afrika

  1. Kama haya ndiyo Mafanikio makubwa ya TP Mazembe kwa Soka la Afrika ambalo Yanga SC bado Wanajitafuta, walichokuja Kujifunza Kwao ni nini / kipi?

    Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe ana Makombe Matano ya CAFCL Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe ana Makombe Matatu ya CAFCC Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP Mazembe amefika CAFCL Semi Finals mara 19 Aliyekuja kujifunza Yanga SC ( Tanzania ) TP...
  2. M

    Berghahn Journal ya Ujerumani inaandika, viongozi wa Afrika wapigania Uhuru walikuwa na akili sana kuliko kizazi kilichofuatia baada ya uhuru

    Kutoka kwenye jarida hilo Wanasema kuwa Afrika kutoendelea ni sababu ya viongozi kutokuwa na uwezo mkubwa wa kiakili ilihali wamelalia rasilimali lukuki. Jarida linasema wapigania uhuru wengi walikuwa ni watu wenye akili kubwa na maono makubwa na nchi zao kuliko viongozi wa sasa ambao wao...
  3. Umoja wa Afrika una faida gani kwa Waafrika?

    Ingefaa kwamba Umoja wa Afrika (AU) ingekuwa kama baba kwa nchi za Afrika. Uwepo wake ulipaswa kunufaisha raia wa nchi wanachama! Pamoja na uwepo wa AU, bado nchi za Afrika zimeendelea kuwa kama watoto wasio na waangalizi. 1. Vita vya wenyewe kwa wenyewe, mfano ilivyotokea Rwanda na baadaye...
  4. Rais Samia amefeli wapi? Gerson Msigwa amkumbuka shujaa wa Afrika hayati JPM

  5. Jinsi Radio Free Afrika ilivyoyumba na kupoteza ubora kutokana na Mmiliki wake kuitumia Kisiasa

    Ukizungumzia miongoni mwa vyombo vya Habari ambavyo vina uwekezaji mkubwa kwenye miundombinu naamini RFA kutoka Sahara Media itakuwa namba 1 kabisa. Radio hii imewahi kuwa na Watangazaji bora kuwahi kutokea na waliokuja kubadili kabisa sekta ya Utangazaji nchini. Lakini Radio Free Afrika...
  6. Haya mambo kumbe hata Korea wanafanya, nilidhani ni Afrika tu

    Hao wanajeshi wa korea ya kaskazini.
  7. L

    Afrika haiwezi kupata maendeleo kama itaendelea kuwa chini ya udhibiti wa mfumo wa kimataifa

    Kwa muda mrefu sasa suala la maendeleo ya nchi za Afrika limekuwa ni mjadala kwenye majukwaa mengi ya kiuchumi na kisiasa duniani. Licha ya juhudi zinazofanywa na nchi za Afrika, hatua za maendeleo zimekuwa ni polepole sana ikilinganishwa na sehemu nyingine duniani. Kuna wanaosema hali hii...
  8. U

    Rais Samia akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika pamoja na wajukuu zake Ikulu Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar es Salaam. Siku hii huadhimishwa Juni 16 ya kila mwaka. Katika kuadhimisha siku hii, Rais Samia amesisitiza umuhimu wa Serikali, familia na jamii...
  9. Heri ya Siku ya Mtoto wa Afrika 16 Juni, 2024

    Wazazi na Walezi Salaam. Nawakumbusha kuwatakia Watoto wenu wote chini ya umri wa miaka 18 Heri ya Siku ya Mtoto wa Afrika Leo Juni, 2024. Wapeni Wosia kuwa: wamshike Sana Elimu, wasimuache aende zake....🇹🇿🤝✍🏻 Zaidi ya yote tuseme nao kuhusu janga la ukatili dhidi yao, tusiwaonee aibu maana...
  10. Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika

    Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kila Mwaka ifikapo Juni 16 kuwakumbuka Watoto waliouawa na Serikali ya Kibaguzi huko Soweto Mwaka 1976 wakiwa katika Maandamano ya kudai Haki zao ikiwemo Haki ya kupata Elimu na kufundishwa kwa kutumia Lugha zao Asilia
  11. L

    Rais Samia Atuma Salamu Nzito za Pongezi kwa Rais wa Afrika kusini kwa kuchaguliwa kwake Awamu ya pili.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan ametuma salamu nzito za pongezi kwa Mheshimiwa Cyril Ramaphosa ,kwa kuchaguliwa kwake kwa kishindoo kwa muhula wa pili kama Rais wa Taifa hilo. Salamu hizo zimetolewa na Rais wetu kupitia...
  12. L

