Samahani wadao, naomba kuuliza
Nilinunua mifi ya Airtel, sasa kuna kazi nataka kuitumia haiitaji data sana, ile lain iliopo ndani nikaitoa nikaunga bundle la kawaidia GB 1 ila ikakataa kuzitumia, ikabidi ninunue Data kwa lain nyingine ya Airtel nikaiweka mwenye Mifi, ikasoma nikaanza kutumia ila imekaa kama siku 7 naona imekataa nayo, haipandishi kabisa mtandao
Sijui naweza kutumia njia gani hapo ikubali tena