afrika kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stunnaman008

    Kwanini Afrika Kusini inataka Marekani iwekewe vikwazo?

    Rais wa Marekani ambaye hivi karibuni alikutana na Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, anajaribu kuchukua hatua za kuilinda Israel na kuzilazimisha nchi zingine zifuate sera za Washington na hivyo kuwa pamoja na Israel. Ni kwa kuzingatia ukweli huo ndio maana...
  2. T

    Bunge la Afrika Kusini, lamhoji waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi kilichowapeleka wanajeshi wa nchi hiyo DRC

    "IT IS NOT A PEACEKEEPING MISSION, IT IS AN OFFENSIVE MISSION". Wabunge wa Afrika Kusini walipokuwa wakiongea na waziri wa ulinzi na mkuu wa jeshi la South Afrika, wameonekana kutofurahia kitendo cha badhi ya watu kuamuwa wenyewe kupeleka wanajeshi nchini DRC, kwa kisingizio cha kulinda amani...
  3. Huihui2

    Sunday World: Jeshi la Afrika Kusini liliua zaidi ya wapiganaji 600 wa M23

    Kwa mujibu wa gazeti la Sunday World la Afrika Kusini, Wanajeshi wa Afrika Kusini walipambana vikali na kuwaua waasi 600 wa M23 katika mapigano makali ya saa 24 mjini Sake, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Waasi wa M23 walikusanya miili ya wenzao na kuitia moto ili kuficha...
  4. The Assassin

    Kagame: Wanaoiba Madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya, sio Rwanda

    Kwenye interview ya CNN leo tarehe 3, Rais wa Rwanda amesema yeye haibi madini Congo, wezi wakubwa wa madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya. Kagame anasema haibi madini ya Congo, anayo madini yake anachimba Rwanda. ================= President Paul Kagame says he doesn't know if...
  5. SAYVILLE

    Tumeukumbatia muziki wa Afrika Kusini ila style hii tunaikwepa

    Muziki wa Afrika Kusini uko "influenced" sana na historia zao za mapambano dhidi ya ubaguzi. Style zao za uimbaji na uchezaji zinatoka moja kwa moja katika viwanja vya mapambano ya kudai usawa na kupinga ubaguzi wa rangi. Style yao mpya ya muziki wa Amapiano imemix mitindo hiyo ya zamani ya...
  6. T

    M23 yalitembelea Jeshi la Afrika Kusini kambini kwao

    Jeshi la M23, limetembelea kambi ya Mubambiro. Baada ya mazungumzo (hawakuingia kambini, waliishia nje ya kambi). Wanajeshi wa Afrika kusini wameonyesha kuridhia ukarimu wa M23 na kuomba mambo matatu: 1. Kuruhusiwa kwenda Goma, kwa kutumia vifaru, wakakusanye vitu vyao vilivyopo kwenye kambi ya...
  7. Mkalukungone mwamba

    Binti wa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya ugaidi

    Binti wa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya ugaidi. Mbunge wa Afrika Kusini Duduzile Zuma-Sambudla ameshutumiwa kwa kuchochea ghasia na mauaji katika ghasia za Julai 2021 zilizoua zaidi ya watu 350. Zuma-Sambulida alifika ana kwa ana mbele ya...
  8. Suley2019

    Mkuu wa Majeshi Afrika Kusini amjibu Rais Kagame

    Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Kitaifa la Afrika Kusini (SANDF), Jenerali Rudzani Maphwanya, amejibu kauli ya Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kuhusu mchango wa vikosi vya ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), akisisitiza kuwa jeshi la kikanda limeisababishia hasara kubwa M23...
  9. K

    Kagame: Rwanda is ready for a confrontation with South Africa if necessary!

    Jinsi Kagame anavyojibizana na Ramaphosa naona kama anajisahau sana Sidhani kama Rwanda itaiweza South Africa. Hii ni kutoka X (Twitter) I held two conversations this week with President Ramaphosa on the situation in Eastern DRC, including earlier today. What has been said about these...
  10. Alvin_255

    Jeshi la Afrika Kusini pamoja na FARDC limefanikiwa kuwadhibiti M23 kuelekea GOMA

    🇨🇩#RDC: Jeshi la Afrika Kusini linatangaza kwamba limefaulu, pamoja na FARDC na washirika, kusimamisha maendeleo ya muungano wa M23/RDF kuelekea Goma: "Vikosi vya maadui vya M23 vilikuwa vimezindua shambulio kubwa kwa askari wetu ili kumtia Goma, lakini hawakuweza kuendeleza shukrani kwa...
  11. GoldDhahabu

    Misri na Afrika Kusini zinakoromewa na Wazungu kama wafanyavyo kwa nchi masikini?

