ajabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Nipo kwenye fadhaa ndugu zangu; nimeota nafanya mapenzi na dada yangu!

    Imenitokea usiku wa leo wadau, hapa nimebaki nimeshangaa tu tangu asubuhi mpaka muda huu. Wanasema si vema kusimulia ndoto lakini kwa hili limenishinda; kikubwa nilichoweza kufanya ni kutosimulia hapa mtaani na badala yake nimekuja humu. Fadhaa zaidi inanikuta kwenye aina ya mapenzi niliyoota...
  2. Mambo 70 kuhusu Legend wa Soka Hayati Pelรฉ

    Popote pale, muda wowote haiwezekani kutokea mjadala kuhusu nani ni mchezaji wa soka bora zaidi bila jina la Pele kutajwa. Mshambuliaji huyo wa Kibrazili amefanya alama yake kuwa mashine ya kufunga mabao ambayo ilitoa mambo muhimu sana, na kasi ya ushindi wa ajabu ambayo ilianzia katikati ya...
  3. "Simu ya ajabu "

    HADITHI KALI NA YA KUSISIMUA. Chapter 1 Kama miezi miwili hivi iliyopita nilikuwa zangu katika mihangaiko yangu nje ya jiji la mbeya. Usiku mmoja majira ya saa nne na nusu nikiwa chumba cha kulala wageni simu ikaita mie nikajua ni wife labda anataka kunitakiwa usiku mwema kwani nilikuwa...
  4. Ni mfu, ajabu nderemo zake zina ujazo kuzidi walio hai. Kwanini?

    Leo tena mfu hapo juu amepokea nderemo za kutosha na zisizoelezeka kutoka kwenye hadhira fulani kila lilipotajwa jina lake. Ajabu! Ni wazi ipo haja kwa tusiompenda huyo jamaa tujiulize ni wapi anapotuzidi kete ilihali hayupo nasi ajabu bado nderemo kwake zinazidia zetu tulio hai tena mbele ya...
  5. Bajaji, guta, pikipiki zinanunuliwa kwa Kasi Sana

    Ikiwa Ni mwaka mmoja na mwezi mmoja Toka namba D ya vyombo hivo vianze kwa Sasa wanasajili no MC**** DR* Ambapo kwenye magari walitumia muda mrefu sana kufika usajili huo, Ni wazi Hadi mapema mwaka ujao watakuwa wamemaliza no D yao na kuanza fukuzana na no D ya magari na kuwaacha forever...
  6. Watanzania ndio Binadamu wenye akili za ajabu kuwahi kutokea

    .
  7. Pombe kali zinaongeza sana uzito, ajabu wengi wanafikiri kinyume chake

    Tanzania ukiifuatilia sana utaona watu wengi wanaangalia mambo kinyumenyume sana. Sijui huwa sababu ni nini? Pombe(Ethanol) ni sukari iliyogeuzwa kwa fermentation. Pombe ina nguvu kama tu chakula chenye wanga. Inasemwa kuwa mtu anapokunywa pombe, mwili unaacha kutumia mafuta na wanga kama...
  8. Kwanini ATCL wanaweza kukodisha ndege likizo hii

    Kampuni ya Air Tanzania (ATCL) inaweza kufikiria kukodisha ndege iwapo mahitaji yataendelea kuzidi uwezo wa shirika hilo, hasa katika msimu wa sikukuu, ambao unachukuliwa kuwa kipindi cha kilele kwa wasafiri wa ndani na nje ya nchi. Hivi karibuni, kumekuwa na hali ya kufadhaika miongoni mwa...
  9. Wanaume ni watu wa ajabu kweli

    Na kucheka kote huko mpaka kuwekwa duara unaweza kukuta hawajuani majina wala wanapoishi. Kongole wanaume. Using tayari๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
  10. Walevi wa Pombe, Ni mbinu zipi mnatumia kukwepa kufanya vitu vya aibu na hatari mnapolewa ?

