afya

  1. KERO Uchafu wa Stendi ya Mabasi Tabora unatishia Afya za watu

    Alfajiri ya leo niliamka mapema sana nilikua na mdogo wangu anasafiro sasa nikampeleka Stendi kuu ya mabasi Tabora ili aweze kusafiri. Nilichoona sikuamini macho yangu, maana nimekanyaga Bahasha ya Kaki nikahisi kuteleza kumbe ndani ilikua na Jivi (Mavi) nikasogea kumpeleka bwana mdogo apande...
  2. Uchekeshaji na Afya ya akili

    Kadri tatizo la afya ya akili linavyoongezeka, na wachekeshaji nao wanaongezeka.
  3. Jenista Mhagama: Miundombinu Sekta ya Afya Peramiho Yazidi Kuimarika

    JENISTA MHAGAMA: MIUNDOMBINU SEKTA YA AFYA PERAMIHO YAZIDI KUIMARIKA Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa shilingi Bilioni 40 kwa mwaka wa fedha 2023/24 ili kuendelea kuimarisha miundombinu ya miradi mbalimbali ikiwemo ya Sekta ya Afya kwa kujenga Hospitali pamoja na vituo vya Afya katika...
  4. B

    Exim Benki yaamsha Matumaini kwa Wagonjwa wa Afya ya Akili

    Benki ya Exim Tanzania imefanya tamasha linalojulikana kama ‘Exim Bima Festival 2024’ lenye lengo la kuchangia huduma za afya hususani kwa Wagonjwa wenye changamoto ya Afya ya Akili. Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete amezindua Tamasha la Exim Bima Festival ikiwa...
  5. C

    Mtoto ana mwaka na miezi 7 na mama yake ana ujauzito ila afya ya mtoto kama inazorota

    Wazazi wenzangu naombeni msaada hapo niweze kuvuka kama Kuna sayansi yoyote nisaidieni nitumie Mtoto anaharisha, nimeenda hospital wamempa oral lakini naona hali yake kiafya inaporomoka, kula amepoteza hamu ya kula hali, muda mwingine unakuwa unashindwa ununue nini Ili ale Nitumie mbinu gani...
  6. CV za Mawaziri wa Afya kutoka nchi baadhi za Afrika

    Habari gani wana jamvi, leo nimekaa nikawa napitia baraza la mawaziri pamoja na sifa za wateule hao katika sekta mbalimbali kisha nikakutana na document moja hivi ikizungumzia mawaziri wa Afya nchi mbalimbali Africa. Nilipomaliza kuisoma hiyo document kwanza nikajiuliza, ni nani aliyeandaa doc...
  7. Hata kama tuna hela na utajiri ila tuzingatie sana Afya zetu na tuwe na nidhamu nzuri ya kunywa dawa zetu

    Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake anadaiwa kufariki dunia ndani ya gari aina ya Range Rover Sport HSE, Magomeni Mapipa, Mtaa wa Idrisa, jijini Dar es Salaam karibu na Bar ya Chipolopolo leo Jumanne, Septemba 24, 2024. Mwananchi ambayo ipo eneo la tukio inasubiri polisi wafike eneo hilo...
  8. Prof. Mkenda azindua Kituo cha Afya Makoga (Wanging'ombe) kilichojengwa kwa zaidi ya Tsh. 500

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Njombe, leo Septemba 21, 2024 ikiwa ni siku ya pili. Prof. Mkenda amezindua Kituo cha Afya Makoga katika Jimbo la Wanging'ombe kilichojengwa na Serikali kwa...
  9. Afya ya Akili: Sikuwa hivi nilivyo

    Watu wengi mtu anapokosea kufanya jambo, tunalaumu. Wachache hujiuliza amekutwa na nini. Jambo tusilofahamu ni kwamba, kila moja achukuliwe kwa upekee alionao. Haina maana tumpongeze mtu anaevunja taratibu nzuri katika jamii zetu. Upekee hujengwa na sababu za kimazingira, na za kibaiolojia...
  10. Waziri Jenista Mhagama: Serikali Kuendelea Kuboresha Huduma za Afya Ruvuma

    Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mhe. Jenista Mhagama ameuhakikishia umma wa wanaruvuma kuwa Serikali kupitia Wizara ya Afya itaendele na uboreshaji wa huduma za Afya ikiwemo upatikanji wa vifaa, vifaa tiba pamoja na dawa. Waziri Mhagama amesema hayo Septemba 20, 2024 baada ya...
  11. Unashiriki maandamano una bima ya afya? Au unataka kuwapa mzigo wa matibabu ndugu zako?

