agnesta kaiza

Agnesta Lambert Kaiza (born November 17, 1977) is a Tanzanian politician and a member of the CHADEMA political party. She was elected as a member of the Special Seats as women representative and serves as member of parliament since 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Agnesta Kaiza: Jimboni kwangu Segerea, mvua zikinyesha barabara nyingi hazipitiki

    https://www.youtube.com/watch?v=4q282jxs_3E Mbunge wa Jimbo la Segerea, Agnesta Lambert Kaiza, kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), amesema kuwa katika jimbo lake bado kuna kero kubwa ya barabara, hususan za ndani. Ameeleza kuwa mvua zinaponyesha, njia nyingi hazipitiki...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Agnesta Kaiza aahidi kuwafuta machungu Wananchi wa Segerea

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, ameahidi kuwafuta wananchi machungu waliyoyapata wakati wa uongozi uliopita chini ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Bonnah Kaluwa. Akizungumza Oktoba 26,2025 katika moja ya mikutano yake ya kampeni...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Agnesta Kaiza atua kwenye tawi la Yanga, Kisukuru kuomba kura

    Mgombea Ubunge Jimbo la Segerea kwa tiketi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, akiomba kura wakati wa kampeni yake ya mtaa kwa mtaa iliyofanyika kwenye kata ya Kisukuru jimboni hapo. Akiwa tawini hapo mgombea huyo amesema kuwa wale walioaminiwa kwa miaka 10 hawajafanya...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Kaiza: Vijana wapo mtaani hawana ajira, hawaajiriki, fursa za mikopo haziwafikii, wanaonekana wahuni, aahidi kutatua kero kwa wakati

    Mgombea ubunge Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, amesema kuwa endapo wakazi wa mtaa wa Amani kata ya Liwiti watamchagua kuwa Mbunge, atahakikisha kwa kushirikiana na Diwani wa kata hiyo kupitia chama hicho, watashughulikia changamoto zinazowakabili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…