afrika

  1. JamiiForums: Je, Tunahitaji Sehemu Inayozungumzia Afrika na Uafrika?

    Waafrika wenzangu, Tupo katika enzi ambapo, kama Waafrika, tunapaswa kufikiria Afrika kwa ujumla badala ya vipande vipande. Tunahitaji kushirikiana, kujadiliana, na kujenga mustakabali wetu kama bara moja. Katika kufanikisha hili, naona umuhimu wa kuwa na sehemu maalum kwenye JamiiForums...
  2. HIV ni kirusi ambacho hadi leo hakijawahi kuonekana umbile lake sababu kinauwezo wa kugeuza na kubadilika zaidi ya maumbile 360

    - HIV ni kirusi ambacho hadi leo hakijawahi kuonekana umbile lake sababu kinauwezo wa kugeuza na kubadilika zaidi ya maumbile 360. - HIV ukiipata leo, itakuchukua WIKI moja ndio ionekane kwenye mwili wako na itachukua miaka 3-5 ndio ujitambua una HIV - HIV ukiishi nayo bila kuitibu, kama...
  3. Matajiri 17 wanaotikisa afrika

    1. Aliko Dangote Net worth: $13.9 billion Net worth in 2023: $13.5 billion Origin of wealth: Cement and Sugar Age: 66 Country: Nigeria 2. Johann Rupert and family Net worth: $10.1 billion Rank in 2023: 2 Net worth in 2023: $10.7 billion Origin of wealth: Luxury goods Age: 73 Country: South...
  4. Tanzania imetajwa katika nafasi ya 12 kwenye Ripoti ya Viashiria vya Demokrasia Barani Afrika

    Ripoti inaonyesha kuwa Kiashiria cha Demokrasia nchini Kenya kinaendelea kuwa nyuma ya Tanzania kwa miaka minne mfululizo kutokana na alama duni kwenye mchakato wa uchaguzi na wingi wa vyama, uhuru wa raia, na utendaji wa serikali. Ripoti ya Kiashiria cha Demokrasia 2023 kutoka Economist...
  5. B

    Nippon Paint Yazindua Kampuni Tanzu Afrika Mashariki, Ikilenga Kutoa Bidhaa na Huduma Zenye Ushindani Katika Soko Hili Linalokua

    (Kushoto Kwenda Kulia) Mheshimiwa Bw. Rohit Vadhwana, Kaimu Kamishina Mkuu wa India, Sharad Malhotra - Makamu wa Rais Mkuu, Nipsea Group, Hardev Singh- Rais na Mkurugenzi (Idara ya Kiwanda), Nippon Paint India, Arun Mishra - Meneja Biashara, Nipsea Paint Kenya, Jamil Virjee, Mkurugenzi Mtendaji...
  6. J

    Unafahamu kuwa Upasuaji wa Uzazi (C-Section) wa kuokoa maisha ya Mama na Mtoto ulikuwa ukifanyika Nchini Uganda kabla ya Bara la Ulaya?

    Upasuaji wa kwanza wa Uzazi (C-Section) ulifanikiwa kufanyika Barani Afrika, ambapo Mama na Mtoto wote walikuwa salama, mara nyingi ujuzi huu, ingawa Daktari Mwingereza, James Barry amekuwa akihusishwa zaidi na upasuaji huu kutokea Cape Town, Afrika Kusini. Caesarian Section (C-Section) ni...
  7. Tanzania ya tano kwa idadi ya watu wengi Afrika. Nchi 10 zenye watu wengi zaidi barani Afrika

    Nchi 10 zenye watu wengi zaidi barani Afrika Nigeria inaongoza kwa takriban watu 223,804,6322 ikifuatwana na Ethiopia ikiwa na watu 126,527,060 • Kenya ni ya saba kwa watu 55,100, 58755,001 huku Tanzania wakiwa mbelekatika nafasi ya tano.
  8. Miji mikongwe zaidi na iliyoendelea barani Afrika🌍

    1. Luxor, Misri🇪🇬 c. 3200 BC 2. Tangier, Morocco🇲🇦 c.1200 KK 3. Tripoli, Libya🇱🇾 c . 700 BC 4. Constantine, Algeria🇩🇿 c. 600 BC 5. Benghazi, Libya🇱🇾 c. 525 BC 6. Axum ,Ethiopia🇪🇹 c. 400 BC 7. Benin City, Nigeria🇳🇬 c. 400 BC 8. Berbera, Somalia🇸🇴 c. 400 BC 9. Ife, Nigeria🇳🇬 c...
  9. L

    Marekani kuchochea kile kinachodaiwa "udhibiti wa China wa maliasili za Afrika " kwafichua ubabe wake

    Kutokana na kuongezeka kwa changamato za mabadiliko ya tabia nchi, mahitaji ya mabadiliko ya nishati duniani yameongezeka katika miaka ya hivi karibuni, na kuonyesha umuhimu wa kimkakati wa Afrika ambayo ina asilimia 30 ya rasilimali za madini duniani. Hii imekuwa fursa muhimu kwa Afrika...
  10. Simba yamshusha beki wa kati Abdulrazack Hamza (21) kutoka Supersport Afrika Kusini

