Mwezi wa pili nilinunua laini ya Airtel, nilikuwa natumia Airtel money yao pia na mambo yalikuwa sawa tu.
Tatizo juzi nimemtumia mtu pesa kutoka Airtel money kwenda mpesa,pesa haijafika na kwangu wamekata pesa,huduma kwa wateja ukifika kile kipengele cha kuongea na mtoa huduma simu inaita...