Ni ya ajabu kwangu! Sijawahi kuiota ndoto ya aina hii!!!
Nimeota nimetoka nje ya mwili wangu na kupaaa hadi eneo ambalo sikuwahi kufika, na hata sasa sipafahamu kama eneo hilo lipo au ni eneo la kufikirika tu. Lakini kama papo, nikipaona nitapakumbuka. Nilikariri baadhi ya maeneo, mfano, mti...