Wizara ya Mambo ya Ndani ya Urusi imesema takriban watu 16 wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa baada ya Lori kugongana na Basi dogo lililokuwa limesimama katika eneo la Ulyanovsk leo Jumapili
Kwa mujibu wa mashahidi kuhusu chanzo cha ajali wamesema dereva wa Lori alishindwa kupunguza mwendo...
Takriban watu 32 wamefariki katika matukio mawili tofauti nchini Uturuki baada ya magari kuwagonga watu waliokua wakitoa msaada kwenye ajali iliyotokea eneo hilo
Ajali hiyo ilihusisha Basi moja lilillopinduka eneo la Gaziantep Jumamosi asubuhi, na kuua watu 16 huku wengine 21 wakijeruhiwa
Saa...
Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake….
Nimemwagiza Mkuu kituo kwa sababu amekosa adabu kwa jeshi la polisi na ametenda kosa la usalama barabarani ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA...
Hivi karibuni kiongozi wetu mmoja "aliteleza" na akasema kwamba trafiki wamekuwa wengi barabarani. Watu wengi walishangilia. Ila militia shaka.
Naona ongezeko kubwa la ajali za barabarani baada ya tamko Hilo, nadhani kuna uwiano wa kauli hiyo na matukio ya ajali, trafiki wamepunguzwa...
Matukio ya ajali za barabarani yanaonekana kushamiri maeneo mbalimbali nchini huku watanzania wenzetu wasio na hatia wakipoteza maisha na wengine kubaki na ulemavu wa kudumu.
Hivi ni kweli amekosekana mtu wa kuwajibika kwenye hili la ajali za barabarani?
MTWARA watoto wa shule wameoteza...
Ni kama wiki sasa imepita mara baada ya naibu mwenyekiti ccm taifa, Dkt. Abdulahman Kinana, zimeshatokea ajali mbili za magari na kuondoka na roho za watu kadhaa, sababu ni mwendokasi.
Tukiangalia kisiasa na kimihemko,traffic police hawana cha maana wanachofanya barabarani zaidi ya...
Ajali mbaya imetokea katika eneo la Inyala mkoani Mbeya baada ya lori la mafuta kufeli breki na kugonga basi la abiria na gari ndogo na kusababisha vifo vya watu kadhaa na majeruhi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
---
Watu nane wamefariki...
Watu watatu wamefariki dunia kwenye ajali iliyohusisha Lori lililobeba wafanyabiashara waliokuwa safarini kwenda Handeni mkoani Tanga kwa ajili ya mnada.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Handeni, Dr. Hudi Shehdadi amethibitisha kupokea miili ya watu watatu na majeruhi 36 huku akieleza majeruhi...
Ajali barabarani ni janga kubwa lenye kuhitaji ufumbuzi sahihi.
Ajali zinaleta vifo, majeruhi, umasikini, hasara, na vyote vyenye kuambatana na hayo.
Ni ukweli usiopingika kuwa ajali zinasababishwa na haya:
1) ujinga - mwendo kasi wa kizembe, ulevi, fujo, utoto, nk barabarani yakiwamo...
Ajali mbaya iliyo husisha gari dogo aina ya Raum imetokea wilayani Mkalama katika mkoa wa Singida.
Chanzo cha ajali ni mwendo kasi.
Mzee Kinana nilikwambia kupitia uzi fulani hapa, kazi iendelee.
========
Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Raum...
Watu saba wamefariki na wengine saba kujeruhiwa vibaya baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali eneo la Longeld, Samburu Mashariki.
Watu zaidi ya 15 walikuwa wanaenda kukutana na Mbunge mteule wa Leerata kabla ya gari kukosa mwelekeo na kupinduka karibu na Hifadhi ya Kalama na kuua...
Watu 20 wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha magari matatu na Trekta katika eneo la Mwakata barabara ya Isaka Kahama mkoani Shinyanga.
Mashuhuda wa ajali hiyo wamesema ajali hiyo imetokea majira ya saa nne usiku Jumatatu Agosti 8,2022 ikihusisha gari ndogo IST...
Ni usiku (saa nne) wa kuamkia leo Agosti 9, 2022.
Gari ndogo IST inatokea Kahama, inaelekea Tinde. ikaparamia trekta lililokua mbele limejaza kuni halafu halina taa za nyuma wala reflector. Watu watatu wakafa kwenye IST!
Dereva wa Trekta akakimbia!
Wakati uokoaji unaendelea, ikaja Hiace iko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.