ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Aliyeokoa watu ajali ya ndege Precision Air alivunja mlango wa dharura

    Mvuvi mmoja aliyetambulika kwa jina la Majaliwa, aelezea jinsi alivyovunja mlango wa dharura dakika chache baada ya ndege kuanguka Ziwa Victoria na akafanikiwa kuwaokoa mama mjamzito, mtoto na mchina. Hata hivyo wakati akiendelea na harakati za uokoaji aliumia na kupoteza fahamu dakika chache...
  2. Roving Journalist

    Kagera: Ratiba ya kuaga miili ya waliofariki ajali ya ndege ya Precision Air, Waziri Mkuu anazungumza, leo 07-11-2022

    Hivi ndivyo mambo yalivyo leo Novemba 7, 2022 kuhusu utaratibu wa kuaga miili 19 ya watu waliofariki katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea jana Novemba 6, 2022 Mkoani Kagera. KAGERA: WAVUVI WALIOSAIDIA UOKOZI KUPEWA MAFUNZO MAALUM Wavuvi ambao wapo jirani na Uwanja wa Ndege wa...
  3. Sildenafil Citrate

    Undani kuhusu ajali ya Ndege ya Precision Air, Kudondoka kwake hadi hatua za Uokozi

    Watanzania 18 na Mwingereza mmoja, jana walishindwa kuingia mini Bukoba, wakiwa hai baada ya maisha yao kukatizwa na ajali ya ndege ilivowatoa Dar es Salaam wakiwa salama. Hawa ni miongoni mwa abiria 43 walioelezwa kuwamo ndani ya ndege aina ya ATR42-500 mali ya Shirika la Precision...
  4. Mwamuzi wa Tanzania

    Ninaposema Mwafrika kapunjwa akili na Mungu kwa makusudi kabisa muwe mnaelewa. Rejea ajali ya ndege Bukoba 06/11/2022

    Habari Mimi nitazungumzia vitu vichache tu kati ya vingi vilivyojitokeza jana ambavyo vinaonyesha ufinyu wa akili wa viongozi wetu ambao ndio wanawakilisha uhalisia wa wananchi. 1. Ziwa Victoria pamoja na ukubwa wake na umuhimu wake kiuchumi serikali haijaweka boti angalau 4 za dharura...
  5. Nobunaga

    Rubani na msaidizi wa Precision Air iliyopata ajali wamekufa kwa uzembe wa mamlaka zinazohusika na uokoaji

    Rubani, Kapteni Buruhani Rubaga, na Afisa wa Kwanza Peter Omondi Odhiambo awali walinusurika kwenye ajali hiyo na walikuwa wakiwasiliana na maafisa baada ya ndege hiyo kutumbukia ziwani. Wote wawili hatimaye walikufa kwa sababu ya kushindwa kuokolewa kwa muda muafaka. Someone must take...
  6. T

    Ajali ya Precision vs Ajali zingine : Serikali ya Tanzania haijawahi kumthamini Maskini

    Wana JF Kwanza nitoe salama zangu za pole kwa wahanga wote wa Ajali ya precisionairtz.com iliyotokea Bukoba. Nimejaribu tu kuwaza kama hii ingekuwa ni ajali ya basi , tungeona haya tuliyoyaona leo . ? Thamani ya maskini wa Tanzania iko wapi.? - Ajali nyingi zinatokea nchini hatujawahi kuona...
  7. S

    PM Majaliwa anafahamu maana ya uwajibikaji? Ajali 3 kubwa zimetokea ofisi yake imeshindwa kuokoa watu lakini yupo tu

    PM Majaliwa ana roho ngumu sana. Na ninadhani anatuona wananchi kama wanyama tu. Kwann hawajibiki pale maovu na uzembe vinapotokea kwenye serikali? Au hatambui maana ya cheo ni dhamana? 2020 Mv Ukerewe iliua watu wengi yeye akiwa waziri mkuu. Shughuli za uokozi zilikuwa za kiwango cha chini...
  8. Nobunaga

    Tetesi: Inasemekana hii ndiyo sababu ya uhakika ya ajali ya ndege ya Precision Air

    Hivi ndivyo jinsi ajali ya ndege ya Precion Air ilivyotokea: "Ndege ilikua ikiongozwa na ruban mmoja hivi anaitwa Rubanga mwingne jina lake sijalifahamu vizuri. Tatizo ililopata mpaka ndege ikaanguka ni matairi ya ndege kugoma kutoka na unaambiwa senior captain alitoa taarifa Tower kuhusu hilo...
  9. Mtini

    Zoezi zima la uokoaji ajali ya Precision limetuacha uchi duniani, kuathiri sekta ya utalii nchini

    Nimejaribu kufatilia vyombo vya habari karibu vyote duniani vimeonyesha tukio hili la ajali na zoezi zima la ukoaji namna lilivyoendeshwa kijima. Binafsi naona dunia na watalii kwa ujumla wameona namna ambavyo Tanzania hatujawa tayari katika sekta nzima ya usafiri wa anga. Juhudi za Royal...
  10. BARD AI

