Shirika la ndege la taifa la Israel El Al litaacha kutoa safari za ndege kwenda Afrika Kusini kuanzia mwisho wa Machi, shirika hilo la ndege lilisema Ijumaa, likitaja kupungua kwa mahitaji ya wateja.
“Kutokana na hali ya usalama ilivyo sasa, kumekuwa na upungufu mkubwa wa mahitaji ya wasafiri...
Kwa wale ambao wana nafasi leo ndiyo siku ya hukumu ya kesi ambayo Afrika ya kusini ilifungua kuishitaki Israel katika mahakama ya kimataifa kuwa inafanya Genocide huko Gaza.
kwa wale walio katika mitandao, muda wa hukumu unakaribia , siyo vibaya kuifuatilia hukumu hii LIVE ili kujua argument...
Wanaukumbi.
https://x.com/qudsnen/status/1745379031334437068?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
🇿🇦🇮🇱 KESI YA ICJ - NCHI ZINAZOUNGA MKONO KUWAFIKISHA ISRAEL
Leo, Afrika Kusini inawasilisha madai ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika mahakama ya ICJ.
Inasaidia...
Afrika Kusini imewasilisha kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ya (ICJ) iliyopo The Hague Nchini Uholanzi dhidi ya Israel kwa kile ilichokitaja kuwa ni vitendo vya “mauaji ya kimbari” katika ukanda wa Gaza.
Kesi hiyo katika ICJ inahusiana na madai ya ukiukaji wa Israel wa jukumu lake...
Nchi za afrika zinazidi kujianika kwa kujionesha unafiki,ona sasa eti afrika kusini imepeleka mashtaka mahakama ya kimataifa ya haki(ICJ),kulikuwa na haja gani kuishtaki Israel?,kama kweli wanapenda haki sana kwanini wasingewashtaki Russia kwa kuua watoto wa Ukraine bila kuchokozwa?,kwahiyo sasa...
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu wakati vita vikiendelea,mori wa vita sasa umepanda kwa Iran na kusema iwapo vita havitasimama basi dunia ijitayarishe kuona taifa hilo likiuziba mfereji wa Gibraltar.
Mfereji huo kama ilivyo kwa mfereji wa Sueza na bahari nyekundu nao ni njia kubwa ya baharini...
Kura yangu ingeenda kwa Mkaburu kwa sababu zifuatazo:
1. Uongozi wao ndiyo uliyoiwezesha Afrika Kusini kuwa miongoni mwa nchi zilizoendelea duniani
2. Makaburu wanaonekana ni wachapa kazi tofauti na "Wazulu" wanaoonekana ni wavivu na wapenda starehe
3. Tokea "Wazulu" washike hatamu...
Hofu ya ghasia na mauaji ya chuki dhidi ya wageni imerejea Johannesburg ambapo Jumamosi iliyoisha nyakati za asubuhi takriban wageni saba walichomwa moto wakiwa hai katika kitongoji cha Diepsloot nje ya mji wa Johannesburg.
Hii ilifuatia msako mkubwa wa wanajamii kutafuta waharifu Ijumaa usiku...
Mashtaka 9 ya Jinai yakiwepo mawili ambayo Washtakiwa walikutwa na Hatia yalifunguliwa kwa ajili ya kupambana na Ufisadi ikiwa ni baada ya Rais Ramaphosa kuwasilisha Mapendekezo Bungeni. Mashtaka hayo yamehusisha Watu 47 na Kampuni 21
Oktoba 2022, Rais Ramaphosa aliwasilisha Bungeni Mapendekezo...
Wasauz wamekianzisha tena-wanadai wahamiaji haramu wanachukua nafasi zao za utafutaji.
Watanzania kama kawaida tutasema sisi maswahiba hatufurushwi.
--
Johannesburg, South Africa – For years, Freeman Bhengu tried to earn a living in Soweto, the township on the outskirts of the country’s...
Muswada wa Bangi kwa matumizi binafsi uliokuwa unakutana na vipingamizi kadhaa toka mwaka 2018 umepitishwa na bunge nchini humo jana Jumanne 14/11/2023.
Vyama vya ANC, DA, IFP, EFF, NFP na PAC viliunga mkono muswada wa bangi kwa matumizi binafsi, wakati FF+ na ACDP waliupinga wakati wa kikao...
Uungwaji mkono wa Palestina umezidi kupaa kote duniani.
Huko Afrika kusini jioni ya jana Jumapili kikundi cha wanaounga mkono Israel kilikuwa kimeandaa ibada ya kuiombea Israel katika vita vyake dhidi ya Hamas na kuwaombea mateka wanaoshikiliwa huko Gaza.Shughuli hiyo ilikuwa ikiendelea...
Afrika Kusini inasema utawarejesha nyumbani Wanadiplomasia wake wote kutoka Tel Aviv kufuatia mashambulizi makali yanayofanywa na Israel kuelekea Gaza.
Shambulio la bomi lililotokea Novemba 5, 2023 lilikuwa moja ya shambulizi zito zaidi kwa Israel tangu vita baina ya pande hizo ianze mwezi...
Shirikisho la soka Barani Afrika ‘CAF’ linasubiri Oktoba 06 ili kukamilisha mpango wa kupanga makundi ya Michuano ya ngazi ya vilabu iliyo chini ya shirikisho hilo kwa msimu huu 2023/24.
CAF imewalazimu kusubiri hadi Oktoba 06, ili kutoa nafasi kwa mchezo mmoja wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika...
Katika pitapita zangu nimekutana na hii article kuhusu Afrika Kusini na Chuki dhidi ya wahamiaji, wazawa hawa wakijiaminisha kwamba matatizo yao yanasababishwa na wahamiaji.
---
Inside South Africa's Operation Dudula: 'Why we hate foreigners'
South African anti-migrant group Operation Dudula...
Watu wasiopungua 70 wamepoteza maisha na wengine 52 wamejeruhiwa kufuatia moto uliozuka katika jengo la ghorofa tano katikati ya mji wa Johannesberg nchini Afrika Kusini.
Moto huo umetokea katika jengo lililopo katika eneo lenye shughuli nyingi za kibiashara la jiji hilo kubwa la Johannesburg...
Kuliko kupoteza muda na Wapuuzi na Wadhulumati wa Kigamboni Town ni bora Mimi 'Dusku' nirejee Kwetu ili nikasaidiane na Waimbaji wa Amapiano ili nijifunze Styles mpya za Kucheza Nyimbo zao.
Nimezoea kuona Wachezaji wengi Wakiondoka JNIA pale Terminal III Wakiwa ni Watu wenye Furaha na...
Wakuu mko vyede?
Kuna kipindi fulani hili suala lilizuka sana kuwa wanaoishi na HIV hasa matajiri walikuwa wanaenda South Afrika kubadilisha damu ili kupunguza makali ya ugonjwa huo.
Hii ilikuwa kweli? Maana mpaka leo naamini walikuwa wanafanya hivyo, ila swali likaja wanabadilishaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.