Mimi ni wakala na nina laini za uwakala za mitandao yote: Tigo, Voda, Halotel, na Airtel. Sasa, kwenye hizi laini, Airtel ndiyo wanaongoza kwa kunipa kamisheni kubwa. Hii ni kwa sababu huku kwetu kuna wateja wengi wa mtandao huu. Pia, nina laini za lipa kwa simu kwa mitandao ya Voda, Tigo, na...