    Unashiriki maandamano una bima ya afya? Au unataka kuwapa mzigo wa matibabu ndugu zako?
  12. KERO Hili Dampo katika Shule ya Msingi Oysterbay (Manyara) ni hatari kwa Afya, liondolewe

    Wanafunzi wanaosoma Shule ya Msingi Oysterbay, iliyopo Wilaya ya Babati Mkoa Manyara wapo hatarini kupata magonjwa ya mlipuko kama Kipindupindu kutokana uchafu uliozagaa pembezoni mwa Shule hiyo. Mimi ni mkazi wa Jirani na shule hiyo, kuna Dampo kubwa lililojaa uchafu na kutokana na upepo na...
  13. L

    Mrejesho: Wahudumu wa afya ngazi ya Manispaa ya Bukoba mkoa wa Kagera tunawashukuru sana JamiiForums

    Kwa Niaba ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii (C H Ws) BUKOBA MANISPAA, MKOA KAGERA. Tunawashukuru sana Uongozi wa JamiiForums . Baada ya kuripoti changamoto yetu February 2024 ya madai Ya posho ya uhamasishaji wa ugonjwa mlipuko wa Murbug Tangu March 2023. Hivyo changamoto yetu ilitatuliwa...
  14. Biashara ya utumbo wa kuku Dar inahatarisha Afya za Walaji, Mamlaka chukueni hatua

    Katika Jiji la Dar es Salaam ambalo kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi wapo wakazi zaidi ya Milioni sita, shughuli mbalimbali za kibiashara zimekuwa zikifanyika kama sehemu ya Watu kujipatia kipato. Hata hivyo, miongoni mwa biashara ambazo zimekuwa zikifanyika nyingine uibua wasiwasi na...
  15. Waziri wa Afya, Mhagama atembelea JKCI, asisitiza Ubora wa Huduma uendane na lugha za staha kwa wagonjwa

    Serikali kupitia Wizara ya Afya itaendelea kuhakikisha tija na ustawi wa wauguzi, madaktari na watumishi wote wa Sekta ya Afya kupata stahiki zao pamoja na kuwasimamia na kufuatilia wajibu wao katika kutekeleza majukumu yao ikiwemo kuwa na lugha zenye staha kwa wagonjwa (customer care). WAZIRI...
  16. Sheria ya bima ya afya kwa wote yaanza kutumika, kipengele cha 'lazima kwa wote' chasitishwa matumizi

    Waziri wa afya, Ummy Mwalimu ametoa tangazo la kuanza kutumika sheria ya bima ya afya kwa wote Tarehe 16 Agosti, 2024. Awali bima hii ilikuwa iwe lazima kwa wote na kuleta mjadala mkubwa lakini tangazo la matumizi halijajumuisha kipengele husika.
  17. Wataalam wa Afya waingia mtaani kufanya jitihada za kudhibiti magonjwa ya kuhara Mkoani Simiyu

    Timu ya Wataalamu wa Afya ngazi ya Wizara, Mkoa, Wilaya na Shirika la Afya Duniani (WHO) imeingia mtaani na kufanya zoezi la upimaji sampuli za maji katika Visima, Mabwawa na Kaya pamoja na utoaji wa Elimu Wilayani Itilima Mkoani Simiyu. Taarifa ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu imesema Elimu...
  18. Hivi apple huwa zinatiwa nini? Nina apple limekaa zaidi ya mwezi lakini halina hata dalili ya kuoza!

    Salam kwa jina la misosi, Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo, kiasi nna ka uvivu ka kula, naweza kununua kitu nikasema ntapika au nile napitiwa hadi nije kushtuka kimeshaharibika zamani. Sasa ili apple nilinunua mwezi wa saba kwenye tarehe kumi naa huko, uvivu wangu wa kula kama...
  19. Ubora wa afya yako ya akili

    UBORA WA AFYA AKO YA AKILI. Ipo haja kubwa ya kutoa elimu zaidi kuhusu maana ya afya ya akili na jinsi ya kujitambua iwapo uko na changamoto hii, watu wengi wanahesabu afya ya akili ni ukichaa ambapo imani hii inawafanya hata wanapokuwa hawako sawa wanaona ni kawaida. Lakini kwa uhalisia...
  20. L

    Interview za afya na haki

    Kwanza niipongeze wizara husika Kwa hatua iliyochukuliwa ya kuwafanyisha usaili ..maana italeta haki Kwa watoto wasiokuwa na watu au connection za kuwaingiza kwenye system Yani ufaulu wako ndo utakaokusaidia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…