africa

  1. G

    Wasanii 17 Bora wa Kiafrika wenye Wasikilizaji Wengi wa Kila Mwezi kwenye Spotify

    Makala haya yanaorodhesha wasanii wa Kiafrika kulingana na wasikilizaji wa kila mwezi wa Spotify (Monthly Spotify Listeners. Kama vile ungedhani, Afrobeats inatawala. Pata full list hapa. In March 2021, Spotify expanded into the African market, making their streaming platform accessible to...
  2. Mhaya

    Kimenuka! leo hii Wa-south africa wafanya Msako wa kutafuta raia wa kigeni wasio na vibali, Mtanzania apigwa

    Nchini Afrika Kusini, mapema leo hii Polisi na Mamlaka zimefanya msako katika Kituo cha maduka cha "China Mall" jijini Johannesburg, Gauteng, ili kuwatafuta watu ambao huenda hawana vibali vya kisheria au wanaishi nchini kinyume cha sheria. Msako huu uliofanywa na mamlaka za Afrika Kusini...
  3. DR HAYA LAND

    Watangazaji wa Radio Free Africa walikuwa na hatari sana

    Hawa jamaa mapengo yao hayajazibwa mpaka Leo Fedwaa Mohammed Baraghaza Rebecca Mulesi Fedwaa alitisha Sana - katika kuandaa sindano tano za moto Mohammed Baraghaza alitisha katika , jee huu ni uungwana la hasha huu si uungwana . Rebecca Mulesi -katika ushauri wako.
  4. Mende mdudu

    Nchi zetu za Afrika zina counter-intelligence?

    Reffences, Yuri Drozdov (the most ruthless spy catcher in kgb history) CIA na M16 walimfata wajue anafanyaje kuwanasa. Kipindi cha NATO NA USSR. Niliskia Kuna nchi moja africa ame mjazia mwenzie maspy kwa honey 🍯 trap wawe baa medi kwenye makao makuu.
  5. Technophilic Pool

    Jeshi la John Okello Israel ya Africa Mashariki liliwatindua vibaya sana Waarabu!

    Kwanini hakuna sanamu ya huyu mwamba wa kiafrica aliyetengeneza Jeshi la Kiafrica lililokua na ufanisi dhidi ya waarabu kama vile IDF ya israel. Mwamba toka Uganda alikuja Zanzibar akaona waswahili wamebong’aa kutawaza wazungu ndipo akaamua kuunda jeshi la Kibantu ambaro lilikua muarobaini wa...
  6. Mhaya

    Udini ndio sababu inayoifanya Africa kushindwa kuendelea

    Dini hizi mbili kuu zilizokuja na Majahazi ndio zinafanya mpaka sasa tunashindwa kusimama na kuwa wa moja. Mfano: Baadhi ya maeneo hapa Tanzania wanachagua kiongozi kwa kuangalia Dini yake. upewi kipaumbele kama wewe sio wa Dini yao. Kwa upande wa ukabila bado kuna changamoto kidogo hasa kwa...
  7. green rajab

    Urusi yapeleka Tu 160 (Black Jack) Strategic Nuclear Bomber Sauth Africa

    Kwa mara ya kwanza ndege za Mashambulizi ya Nyuklia za Russia Chapa Tu 160, Il 62 na An 124 zimetua bara la Afrika aidha ni mikakati ya kiulinzi na kivita inaasukwa. Update: Russia is sending several nuclear bombers to South Africa!! The deployment will include a Il-62, An-124, and Tu-160...
  8. realMamy

    “No hurry in Africa” Neno ambalo mara kadhaa limepotezea muda watu wengi sana

    Mtu kuchelewa ndege ni jambo la kawaida Afrika, kuchelewa kwenye Interview ni kitu cha kawaida, kuchelewa kazini pia. Lakini pia kuchelewa kupata huduma muhimu pia ni jambo la kawaida. Hili ni neno limewahi kukucheleweshea kitu gani cha msingi?
  9. Roving Journalist

    Rais Dkt. Samia akishiriki Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary, Oktoba 29, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Mkutano wa 11 wa Merck Foundation Africa Asia Luminary, Ukumbi wa Johari Rotana Dar es Salaam, leo tarehe 29 Oktoba, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=pO386W-gVjw
  10. H

    Where Is Arme Nando, former BBA Africa contestant?

    Yupo wapi Arme. Last time photos surfaced alikuwa teja. Did he get help?
  11. Lord denning

    Siasa ya Kutofungamana na upande wowote: Tukilifanya hili Kiuchumi tunaweza faidika kuliko Taifa lolote lile Africa.

