air tanzania

  1. Inanambo

    Je, Air Tanzania walishaita watu wa ajili ya usaili?

    Naomba mwenye kufahamu kama Air Tanzani walishaita Interview ya Cargo Officer na Sales. Walitangaza October 2019. Nikaona Nina sifa walizotaka Hadi leo sijapata Jibu.
  2. Kaka Pekee

    Kwa hasara ya ATCL hivi ndivyo Mkulima atafanya akiikamata tena ndege Boeing/ Jet Liner

    ]
  3. Consultant

    Air Tanzania na huduma mbovu ya usafirishaji wa Parcels/ Mizigo

    Nilitumiwa parcel moja kutoka Dodoma kuja Dar last month. Suprisingly, akapewa mtu mwingine anayeishi Chanika. Yaani ilichukua zaidi ya masaa 28 kuipata ile parcel na ilinilazimu mimi kudrive kumfuata alipo. Nimetuma box dogo tu lenye documents kwenda Bukoba tangu tarehe 30 December. Cha ajabu...
  4. FRANCIS DA DON

    Je, ni kwanini Hamisa Mobetto asiajiriwe kuwa 'air hostess' wa Air Tanzania?

    Nadhani hii itapelekea watu ambao hata hawakua na mpango wa kusafiri waaanze kutunga safari za uwongo na ukweli ilimradi tu wamiminiwe chai na Hamisa Mobetto, hii ni strategy ya kibiashara, tuache kuajiri vifutu, mkishindwa sana nendeni hata kule kwa warangi mkafanye vetting. Ila Diamond baba...
  5. Mung Chris

    Maoni yangu binafsi kuhusu kusimamia na kuendesha ATCL (Air Tanzania)

    * Maoni haya ni yakwangu binafsi, mtu asitukane tuheshimiane kwenye maoni* Tumeshawahi miliki Hisa na Ndege zikanunuliwa na badae ikaonekana zina tutia hasara badae zikauzwa/ binafsishwa au zikapotea kwenye anga la biashara. Biashara hii ya ndege hahihitaji hasira, ndio tumeanza lazima...
Back
Top Bottom