Tarehe 20 Mwezi huu, huko Marekani kutakuwa na tukio la kuapishwa kwa rais.
kuna baadhi ya viongozi wamealikwa, na wengine hawajaalikwa; Swali, kama hujaalikwa, utaweza kuhudhuria?
Na katika kuwaalika, wametumia vigezo gani? Na je, kutoka bara la Afrika, ni wangapi wamealikwa?