    Huyu ni raia wa hapa hapa ndani ila alikuwa anakipiga huko kwa Madiba. Abdulrazack ni mchezaji kijana wa Kitanzania anayecheza soka la kulipwa nchini Afrika Kusini kwa ubora mkubwa akiwa kwenye kikosi cha kwanza. Abdulrazack ana umri wa miaka 21 bado ana nguvu na muda mrefu wa kucheza soka na...
  11. Mafunzo kwa Askari wa Kike Afrika yafunguliwa Jijini Abuja, Nigeria

    Mafunzo kwa Askari wa kike ukanda wa Afrika IAWP yamefunguliwa leo Julai 02 katika kituo cha Rasilimali ya Polisi Abuja Nchini Nigeria ambapo mafunzo hayo yamelenga kuwajengea uwezo askari wa kike ukanda wa Afrika na wasimamizi wa sheria. Akiongea leo Jijini Abuja Nchini Nigeria katika ufunguzi...
  12. CCM ndio chama pekee Afrika kitadumu dahari kwa dahari

    Ni ukweli usiopingika kwamba chama cha mapinduzi ndio chama ambacho kina historia kubwa hapa barani africa,,na hii ni kutokana na historia ya viongozi wake kuwa mstari wa mbele kutoka enzi za kupigania uhuru kupambana katika harakati za kuona nchi nyingine za Afrika zinapata uhuru pia. Lakini...
  13. J

    Cleo Wilskut, Binti wa Miaka 20 anayetarajiwa kuwakilisha Vijana Bungeni Afrika Kusini

    Mfahamu CleoWilskut, Binti wa miaka 20 anayeanza Safari ya kuwawakilisha Vijana Bungeni, Afrika Kusini Je, Tanzania inawezaje kuongeza Ushiriki wa Vijana kwenye Masuala ya Uongozi/Demokrasia?
  14. Miaka 40 ya mageuzi ya ufunguaji mlango nchini China ni funzo kwa nchi za Afrika

    Mhadhiri mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Katoliki cha Kenya Profesa Becky Ndeto, amesema sera zilizotekelezwa na China baada ya kuanza kutekeleza sera ya mageuzi na ufunguaji mlango, zimesababisha ukuaji wa uchumi usio na mfano, kuleta maendeleo ya kiteknolojia, na kupunguza umaskini. Akiongea...
  15. Nchi za Afrika zimehimizwa kujifunza toka kwa China ili ziweze kupata maendeleo ya kasi

    Nchi za Afrika zimetajwa kuwa zinaweza kujifunza kutoka kwenye mtindo wa maendeleo wa China kama zikitaka kupata maendeleo ya kasi. Akiongea kwenye mahojiano maalum na Shirika Kuu la Utangazaji la China CMG, Profesa Waithaka Niraki wa Chuo Kikuu Cha Nairobi amesema, mbali na kujifunza kutoka...
  16. Dini zetu ni sehemu ya shida zetu za kiuchumi tulizonazo Afrika.

    Dini zetu hizi mbili zilikuja na wakoloni (watesi) wetu. Viongozi wa dini waliishi nyumba na mtaa mmoja na wakoloni (watesi) wetu, walisali pamoja, walikula na kunywa pamoja na wakoloni. Waliwabariki kwenye kazi zao za utesi na uporaji wa rasilimali zetu, kuwaombea mema na afya tele na kubatiza...
  17. Unajisikiaje kufahamu kuwa Afrika haipo nyuma kwa kila kitu?

    Leo nilipokuwa ninaperuzi mtandao wa Quora, nilikutana na mada moja inayohusiana na mighahawa ya KFC na McDonald barani Afrika. Mmoja wa wachangiaji alieleza kuwa Afrika Kusini na Misri ndizo nchi zinazoongoza kwa kuwa na hiyo mighahawa barani Afrika. Hata hivyo, baadhi ya matawi ya KFC Afrika...
  18. Demokrasia ni kwa mataifa yaliyoshibisha wananchi wake, kwa Afrika hazitufai.

    Kenya ni nchi lege lege, inayo practise jambo ambalo wakati wake bado haujafika, najaribu kujiuliza ilikuwaje taifa hilo likakubali muhimili wake muhimu sana kufanyiwa dhihaka na fedheha namna ile, #A perfect democracy is not for Africa. # wenzetu wachina waliona hili mapema sana wakaliepuka...
  19. L

    China yalivalia njuga suala la kutoa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana wa Afrika

    Ushirikiano kati ya China na Afrika katika elimu na mafunzo ya ufundi stadi ni muhimu sana na kwa sasa unaonekana kudumisha kasi nzuri, vilevile umeendelea kustawi kwa pande zote. Kupitia ushirikiano huu vijana wengi wa Afrika wananufaika katika masuala ya ufadhili wa masomo na kuja kusoma...
  20. vugu vugu zilizoanza kenya zinaweza kutapakaa afrika nzima

    Kuna dalili inaonekana vijana wamechoka na serikali za kiafrika mifumo yake.kinachoendelea kenya kinaanza kuamsha wengine nchi za afrika. mda utasema tu mpaka kufikia 2028
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…