Heshima sana wanajamvi,
Last week nilikuwa UAE 🇦🇪 Dubai, nilitumia usafiri wa ATCL kwa mara ya kwanza.
Mambo matano ya hovyo niliyashuhudia.
Mosi Wahudumu ni wazee na wana miili mikubwa kama Mama Ntilie.
Pili ATCL hawana connection nzuri ambayo ipo lakini kwa ujinga, ushamba, upumbavu...
Hatimaye Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuimarisha Mashirika yake matatu, TRC, Air Tanzania, POSTA, Wananchi tunasubiri TTCL na BRT.
Hongera sana Serikali ya Tanzania kwa kufanikiwa kurejesha heshima ya nchi iliyokuwa imepotea kwa muda mrefu mmejitahidi sana.
Miakaka ya nyuma hatukuwa na...
Jumatatu iliyopita ilikuwa nitoke Mwanza kwenda dar kwa ndege ya shirika flani X saa sita mchana tukaambiwa kuna shida tukapelekwa hotelini tukaambiwa inaweza ondoka jioni. Jioni haikuwa hivyo tukaambiwa labda saa nne usiku, haikuwa hivyo tukalala hadi asubuhi.
Asubuhi tukaambiwa labda saa sita...
Baadhi ya wateja wa Air Tanzania wamelalamika mtandaoni kuwa ndege yao ya Air Tanzania iliyokuwa iwapeleke Dar es Salaam ilichelewa jambo lililosababisha wafike Dar kwa kuchelewa.
Air Tanzania iliwatafutia vyumba vya kufikia ambavyo wateja hao wamelalamika kuwa vilikuwa na hadhi ya chini sana...
Habari wakuu
Mwisho wa mwezi huu Nina safari ya kwenda MPANDA, kwakua ni safari ya zaidi ya masaa 17 nikaona bora nipande ndege ili nisijichoshe na safari ndefu. Nikaamua nianze mchakato wa kubook ticket mapema 😤 nimekuta gharama yake ni zaidi ya Tsh 700k kwa Mtu Mmoja na hiyo ni kuenda tuu sio...
Nchi ya Tanzania ilinunua ndege mpya aina ya dreamliner natumaini ni mwaka 2021 lakin ndege hii haina zaidi ya miaka mitatu tayari iko gereji. Ndege mpya aingii akilini mwangu. Wakati ndege hiyo inapelekwa kwenye matengenezo wananchi hatukutaarifiwa na baadaye raia mwema ndo katoa taarifa...
Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) imekanusha taarifa inayodaiwa kusamba na Mtanzania aitwaye Issa Azam aliyedai kuna raia wa Tanzania ambao walikuwa Abiria waliotelekezwa na Ndege hizo katika jiji la Guangzhou
https://www.youtube.com/watch?v=r1yNAnTHyC0
Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa amefika katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam (JNIA) kama mgeni rasmi katika tukio adhimu la kupokea ndege mpya aina ya Boeing B 737-9 ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), leo...
Jamani ndege kama hii BOEING 737-9 max ni ndege ya gharama sana achana na ununuzi wake tu bali hata maintenance pia.
Inasikitisha kuona Rais anatumia ndege hii yenye gharama kiasi hiki huku ndege ya Rais ikiwepo bado.
Sitashangaa ikipata hitilafu tukaitelekeza mahali kwa sababu matumizi yake...
Nilienda katika ofisi hiyo kutafuta huduma na kilichonishangaza ni kuona watumishi wa ofisi hiyo hawavai sare. Hapo zamani ukifika ofisi za Air Tanzania unakutana na watumishi wenye customer care na wamevaa sare za sketi blue na blouse za njano na beji kwa akina dada na wanaume wakiwa pia na...
Ndugu zangu naomba nitoe la moyoni kuhusu Air Tanzania Head office. Kama wakisoma na wakikasirika ni sawa tu. Sio wote humu ndani tunaishi Tanzania tuna book ticket online tunahitaji confirmation kuhusu ndege na kila kitu ila ukipiga simu kwanza wafanyakazi wana dharau sana tena sana na pia...
Tarehe 30-12-2023 nimepanda ndege yenu iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kwenda Guangzhou iliyopewa ruti namba TC 402.
Button za viti ambazo utumika kuweka kiti kwa mkao anaoutaka mtumiaji nyingi zimeharibika.Hili linapelekea msafiri kutokuwa na uwezo wa kuweka kiti atakavyo na kupelekea kero...
WAHUSIKA WASOME UJUMBE HUU HARAKA!
Ndege ya air Tanzania iliyotokea Kilimanjaro International Airport kupitia Zanzibar asubuhi tarehe 7/12/2023 tairi la nyuma limekwisha libadilishwe!
Hapa majuzi gazeti la Mwananchi liliripoti juu ya safari za anga kusishwa na shirika la ndege la Air Tanzania! nilileta uzi humu kuonesha jinsi Gazeti la Mwananchi limekuwa likichapisha habari za uongo lakini wapo wadau walinibishia kuwa sio kweli safari ziekufa.
Sasa Fatilia mwenyewe...
Hivi karibuni, Tume ya Kimataifa ya Kusuluhisha Migogoro ya Uwekezaji, ambayo ni sehemu ya Benki ya Dunia, imefunga usuluhishi dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tume hiyo imetoa adhabu yake, ikiamuru Tanzania kulipa fidia ya zaidi ya Dola za Marekani Milioni 109.5 sawa na takribani...
Tuliwaita mabeberu na majina ya kuwabeza lkn wao bado wanatujali.
Hatimaye dege letu lililokuwa limepigwa pin huko kwa mabeberu hatimaye limefunguliwa.
Asante sana wazungu kwa uwajibikaji.
Kuhusu ndege kukamatwa soma
Serikali yakiri Ndege yake kushikiliwa Uholanzi, sababu ni kushindwa kesi...
Shirika la Ndege Tanzania ATCL ni moja ya mashirika ambayo kwa kipindi cha nyuma walikua na nidhamu ya muda wa kusafirisha abiria kuliko wengine Hususan kipindi cha mwendazake JPM Magufuli, Usiku wa kuamkia jana Aprili 16 nilipaswa kusafiri kutoka Mwanza kwenda Dar majira ya saa 8:30 usiku...
Je, umesafiri kwa ndege za ATCL hivi karibuni?
Basi utakumbana na madudu ambayo yalikuwepo miaka takriban 20 iliyopita.
Schedules za ndege ni kizungumkuti.
Unaweza kusubiri ndege airport utafikiri unasubiri basi la kwenda Igunga.
Ndege kuchelewa kuondoka kwa masaa 3 hadi 4 sasa ni jambo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.