    -Kutukana Matusi ovyo -Ngono zembe - kufumaniwa kirahisi, magonjwa, n.k. -Kuendesha gari bila umakini - ajali -Hasira za haraka - kutembezewa kipigo, kujeruhi ama kuua. -haja kubwa na ndogo bila kwenda chooni. -kuzima - wahuni wanaweza kukusajili kwenye upinde bila kujijua
  11. Dini za kilokole na imani za ajabu

    Imeandikwa: MTAIJUA KWELI NAYO KWELI (Siyo uongo) ITAWAWEKA HURU, kumekuwepo ongezeko kubwa la makanisa na madhehebu mbalimbali huku kila moja wakija na vimbwanga vyake. Achana na maji ya upako, yanayotumika na makanisa au Chumvi, au Uvumba na vitu vingine kedekede ifuatayo ni list ya...
  12. MSAADA: Nimepata mgonjwa wa ajabu nyumbani

    Duniani kuna magonjwa mengi mengine ni psychological made. Anyway, mimi nmepokea mgeni ambaye amekuja likizo maalum. Jamaa yangu wa kitambo sana. Ilikuja tu tokea akawa amemaliza chuo kaajiriwa sehemu akafundishwa kunywa pombe...akaja kuwa komba. Wamehangaika naye sana. Mpaka mke amechoka...
  13. Wakubwa wananunua Mechi, Maamuzi ya ajabu

    Jana nimeona Mechi ya Azam na Ruvu, kiukweli pasi na shaka Azam na wao wameshakata shauri liwalo na liwe kama wakubwa wengine, kwa udi na uvumba na wao wanataka matokeo sasa. Najua kama ilivyo desturi mtataka ushahidi lakini angalieni hizi mechi zinavyochezeshwa yaani mpaka Refa anayo matokeo...
  14. Kama Wanakwaya wanavaa hivi basi si ajabu Wengine kuvaa pia!

    Around saa mbili na ushee asubuhi ya Leo, Nimeshuka zangu Chanika kituo kinaitwa Kwa Ngwale. Natembea zangu mdogo mdogo naelekea eneo husika. Kwa mbali nasikia sauti za ibada hasa ulichukulia Leo ni siku ya ibada Kwa ndugu zetu Wakristo. Mara paap nakaribia katika kanisa moja na huko ndani...
  15. Lionel Messi ni mchezaji wa ajabu

    Baadhi ya makocha na wachezaji wa zamani wamemzungumzia Messi Kwa aina tofauti: ๐Œ๐ข๐œ๐ก๐š๐ž๐ฅ ๐Ž๐ฐ๐ž๐ง: "Sifikirii mtu yeyote anaweza kucheza mchezo wa soka kama vile Messi." ๐…๐ซ๐š๐ง๐ค ๐‘๐ข๐›๐ž๐ซ๐ฒ: "Messi ni darasa. Kuna yeye, halafu kuna wengine." ๐’๐š๐ฆ๐ฎ๐ž๐ฅ ๐„๐ญ๐จโ€™๐จ: "Lionel Messi ni Mungu, kama mtu na hata zaidi...
  16. NABI bado yupo sana. Ajabu wanaotaka Nabi aachwe Yanga ni Wanasimba kuliko Idadi Kubwa ya Wanayanga

    Simba wanamchukia sana Nabi. Wanamchukia mpaka unawaona usoni kabisa ukitaja jina la Nabi, Ukitana jina la Mayele, Ukitaja jina la Aziz na Ukitaja jina la Feisal. Wanaacha kula, wanaacha kunya wanaondoka hivyo hivyo. Nabi hawezi fukuzwa. Malengo ya team kwa asilimia 99 ametimiza. Asifupoteze...
  17. Mambo ya ajabu yamelighubika taifa letu. Umeme unakatika ovyo huku Waziri mwenye dhamana anadai kuna Megawatts 14000 za ziada

    Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme. Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku. Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
  18. Mashabiki wenzangu wa Yanga tusikubali tena makosa ya kuaminishwa vitu vya ajabu ajabu

    Msemaji wetu mpya alituaminisha tungemkomelea kipigo kizito wale Waarabu weusi wa Sudan, tukawaamini mazima, pale taifa tuka ponea chupuchupu. Sasa safari hii wasitudanganye eti wale wa Tunisia ni timu ya kawaida kawaida.
  19. Kazi ya Ualimu ni kazi ya ajabu sana, nifanyaje nijitoe?

    Kazi ya ualimu aisee ni ngumu sana kuanzia mazingira, ufanisi wa kazi pia mishahara ni ya kawaida tofauti na kazi inayofanyika. Ukiachana na kuwafundisha Mwalimu ana-deal na kutengeneza tabia zao tena katika umri mbovu wa balehe(foolish age), unakuta watoto wamejaa viburi kichwani hakuna kitu...
  20. Watu wanaenda Kanisani wamevaa vitu vya ajabu unategemea nini?

    WATU WANAENDA KANISANI WAMEVAA VITU VYA AJABU UNATEGEMEA NINI? Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Angalizo, lugha itakayotumika inaweza kuwa Kali. Hivyo Kama sio mtu upendaye lugha Kali na Tata nakushauri uishie hapahapa. Kukaidi ni kiashiria utaendana na andiko hili na utaweza kukabiliana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