati gani? Je, hii ni mbinu ya Marekani kuendelea kuzimiliki nchi za Mashariki ya Kati au kiburi tu?
Je, Marekani inatawaliwa na...
Serikali ya Taliban imetoa taarifa hiyo baada ya Matetemeko Matatu yenye kipimo cha Richa 6.3, 5.9 na 5.5 kupiga upande wa Magharibi wa Nchi hiyo, umbali wa Kilomita 25 kutoka jiji la Herat
Tetemeko la kwanza lilipiga Jumamosi ya Oktoba 7, 2023 na kufuatiwa na mengine mawili ambapo awali Umoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.