Viongozi toka nchi zifuatazo wapo tayari Afrika Kusini kuhudhuria sherehe za Uapisho wa Cyril Ramaphosa,
.
1. Eswatini,
2. Lesotho,
3. Uganda,
4. Namibia,
5. Angola,
6. Palestina,
7. Egypt,
8. Kenya,
9. Zimbabwe,
10. Tanzania.
PIA SOMA
- Rais Samia kwenda Uapisho wa Ramaphosa
Chanzo: Heads of...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ametua kwa kishindo na salama kabisa Nchini Afrika kusini,ambako amekwenda kwa ajili ya kuhudhuria uapisho wa Rais wa Taifa hilo Mheshimiwa Ramaphosa utakaofanyika...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan ametuma salamu nzito za pongezi kwa Mheshimiwa Cyril Ramaphosa ,kwa kuchaguliwa kwake kwa kishindoo kwa muhula wa pili kama Rais wa Taifa hilo.
Salamu hizo zimetolewa na Rais wetu kupitia...
https://www.youtube.com/live/PTbikZP3ljI?feature=shared
=========
UPDATE:
Mjumbe wa Chama Tawala cha African National Congress (ANC), Cyril Ramaphosa, amechaguliwa tena na Wabunge kuwa Rais wa taifa hilo kwa awamu ya pili
Licha ya ushindi huo, Ramaphosa anakwenda kuongoza Serikali iliyoundwa...
Bunge jipya la Afrika Kusini litakutana kwa mara ya kwanza siku ya Ijumaa, huku vyama vikijaribu kuunda serikali ya mseto baada ya uchaguzi wa hivi majuzi kutotoa mshindi wa moja kwa moja. "Kikao cha kwanza cha Bunge kitakuwa Ijumaa, 14 Juni 2024," aliandika Jaji Mkuu Raymond Zondo katika agizo...
Chama cha African National Congress (ANC) kimeahirisha kikao chake cha kamati kuu ya kitaifa (NEC) kilichopangwa kufanyika leo Jumanne, na sasa kitafanyika siku ya Alhamisi, tarehe 6 Juni, 2024.
Mmmoja wa viongozi wakuu wa chama cha ANC ameeleza kuwa kuahirishwa huko ni matokeo ya mzozo mkubwa...
Randi ya Afrika Kusini imeimarika kwa kiasi mapema leo Jumatatu, huku wachambuzi wakisema wanatarajia kwamba mazungumzo ya kisiasa wiki hii, kuunda serikali yatachochea zaidi thamani ya sarafu hiyo.
Hii ni baada ya chama tawala cha African National Congress ANC kushindwa kupata idadi ya viti...
Nimefuatilia kidogo kilichotokea Afrika Kusini nikakumbuka hoja ya Baba wa Taifa kuwa mpinzani wa kweli wa kisiasa Tanzania, atatoka ndani ya CCM.
Mwaka 1995 Lyatonga Mrema (RIP) alipojitoa CCM alitoa upinzani mkubwa sana dhidi ya CCM. Pia Lowasa mwaka 2015 alipunguza ushindi wa CCM alipogombea...
Tume huru ya uchaguzi ya Afrika kusini (IEC) imetangaza matokeo ya mwisho ya NPE 2024 katika Kituo cha Kitaifa cha Uendeshaji wa Matokeo huko Midrand, Kura kutoka majimbo 19 na mikoa 9 zimekusanywa katika jumla ya vyama 18 vya siasa vilivyo shiriki uchaguzi huu.
Matokeo hayo yanaonyesha kuwa...
Nadhani Tanzania bado ni darasa na shule kuu ya kipekee mno ya demokrasia barani Africa. Ni nchi pekee ya wananchi wasiozingatia ukabila, ukanda wala rangi ya mtu kwenye uchaguzi.
Shukrani za kipekee ni kwa Baba wa Taifa Mw.J.K Nyerere kutujengea kama Taifa, utamaduni, mila na desturi hii ya...
Nchi ya Chile imeamua kuungana na nchi za Mexico, Columbia, Brazil, Indonesia na South Africa kwenye kesi dhidi ya Israel kwenye mahakama ya kimatiafa.
Rais Chile amesema inachofanya Israel kuua watoto na wanawake haikubaliki kwa mtu yeyote mwenye akili timamu.
Chile joins developing nations...
Chama cha African National Congress (ANC) kimepoteza wingi wake wa wabunge katika matokeo ya kihistoria ya uchaguzi ambayo yanaiweka Afrika Kusini kwenye mkondo mpya wa kisiasa kwa mara ya kwanza tangu kumalizika kwa utawala wa kibaguzi.
Mamlaka iliyodhoofika sana kwa chama cha urithi cha...
Wakuu habari,
Chama cha Umokhonto We Sizwe (MK) chini ya kiongozi wake na aliye kuwa raisi wa zamani Jacob Zuma wamejizolea asilimia 13 ya wabunge wote mpaka sasa wamesha hesabu 80% ya wilaya zote, na MK imeshika nafasi ya 3. Hata hivyo ina tegemewa kuongezeka kufika mpaka asilimia 17 zoezi la...
Wanajamii,
Tuendelee kudai uchaguzi huru navhaki kupitia katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Hii itasaidia kupata viongozi tunaowachagua wenyewe ambao watafuata matakwa yetu.
Ona Afrika kusini uchaguzi unavyoenda, ANC inaenda kupoteza wingi wake bungeni na hivyo itabidi kama kinataka...
UPDATE:
Kati ya Takriban watu Milioni 27.79 waliojiandikisha kushiriki Uchaguzi Mkuu leo Mei 29, 2024 zaidi ya 17,000 ni Wafungwa ambao wamesajiliwa kutoka katika Magereza 240 Nchini humo
Kura zinaendelea kupigwa katika Gereza la Kgosi Mampuru, Pretoria, lenye wapiga kura waliosajiliwa 2,908...
AFRIKA KUSINI: Mahakama ya Juu imetoa uamuzi unaomuondoa Jacob Zuma, Rais wa zamani wa taifa hilo katika orodha ya Wagombea katika Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Mei 29, 2024
Kwa mujibu wa nyaraka za Mahakama, imeelezwa kuwa Zuma amepoteza sifa za kushiriki Uchaguzi kutokana na Kifungo cha...
Rais Cyril Ramaphosa, Mei 15, 2024 anatarajiwa kusaini kuwa Sheria Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote unaolenga kutoa huduma bora za Afya kwa wote huku wanufaika wakubwa wakiwa ni Mamilioni ya Raia maskini
Muswada huo uliopitishwa na Wabunge Mwaka 2023 unalenga kuwapa Waafrika Kusini "wa rangi...
Watu wa Afrika ya kusini wanafanya uchaguzi mkuu wao hapo Mei 29, 2024 ukiwa ni uchaguzi mkuu wa 7 wa kidemokrasia tangu kuanguka kwa utawala wa kikandamizaji na kibaguzi wa wazungu wachache mwaka 1994.
Ifuatayo ni makala fupi iliyoandaliwa na mwandishi Nomsa Maseko wa BBCSwahili kuangazia...
Sifa anazopewa hazilingani na uhalisia, nawe kama unsmuona shujaa pengine umekuwa brainwashed
Alihamasisha forgiveness dhidi ya makaburu kwamba waendelee kumiliki ardhi takribani asilimia 85 yenye rotuba, kabla ya kutetea naomba ujibu swali rahisi, hilo shamba lako ama mashamba ya huko kijijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.