Nimeangalia muda huu live coverage mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan amehitimisha ziara yake nchini Misri.
Kilichonifurahisha kumbe this time mama amekwenda na air Tanzania, angalau hii mindege ifanye kazi zilizokusudiwa badala ya kupaki tu pale kipawa.
Ni hayo tu.
Air Tanzania among entities that borrowed money without approval, says PAC
THURSDAY OCTOBER 21 2021
Summary
Another institution named by PAC is the Arusha International Conference Center (AICC).
By The Citizen Reporter
More by this Author
Dodoma. Air Tanzania Company Limited (ATCL, is...
Bosi wa zamani wa ATCL, David Mataka amehukumiwa kwenda jela miaka minne ama kulipa faini ya Sh milioni 8 baada ya kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya ofisi na kusababishia shirika hasara ya Sh bilioni 100.
====
Mataka wa ATCL Ahukumiwa Jela Miaka 4
August 20, 2021
Mkurugenzi Mkuu wa...
The Diplomat
Air Tanzania (ATCL) ni shirika la umma na limekodishiwa ndege na serikali kutoa huduma kwa wananchi ,na kwa mara kadhaa hasa kipindi hiki cha corona halijatengeneza faida shirika kama shirika lakini faida ya ndege hizi ni kubwa hasa kwenye sekta nyingine za uchumi ikiwemo biashara...
4 TANZANIAN HIJACKERS SURRENDER; 90 HOSTAGES ARE FREED IN BRITAIN
By R.w. Apple Jr., Special To the New York Times
March 1, 1982
March 1, 1982, Section A, Page 3
BISHOP'S STORTFORD, England, Feb. 28 - A 48-hour hijacking drama that began in East Africa ended tonight at an airport 25 miles...
Amani iwe kwenu wadau wa JF.
Leo ndio siku niliyopanga kuanza kuiunga mkono Air Tanzania katika safari zangu zote za anga nitakazofanya katika maisha yangu yaliyobaki. Leo naelejea Geita, pamoja na kwamba naenda kwenye msiba, nimepata nafasi ya kujaribu ufanisi wa Shirika letu na kuliunga mkono...
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limesitisha Safari zake kwenda Mumbai nchini India kuanzia leo Mei 4 kutokana na ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Corona.
Abiria wote walioathiriwa na uamuzi huu watarudishiwa gharama zao za Safari.
INDIA: VISA VYAFIKIA MILIONI 20, UPATIKANAJI OXYGEN BADO...
Nimekuwa kimya kwa siku mbili tatu ili kujipa muda kuifuatilia na kutafakari FILAMU inayochezwa na CAG akishirikiana na wanamapinduzi wanaopambana usiku na mchana kuifuta LEGACY ya MWAMBA HUYU KUTOKA CHATO. Nilichokibaini kwenye report ile ya ndugu kichele ni kwamba ,inajaribu kutengeneza...
Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini.
Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi...
Wakati Mhe. Rais anaingia jijini Dar akitokea Dodoma ameonekana akitoa shukrani kwa muhudumu wa ndege Jambo ambalo viongozi wengi awafanyi kwa watumishi wa chini yao.
Viongozi wengi wanapopata madaraka wamekuwa watu wa dharau na kufoka kwa walio chini yao. Wengi wamekuwa watu wakuona mapungufu...
Habari za leo wanajanvi.... tokea jana ndege yetu penda Air Tanzania nauli zake zimepanda kwa asilimia kubwa sana kutoka zile za awali.
Nimejaribu kununua tiket online kama kawaida yangu lakini bei niliyokutana nayo tofauti na sikuzote.
Nikaona isiwe taabu nikaenda ofisi zao za town, kufika...
Salaam Great Thinkers,
Tumeanza kutoa huduma ya kusafirisha abiria wanaotumia ndege kusafiri, iwe ni ndani ya nchi au kimataifa, kwa miaka kadhaa sasa. Uzoefu tulionao umepelekea tuzifahamu changamoto nyingi kupitia feedback tunazozipata kutoka kwa wateja/abiria.
Miongoni mwa changamoto hizo...
Wakuu,
Toka last week nahaha kutafuta usafiri wa kunifikisha JRO ,lakini kila nikijaribu kufanya booking,naambiwa tarehe zote flight zimejaa.
Hii ni kweli au kuna usanii unafanyika?
Katika utoaji wa Tunzo za Tanzania Consumer's Choice Awards hapo tarehe 13 Disemba 2020 shirika letu la ndege limeibuka mshindi katika Category 2 (Most Preferred Domestic Airline) na MOST PREFERRED INTERNATIONAL AIRLINE)). Tujivunie vya kwetu #Uzalendo_Kwanza#
NB: Hongereni Sana ATCL kwa Kasi...
Air Tanzania was launched not out of necessity but to just to flex its muscle and try show Kenya that they too can own and operate an airline. Now reality is setting in that operating an airline isn't like running a BRT. The same fate will just hit Tanzanian SGR. Welcome to the world of losses...
Wakuu,
Katika pita pita yangu nilibahatika kuisoma vizuri engine ya kushoto ya ndege yetu Murua kabisa ya "Airbus 220" iliyokua imepaki pale JNIA.
Kitu kilicho-catch attention yangu ni nembo ya Rolls Royce's ambayo imechorwa.
Wajuvi naomba mtusaidie kuna kahusiano chochote kati ya Rolls...
Nimeona ujumbe wa upotoshaji unaozungushwa kwenye mitandao ya kijamii ulioandikwa na Godsen Malisa kuhusu suala la ndege ya ATCL kuja China kuwachukua wanafunzi. Nimeona nitoe ufafanuzi ili umma uwezi kufahamu ukweli na kuachana na upotoshwaji unaofanywa kwa agenda anazozijua mwandishi mwenyewe...
Aircraft leases typically include standard representations and warranties regarding: (i) the power and authority of the lessee to enter into the agreement and the transactions contemplated by the agreement; (ii) the agreement constituting the lessee’s legal and binding obligations; (iii) the...
Tuko Airport tangu saa 12 Asubuhi ndege yetu ilikuwa niondoke saa 3 kwenda Mwanza, lakini hadi sasa hakuna maelezo yoyote watu wamekaa kwenye ndege.
Huku wafanyakazi (ground crew) wamelizingira ndege. Ndio madhara ya kuendesha Shirika kisiasa.
Kama hukujua, mkulima wa South Afroika bado anadai bilioni 40 zake na riba kubwa tu, katika hali isiyo kawaida, ametoa waranty nchi nyingi isipokuwa India ndio walisema hawata kamata hizi ndege.
Lakini pia, Air Tanzania zimepakiwa tu viwanjani isipokuwa bomberdier tatu zinafanya safari za ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.