    Akili Mnemba haipaswi kuwa chombo kipya kwa Marekani kuchochea "mashindano ya mataifa makubwa" barani Afrika

    "Mustakabali wa akili bandia barani Afrika ni upi?" Wakati swali hili linaingizwa kwenye majukwaa kadhaa ya akili bandia mitandaoni, jibu lake huwa ni: "mustakabali wa akili bandia barani Afrika umejaa fursa… utaonesha nafasi muhimu katika sekta mbalimbali kama vile huduma za afya, kilimo na...
  13. Wakati afrika inawaza kupeleka mbele Afcon 2025 naiona Euro inayoongozwa na watu wenye msimamo iking'ra sana

    Motsepe na genge lake bado hawana uhakika wa kuwa na Afcon msimu wa 2025 kwa sababu inaingiliana na ratiba mpya ya vilabu duniani. Wakati huo huo msimu huu inaonekana kabisa Euro inaenda kuwa na ushindani mkubwa na mvuto usiomithirika kiasi kwamba watu hata hawaongelei Copa America. Namshauri...
  14. J

    Posta Tanzania kushirikiana na Posta za Afrika

    Arusha 🗓️ 12 Juni, 2024 Shirika la Posta Tanzania limejidhatiti kushirikiana na Posta nyingine Barani Afrika hususani katika huduma za Biashara Mtandao “E-Commerce” pamoja na huduma za Usafirishaji. Hayo yamebainishwa na Postamasta Mkuu Maharage Chande wakati akizungumza na Postamasta wakuu wa...
  15. Ni Afrika pekee ndio Wana msemo wa kipuuzi kama huu kwenye mahusiano

    Ni Afrika pekee na nchi ambazo ni maskini ndio wanamsemo huu ufuatao, "WANAUME HATUJAUMBIWA MWANAMKE MMOJA" Sijawahi ona nchi zilizoendelea "Developed Countries" wakiongea huo upuuzi wa Wanaume hatujaumbiwa Mwanamke mmoja. Nimeishi U.S.A, ULAYA NA ASIA LAKINI SIJAWAHI KUONA KITU CHA KIJINGA...
  16. Vyama vinavyong'ang'ania madaraka kama CCM ndiyo huleta machafuko na mapinduzi Afrika

    Leo nimeunganisha matukio ya vyama vikongwe vya siasa Afrika ambavyo vimeonesha weledi wake na kufanya nchi zao ziwe za kupigiwa mfano Afrika. Chama cha kwanza ni chama cha United National Independency Party (UNIP) Cha Zambia ambacho kilitawala Zambia tangu mwaka 1964 hadi mwaka 1991. Mwaka...
  17. Ingekuwaje kama Josephine Myrtle Corbin angezaliwa Afrika kipindi hicho?

    Jina lake ni Josephine Myrtle Corbin. Alizaliwa Marekani 12/05/1868. Maumbile yake hayakuwa ya kawaida. Alizaliwa akiwa na miguu minne, na pea ya viungo vya uzazi uzazi. Madaktari mbalimbali waliomfanyia uchunguzi walibainisha kuwa Josephine alikuwa na afya njema na anaweza kuishi kama binadamu...
  18. Waarabu wa Afrika ni Waarabu au Waafrika?

    Kwa mujibu wa takwimu, nchi za Kiarabu zipo 22. Kumi na mbili zipo bara la Asia na kumi zipo Afrika. Zilizopo Afrika ni Algeria, Comoro, Djibouti, Misri, Libya, Mauritania, Morocco, Somalia, Sudan, na Tunisia. Kwa kuwa inafahamika kuwa Afrika ina jumla ya nchi 54, waliopo kwenye hizo nchi 10...
  19. Mwanajeshi Mstaafu wa Marekani adai Nchi za Afrika zirudishwe kwenye Utawala wa Kikoloni kwa kushindwa kujisimamia zenyewe

    Erik Prince, afisa wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Marekani na mwanzilishi wa kampuni ya binafsi ya kijeshi ya 'Blackwater', hivi karibuni alitoa maoni yake kwamba nchi za Kiafrika zinapaswa kurudishwa kwenye ukoloni kwa sababu viongozi wake wana ufisadi na ubinafsi. Prince alitoa mtazamo...
  20. Kama serikali inakanusha kuhusu huu mkopo na dhamana ya madini mbona korea walikuwa na ajenda kuhusu afrika

    Serikali mpaka sasa inakanusha kuhusu mkopo na dhamana ya madini ila korea walishafanya kikao kuhusu madini wanayotaka afrika. Naomba tuunganishe dot hii https://www.youtube.com/watch?v=1_46tHD6Y6s
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…