air tanzania

Air Tanzania Company Limited (ATCL) (Swahili: Kampuni ya Ndege ya Tanzania) is the flag carrier airline of Tanzania based in Dar es Salaam with its hub at Julius Nyerere International Airport. It was established as Air Tanzania Corporation (ATC) in 1977 after the dissolution of East African Airways and has been a member of the African Airlines Association since its inception. The airline was wholly owned by the Tanzanian Government until 2002 when it was partially privatised as per the directive of the Bretton Woods Institutions to implement the country's Structural Adjustment Program. The government therefore reduced its shareholding to 51 percent and entered into a partnership with South African Airways.
The partnership lasted for about four years and had accumulated losses of more than Tsh 24 billion (US$19 million) (based on an exchange rate of 1,251.9 as per the WB: http://data.worldbank.org/indicator/PA.NUS.FCRF?page=1) The government repurchased the shares in 2006, making it once again a wholly owned government company. Over the years, it has served a variety of domestic, regional, and intercontinental destinations. Despite being the national airline, its market share deteriorated over the years from 19.2 percent in 2009 to 0.4 percent in 2011.In 2016, the Tanzanian government under President John Pombe Magufuli initiated a new drive to revive the national carrier. The government purchased two new Bombardier Q400 for the national carrier, which were delivered in September 2016. In December of the same year the president's office announced that a four additional aircraft would be purchased for the national carrier, with deliveries set for June 2018. Air Tanzania's market share during 2017 increased to 24 percent from 2.5 percent the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia ahitimisha ziara yake Misri leo na anarejea na Air Tanzania

    Nimeangalia muda huu live coverage mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan amehitimisha ziara yake nchini Misri. Kilichonifurahisha kumbe this time mama amekwenda na air Tanzania, angalau hii mindege ifanye kazi zilizokusudiwa badala ya kupaki tu pale kipawa. Ni hayo tu.
  2. Air Tanzania among entities that borrowed money without approval, says PAC

    Air Tanzania among entities that borrowed money without approval, says PAC THURSDAY OCTOBER 21 2021 Summary Another institution named by PAC is the Arusha International Conference Center (AICC). By The Citizen Reporter More by this Author Dodoma. Air Tanzania Company Limited (ATCL, is...
  3. David Mataka wa ATCL, ahukumiwa kulipa faini Tsh milioni 8 kwa kulisababishia hasara ya Tsh Bilioni 71 shirika

    Bosi wa zamani wa ATCL, David Mataka amehukumiwa kwenda jela miaka minne ama kulipa faini ya Sh milioni 8 baada ya kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya ofisi na kusababishia shirika hasara ya Sh bilioni 100. ==== Mataka wa ATCL Ahukumiwa Jela Miaka 4 August 20, 2021 Mkurugenzi Mkuu wa...
  4. Air Tanzania (ATCL) kichocheo cha ukuaji wa uchumi Tanzania

    The Diplomat Air Tanzania (ATCL) ni shirika la umma na limekodishiwa ndege na serikali kutoa huduma kwa wananchi ,na kwa mara kadhaa hasa kipindi hiki cha corona halijatengeneza faida shirika kama shirika lakini faida ya ndege hizi ni kubwa hasa kwenye sekta nyingine za uchumi ikiwemo biashara...
  5. New York Times walivyoripoti kutekwa Air Tanzania mwaka 1982

    4 TANZANIAN HIJACKERS SURRENDER; 90 HOSTAGES ARE FREED IN BRITAIN By R.w. Apple Jr., Special To the New York Times March 1, 1982 March 1, 1982, Section A, Page 3 BISHOP'S STORTFORD, England, Feb. 28 - A 48-hour hijacking drama that began in East Africa ended tonight at an airport 25 miles...
  6. Safari yangu ya kwanza na Air Tanzania

    Amani iwe kwenu wadau wa JF. Leo ndio siku niliyopanga kuanza kuiunga mkono Air Tanzania katika safari zangu zote za anga nitakazofanya katika maisha yangu yaliyobaki. Leo naelejea Geita, pamoja na kwamba naenda kwenye msiba, nimepata nafasi ya kujaribu ufanisi wa Shirika letu na kuliunga mkono...
  7. Air Tanzania (ATCL) yasitisha safari za Ndege kwenda Mumbai India

    Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limesitisha Safari zake kwenda Mumbai nchini India kuanzia leo Mei 4 kutokana na ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Corona. Abiria wote walioathiriwa na uamuzi huu watarudishiwa gharama zao za Safari. INDIA: VISA VYAFIKIA MILIONI 20, UPATIKANAJI OXYGEN BADO...
  8. Hayati Magufuli ni shujaa anayepigana na walio hai

    Nimekuwa kimya kwa siku mbili tatu ili kujipa muda kuifuatilia na kutafakari FILAMU inayochezwa na CAG akishirikiana na wanamapinduzi wanaopambana usiku na mchana kuifuta LEGACY ya MWAMBA HUYU KUTOKA CHATO. Nilichokibaini kwenye report ile ya ndugu kichele ni kwamba ,inajaribu kutengeneza...
  9. Prof. Mussa Assad: Nilipokuwa ofisini niliomba nyaraka za SGR, Air Tanzania na mradi wa Stiegler's Gorge lakini sikupewa hata moja

    Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini. Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi...
  10. B

    Rais Samia Suluhu kumshukuru kwa ishara mhudumu wa Air Tanzania ni ishara ya Utumishi unaoheshimu wadogo na wakubwa

    Wakati Mhe. Rais anaingia jijini Dar akitokea Dodoma ameonekana akitoa shukrani kwa muhudumu wa ndege Jambo ambalo viongozi wengi awafanyi kwa watumishi wa chini yao. Viongozi wengi wanapopata madaraka wamekuwa watu wa dharau na kufoka kwa walio chini yao. Wengi wamekuwa watu wakuona mapungufu...
  11. Air Tanzania yapandisha nauli zake

    Habari za leo wanajanvi.... tokea jana ndege yetu penda Air Tanzania nauli zake zimepanda kwa asilimia kubwa sana kutoka zile za awali. Nimejaribu kununua tiket online kama kawaida yangu lakini bei niliyokutana nayo tofauti na sikuzote. Nikaona isiwe taabu nikaenda ofisi zao za town, kufika...
  12. Air Tanzania ingeshusha viwango vya nauli, tungesafirisha Watanzania wengi ndani na nje ya nchi

    Salaam Great Thinkers, Tumeanza kutoa huduma ya kusafirisha abiria wanaotumia ndege kusafiri, iwe ni ndani ya nchi au kimataifa, kwa miaka kadhaa sasa. Uzoefu tulionao umepelekea tuzifahamu changamoto nyingi kupitia feedback tunazozipata kutoka kwa wateja/abiria. Miongoni mwa changamoto hizo...
  13. Hivi Air Tanzania ni kweli ndege zenu zote za kuelekea Kilimanjaro zimejaa, au ni usanii tu?

    Wakuu, Toka last week nahaha kutafuta usafiri wa kunifikisha JRO ,lakini kila nikijaribu kufanya booking,naambiwa tarehe zote flight zimejaa. Hii ni kweli au kuna usanii unafanyika?
  14. Air Tanzania yaipiku Turkish Airlines

    Katika utoaji wa Tunzo za Tanzania Consumer's Choice Awards hapo tarehe 13 Disemba 2020 shirika letu la ndege limeibuka mshindi katika Category 2 (Most Preferred Domestic Airline) na MOST PREFERRED INTERNATIONAL AIRLINE)). Tujivunie vya kwetu #Uzalendo_Kwanza# NB: Hongereni Sana ATCL kwa Kasi...
  15. M

    Air Tanzania sinking in massive losses

    Air Tanzania was launched not out of necessity but to just to flex its muscle and try show Kenya that they too can own and operate an airline. Now reality is setting in that operating an airline isn't like running a BRT. The same fate will just hit Tanzanian SGR. Welcome to the world of losses...
  16. Uwepo wa nembo ya Royce Roycee kwenye Engine za Airbus ya Air Tanzania

    Wakuu, Katika pita pita yangu nilibahatika kuisoma vizuri engine ya kushoto ya ndege yetu Murua kabisa ya "Airbus 220" iliyokua imepaki pale JNIA. Kitu kilicho-catch attention yangu ni nembo ya Rolls Royce's ambayo imechorwa. Wajuvi naomba mtusaidie kuna kahusiano chochote kati ya Rolls...
  17. Ufafanuzi wa Balozi Kairuki kuhusu Wanafunzi wa Kitanzania kuchukuliwa na Ndege ya ATCL

    Nimeona ujumbe wa upotoshaji unaozungushwa kwenye mitandao ya kijamii ulioandikwa na Godsen Malisa kuhusu suala la ndege ya ATCL kuja China kuwachukua wanafunzi. Nimeona nitoe ufafanuzi ili umma uwezi kufahamu ukweli na kuachana na upotoshwaji unaofanywa kwa agenda anazozijua mwandishi mwenyewe...
  18. Wallis Trading v Air Tanzania The Importance of Standard Lessee Representations and Warranties

    Aircraft leases typically include standard representations and warranties regarding: (i) the power and authority of the lessee to enter into the agreement and the transactions contemplated by the agreement; (ii) the agreement constituting the lessee’s legal and binding obligations; (iii) the...
  19. N

    Air Tanzania Haiwezi Kuendelea Ikiendelea na Siasa

    Tuko Airport tangu saa 12 Asubuhi ndege yetu ilikuwa niondoke saa 3 kwenda Mwanza, lakini hadi sasa hakuna maelezo yoyote watu wamekaa kwenye ndege. Huku wafanyakazi (ground crew) wamelizingira ndege. Ndio madhara ya kuendesha Shirika kisiasa.
  20. Tetesi: Air Tanzania kukamatwa. Ndege ya Rais haikamatwi kwa sheria za IATA

    Kama hukujua, mkulima wa South Afroika bado anadai bilioni 40 zake na riba kubwa tu, katika hali isiyo kawaida, ametoa waranty nchi nyingi isipokuwa India ndio walisema hawata kamata hizi ndege. Lakini pia, Air Tanzania zimepakiwa tu viwanjani isipokuwa bomberdier tatu zinafanya safari za ndani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…