    Marekani na nchi nyingi za Ulaya zimejuwa kama viranja kwa nchi masikini, hasa za Kiafrika. Lakini alau Misri na Afrika Kusini zipo vizuri kiuchumi. Najua fedha huwa inaongeza heshima, na Misri & South Africa zinazo. Wazungu alau wanaziheshimu au wanaichukulia kama nchi zingine za Afrika...
  12. Faana

    Falcon asafiri kutoka Afrika Kusini mpaka Finland kwa umbali wa Kilomita 230 kwa siku

    Imeelezwa kuwa ndege huyo aina ya Faicon aliyefuatiliwa mwenendo wake na kifaa cha GPS amesafiri kutoka Afrika Kusini hadi Finland akikamilishsa Kilomita 230 kila siku na kukamilisha safari yake baada ya siku 42 Habari kamili ni hii hapa The female falcon was equipped with a GPS tracker during...
  13. S

    Jinsi ubaguzi wa rangi na vita baridi vilivyochelewesha uhuru wa afrika kusini

    Afrika Kusini ilipata uhuru mwaka 1994 kutoka kwa utawala wa ubaguzi wa rangi, je ni kwanini? Miongoni mwa sababu zilizochangia ni ubaguzi wa rangi katika mataifa ya Ulaya na Marekani pamoja na vita baridi. 1. UBAGUZI WA RANGI Wapigania uhuru wa Afrika Kusini walipuuzwa walipojaribu kuomba...
  14. Waufukweni

    Afrika Kusini yaomba kuwa mwenyeji wa michuano ya Olympics mwaka 2036

    Nchi ya Afrika Kusini imeanzisha jitihada zake za kuomba kuwa mwenyeji wa Michezo ya Olympics ya mwaka 2036. Ikiwa ombi hilo litakubaliwa Afrika Kusini itakuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuwa mwenyeji wa mashindano ya Olympics. Kumbuka kuwa mwaka 2010 Afrika Kusini waliwahi kuandaa michuano...
  15. Waufukweni

    Aliyefutiwa Uraia Afrika Kusini, Chidimma aibuka mshindi wa pili Miss Universe 2024

    Malkia wa urembo wa Miss Universe Nigeria, Chidimma Adetshina, ameibuka mshindi wa pili katika shindano la Miss Universe 2024 lililokamilika Mexico City Jumamosi usiku. Miss Denmark, Victoria Kjaer Theilvig ndiye aliyeibuka Miss Universe mwaka huu 2024. Chidimma Adetshina ambaye awali...
  16. Waufukweni

    Rais wa Shirikisho la Soka Afrika Kusini (SAFA) Mbaroni kwa Kutumia Pesa za Shirikisho Kujinufaisha Binafsi

    Rais wa Shirikisho la soka la Afrika Kusini (SAFA) Danny Jordaan amekamatwa kufuatia madai ya kutumia pesa za Shirikisho hilo kujinufaisha binafsi, kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo. Jordaan, ambaye alichukua jukumu kubwa katika kuandaa Kombe la Dunia la 2010 nchini Afrika Kusini...
  17. Waufukweni

    Aliyefutiwa Uraia Afrika Kusini, Chidimma ashika nafasi ya tatu kwenye Miss Universe Pre Arrival Hot Picks

    Mrembo wa Nigeria aliyefutiwa Uraia nchini Afrika Kusini, Chidimma Vanessa Adetshina ameshika nafasi ya tatu Duniani kwenye Miss Universe Pre Arrival Hot Picks. Soma, Pia: Afrika Kusini yamfutia uraia mrembo wa Nigeria, Chidimma Adetshina pamoja na Mama yake Chidimma Adetshina, ambaye alikuwa...
  18. W

    Afrika Kusini yamfutia Uraia Chidimma

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Afrika Kusini imetangaza kuondoa hati za utambulisho wa uraia wa Chidimma na Mama yake Oktoba 29 2024, kutokana na kushindwa kutoa maelezo ya kwanini wabaki na hati hizo kufikia Oktoba 28, 2024 Uchunguzi dhidi ya Chidimma ulianza baada ya kuwa mshiriki wa fainali ya...
  19. Waufukweni

    Chino Kidd amzawadia cheni ya bei mbaya LeeMckrazy wa Afrika Kusini

    Wakuu muziki unalipa na bwana Isaya Mtambo a.k.a Chino Kidd ameendelea kuyaishi matunda ya kazi hiyo. Taza hilo licheni la bei mbaya alilomzawadia LeeMckrazy, msanii wa Afrika Kusini just for the love. Video hii pia Chino ame-repost na kuandika; "Asante kwa kuthamini kaka yangu LeeMckrazy...
  20. GoldDhahabu

    Emergency Travel Document inakubalika Afrika Kusini?

    Kwa mtu ambaye hana passport kubwa, akipata safari ya ghafla kwenda mojawapo ya nchi kama AFRIKA KUSINI, BOTSWANA, NAMIBIA, n.k., anaweza kutumia EMERGENCY TRAVEL DOCUMENT? Hiyo huwa inapatikana haraka sana, unaweza ukaipata siku iyo hiyo uliyoiomba. Afrika Kusini itakubali kumpokea...
Back
Top Bottom