    Habari za Jumapili Wanabodi, Kati ya maeneo ambayo inawezekana Tanzania hatujaweza kuyatumia vizuri kunufaika kiuchumi basi ni hili eneo la Siasa ya kutofungamana na Upande Wowote Sote tumeona jirani yetu Kenya anavyonufaika na msimamo wake wa wazi wa kuegemea upande wa Magharibi (West) ambapo...
  12. run CMD

    Kwenye list ya Ma-genius wanaishi kuanzia 2007 hakuna hata mmoja ametoka Africa

    Hili limeshangaza sana hakuna hata mmoja ametoboa kwenye 100 bora..huenda kwenye milioni 200 bora labda mkenya mmoja. Osama ameshika namba 43, Hans Zimmer (na. 73) The master piece mimi bado naamini ni Genius licha ya kwamba ameshindwa kuishi na wanawake kwa kutajarisha zile background music...
  13. ward41

    Mataifa ya Afrika tulipa uhuru kirahisi, Palestine wanakwama wapi?

    Vuguvugu la Uhuru barani Africa lilianza baada ya ww2. Mwishoni mwa miaka ya 50s, tayari baadhi ya mataifa yakaanza kupata Uhuru tena kwa njia rahisi sana. By 1980, tayari karibia mataifa yote yalikuwa huru Nchi za Asia na Latin America, ni Hivyohivyo. Kwa utajili wa Africa, wazungu...
  14. Tabutupu

    Tanzania Inahitaji 6 International Airports kuwa mshindani kiuchumi East Africa

    Kwa ukubwa wa Tanzania, tumechelewa sana kwenye secta ya anga. Hadi 2015 tulikuwa bado tunatumia rada za majirani zetu na tulikuwa tuna kiwanja kimoja tuu chenye hadhi ya kimataifa. Kwa sasa tuna viwanja viwili 2 ambavyo vinaweza kuhost ndege kubwa za kimataifa ambavyo ni Kilimanjaro ambacho...
  15. dr namugari

    Africa footbal league (AFL) imefikia wapi? Mbona mwaka huu haijachezwa

    Nakumbuka mwaka jana miezi kama hii ndio AFL ilizinduliwa na tukaambiwa hiiyo ndo itakuwa ligi kuu kubwa zaid badal ya CAF Championship CAFCC. Sas naona kimya as if hakuna lolote lile na sioni dalili za kufanyia kwa ligi hii. Sasa basi kupitia jukwaa hili naombeni taarifa rasmi ni nini...
  16. Logikos

    Why Africa produces what it does not consume and consume what it does not produce?

    Prof. Ali Mazrui alisema; “Africa produces what it does not consume and consumes what it does not produce.” Nimeangalia na kweli nimeona kuna ukweli mzito sana hapa. Sasa labda tujiulize WHY?! Na Je ni kweli? Na mwisho kabisa How can we rectify the Issue? As what am seeing tunapoelekea hata...
  17. trojan92

    Battle: Tanzania 🇹🇿 ( Bongo) Vs Kenya ( Elite of Africa)

    Hii ni list kuonyesha namna Tanzania iko mbali sana tuu Hii hapa list namba 7 na 8 zitakushangaza 1. TZ tuna Iconic figure wa Africa Nyerere🇹🇿 2. Best and longest SGR in Africa ipo Tz 🇹🇿 3. Lugha ya Kiswahili ni ya Tz 🇹🇿 na inazungumzwa Africa na dunia kote 4. Mlima mrefu kuliko yote Africa...
  18. Judah Tribe

    Vibaka Afrika Kusini walipua gari ya hela kwa bomu na kupora pesa (inakuaje wahalifu tena vibaka kumiliki silaha nzito za gharama?)

    Leo saa 6 mchana vibaka wenye silaha Nzito wameipiga kwa BOMU gari iliyo kuwa imebeba fedha na kupora fedha Tukio Hilo limetokea mtaa wa kwathema Gp (Gauteng) gari hiyo iliyo beba fedha ikiwa barabarani vijana sijui waliitrack vipi ghafla kilisikika kishindo tu cha bomu na majibizano ya risasi...
  19. Its Pancho

    Mpira wa Ulaya umekuwa wa kizembe sana nowdays kuliko Afrika

    I salute you kinsmen. Binafsi nimeanza kufuatilia soka la ulaya muda kidogo Liverpool die hard fans. Lakini tuseme ukweli ligi za ulaya kwa sasa uwezo wa wachezaji umekuwa mdogo sana na hakuna vipaji kabisa asilia yaani ile pure talent hakuna kabisa. Hasa hasa EPL nowdays huwa nafuatilia game...
  20. Faana

    A City in Africa that is cleaner than New York

    https://www.facebook.com/reel/1609621916563225
Back
Top Bottom