Mmmoja wa waliopoteza maisha katika mgomo huo unaohusisha maandamano ni raia wa Uingereza mwenye umri wa miaka 40 ambaye familia yake inaungwa mkono na Ofisi ya Mambo ya Nje ya Uingereza.
Maderava wa taksi aliitisha mgomo huo wakidai kuna mbinu nzito zinazofanywa na mamlaka za kuharibu biashara...
Getty ImagesCopyright: Getty Images
Serikali ya Afrika Kusini imetuma maombi rasmi kwa mahakama kutoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Urusi Vladimir Putin iwapo atawasili nchini humo.
Chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini, Democratic Alliance, kinasema kuwa haya ni makubaliano ya matakwa...
Kampuni ya uendeshaji wa shughuli za bandari ya International Container Terminal Services kutoka Ufilipino imeshinda kandarasi ya kuendesha bandari ya Durban nchini Afrika Kusini kwa kandarasi ya miaka 25.
Swali, kwa nini sisi DP World hatuambiwi watafanya kazi kwa muda gani?
=======...
Tembeleeni mitandao ya Michezo ya Afrika Kusini muone jinsi nyie mlivyompamba kwa mwezi mzima hadi jana mlivyompokea lakini mnavyochekwa na kudharauliwa na South Africa Football Pundits kwa kukurupuka kwenu kumsajili.
Yaani Mchezaji awe mzuri Afrika Kusini halafu giants kama Mamelodi Sundowns...
TRENI YA WATALII YA ROVOS YAPOKELEWA
Wizara ya Maliasili na Utalii, kupitia Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), imepokea treni ya Kitalii Kampuni ya ROVOS yenye Watalii 60 kutoka nchini Afrika Kusini.
Treni hiyo ilianza safari yake mwezi Juni 30, 2023 na imepita katika nchi za Botswana, Zimbabwe...
Nchi za Afrika Kusini na Congo DRC zimetiliana saini ya mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa bwawa la umeme la Megawati elfu 70 ama GW 70 katika maporomoko ya mto Congo.
Mradi huo unaoitwa Grand Inga Dam Project uko mto Congo na unakadiriwa kugharimu Dola Bilioni 80 hadi kukamilika kwake na...
Mamlaka ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Afrika kusini (Information Regulator) imeipiga faina ya Randi millioni Tano (Tsh milioni 108) Idara ya Haki na Maendeleo ya Katiba “Department of Justice and Constitutional Development” DoJ&CD. Kabla ya kupigwa faini DoJ&CD ilipewa notisi ya siku 30...
Amani na utulivu uliyokuwepo karibu na mji mkuu wa Afrika Kusini, Pretoria yatoweka kutokana na kelele za wachimba visima wanaotafuta maji.
Kwa sehemu kubwa maji yanasambazwa na umeme, hivyo kukatika kwa umeme kwa muda mrefu kumeathiri sana upatikanaji wa maji sehemu mbalimbali ikiwemo miji ya...
Uamuzi huo unatarajiwa kufanyika ili kuwa na nguvu ya kuamua mtu wa kumkamata pindi anapotuhumiwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).
Rais wa Urusi,Vladimir Putin ana mwaliko wa kushiriki kikao Agosti 2023 Nchini Afrika Kusini na yupo hatarini kukamatwa kutokana na vita inayoendelea...
Na Mwandishi Wetu Pretoria, Afrika Kusini
Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi amesema uhusiano wa Tanzania na Afrika Kusini uko imara na unaendelea kukua siku hadi siku katika nyanja mbalimbali ikiwemo sekta ya Utamaduni.
Balozi Milanzi amesema hayo Mei 22...
Chama Kikuu cha upinzani cha Democratic Alliance (DA) kimeomba mamlaka ya kupambana na Rushwa na Ufisadi kuchunguza mikataba inayodaiwa kuwa na gharama kubwa kwa ajili ya ukarabati wa nyumba za Mawaziri zinazotajwa kuwa za anasa
Ni baada ya Serikali kubainisha kuwa kati ya 2019 na 2022...
Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini ameishutumu nchi hiyo kwa kusambaza silaha kwa Urusi licha ya kudai kutoegemea upande wowote katika vita vya Ukraine.
Reuben Brigety alidai kuwa meli ya Urusi ilisheheni risasi na silaha mjini Cape Town Desemba mwaka jana.
Ofisi ya Rais Cyril Ramaphosa...
Nenda Afrika ya kusini waafrika wanataabika na kuteseka maana hawapo huru kiuchumi bali wapo huru kisiasa tu.
Wana uhuru wa kuzurula na kuropoka tu.
Uhuru wa kiuchumi hawana. Wengi ni masikini na wanataabika.
Sisi watanzania tulipoteza mali zetu badala ya kujikita kujiinua kiuchumi.
Tukio limetokea Mji wa Pietermaritzburg katika Jimbo la KwaZulu-Natal, kati ya waliouawa Wanawake ni saba na Wanaume watatu.
Ripoti ya awali ya Polisi imeeleza watu wenye silaha wasiojulikana walivamia na kufanya mashambulizi katika familia hiyo ambapo mshukiwa mmoja ameuawa eneo la tukio ...
Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini EFF kimepokea kwa mikono miwili hatua ya kukamatwa kwa Raia watatu wa Afrika Kusini ambao mmoja wa ni Thabo Bester maarufu kwa jina la ‘Mbakaji wa Facebook’, pamoja na Mpenzi wake Dr. Nandipa Magumana na mtu mwingine mmoja aliyetajwa kwa jina la...
Katika jitihada za kuvutia watalii, hifadhi ya Mikumi ina mpango wa kurejesha faru ambao walotokomezwa na ujangili miaka ya 1980 na 90.
Faru ambao wako kwenye kundi la wanyama watano wakubwa zaidi wanakosekana Mikumi. Faru wawili wa mwisho walionekana mikumi zaidi ya miaka 30 iliyopita upoteaji...
DC JOKATE AZURU AFRIKA YA KUSINI KUTANGAZA ZAO LA MKONGE NA BIDHAA ZAKE PAMOJA NA MASUALA YA UHIFADHI WA WANYAMAPORI NA MAZINGIRA - 28-03-2023
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe Jokate Mwegelo amezuru Afrika Kusini wiki hii kutangaza umuhimu wa Vijana wa Afrika kushiriki katika Ujenzi wa Afrika...
Chama cha wachache cha upinzani cha Afrika Kusini, Economic Freedom Fighters (EFF), kimesema Rais wa Urusi Vladimir Putin anakaribishwa kuzuru Pretoria licha ya hati ya kukamatwa iliyotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) dhidi yake.
Mahakama ya ICC, ambayo Afrika Kusini imetia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.