    Ajali ya Ndege ya Precision Air imetuvua nguo wazi wazi

    Wakuu kwa mara nyingine tena nitoe pole sana kwa waliopatwa na ajali ya Ndege leo huko Bukoba baada ndege ya Shirika la Precision Air kupata hitilafu wakati wa kutua na kuingia Victoria pia wale waliopoteza maisha basi Mwenyezi Mungu awarehemu na kuzipumzisha nafsi zao pema peponi. Kusema...
  11. Jidu La Mabambasi

    Nimeguswa na wale wananchi waliookoa watu ajali ya ndege

    Habari kubwa leo ni ajali ya ndege ya Precision iliyotumbukiwa Ziwa Viktoria huko Bukoba. Nilichoguswa ni wale wananchi ambao hawakujali uwezo wao mdogo wala upeo wao, lakini kwa moyo walijitosa katika kuokoa binadamu wenzao bila kujali hali zao na hatari kwao. Hili limenigusa sana maana...
  12. CM 1774858

    Hii ndio kauli ya kwanza ya CCM-Tanzania baada ya Ajali ya Ndege ya Precision Air kutokea

    Salamu za Pole na Rambirambi za Chama Cha Mapinduzi kufuatia Ajali ya Ndege ya shirika la Ndege la Precision yenye usajili 5H -PWF iliokuwa imebeba abiria 39, marubani 2 na wahudumu 2 ikitokea Dar es Salaam kuelekea Bokoba.
  13. S

    Nchi imepigwa nusu kaputi. Vikosi vya uokoaji vimefika eneo la tukio vikiwa mikono mitupu

    Watu na mamlaka yao bila kusahau vitambi vyao wamefika eneo la ajali ya ndege wakiwa na simu zao mikononi bila kifaa chochote cha uokoaji. Mara wapige simu, mara wapige selfie, na vituko vingine vingi huku muda ukisonga. Wavuvi wamejiongeza kwa kutumia mitumbwi na kamba zao. Dunia nzima...
  14. D

    Uchambuzi; Usafiri wa ndege ni salama kuliko usafiri mwingine wowote, ajali ya precision lawama kwa waokoaji. Hongera rubani

    Ndege ni chombo cha usafiri kinachoongoza kwa usalama kuliko vyombo vingine! Ukubwa wa ajali ya ndege hutegemea na uzembe wa mamlaka zingine saidizi! Ndege ina injini zaidi moja, mfano zilizopo Tanzania nyingi zina injini tatu! Injini moja ikifeli haizuii ndege kutua kwa kutumia injini...
  15. D

    Kikao cha kishirikina tunakaa leo jumapili, kupinga maji yasivuke mjini kabla ya wanakigamboni kusambaziwa

    Kigamboni hakuna maji ya bomba tangu Uhuru, neema ya kisima iliyopatikana inapelekwa mjini kabla ya wanakigamboni kupatiwa maji hayo kwanza! Malalamiko yamepelekwa kwa wahusika kwamba maji yasambazwe kigamboni kwanza kabla ya kupelekwa mjini, hawajatusikiliza! Tumeamua kufikisha ujumbe wetu...
  16. BARD AI

    Tabora: Diwani na mkewe wafariki kwa ajali

    Diwani wa Kata ya Kalola Wilayani Uyui (Tabora ), Sauji Daud na mkewe, Magdalena Richard wamefariki dunia katika ajali ya gari usiku wa kuamkia leo Jumanne Oktoba 25, 2022. Akizungumza na Mwananchi leo, Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya hiyo, Said Ntahondi amesema, diwani huyo na mkewe...
  17. B

    Maoni kuhusu Law School, Mzengwe au ajali?

    Kumekuwa na jitihada za kuona hali ya shule ya sheria (LST) inaanikwa kwa uhuru. Hata hivyo jitihada mbalimbali zimekuwa zikiyeyuka "miraculously" bila sababu halisi kuwekwa hadharani. "Hii nchi ni ngumu sana" - alisikika ndugu mmoja akiugulia maumivu moyoni. Hili ni la kamati ya majaji...
  18. Msanii

    Ajali ya Mwendokasi, Dereva akimbia

    Kumetokea ajali inayohusisha basi la Mwendokasi na mtembea kwa miguu. Ajali imetokea ahsubuhi hii kwenye barabara ya Mwendokasi mbele ya Hoteli ya Kempiski Hyatt Zamani Kilimanjaro Hotel. Basi la Mwendokasi likitokea Posta ya Zamani, dereva wake hakujali kivuko cha watembea kwa miguu alimgonga...
  19. B

    Ajali ni nyingi kati ya Dar to Morogoro na hadi Dodoma

    Mara nyingi nasafiri kwa njia hii na hukutana ajali si chini ya mbili. Athari za ajali zinafahamika; ulemavu, kupoteza maisha na mali. Njia hii imekuwa ndogo na msongamano ni mkubwa. Kama serikali iliweza kutoa ruzuku ya bil 100 kila mwezi, kwanini isitenge bil 30 tu kila mwezi kwa njia hii
  20. BARD AI

    Ajali ya Lori na Bajaji yaua wanne Mafinga

    Watu wanne wamefariki dunia baada ya lori kugongana na Bajaj katika eneo la Kinyanambo- Mafinga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mji Mafinga, Dk Victor Msafiri amesema ajali hiyo ilitokea jana usiku. Dk Msafiri amesema walipokea miili ya wanaume wawili, mwanamke...
Back
Top Bottom