Ajali muda huu maeneo ya Mzakwe (Dodoma)basi la Arusha Express likitokea Arusha kueleka Dodoma.
Tusubiri mamlaka husika zitatoa taarifa za vifo na majeruhi
====
Ajali imetokea mchana huu eneo la Veyula mjini Dodoma. Basi kampuni ya ARUSHA express ikitokea Arusha kwenda Mbeya, Imegongana uso...
Ndege hizo zilikuwa katika maonesho ya Kumbukumu ya Vita ya Pili ya Dunia (WWII) katika Jimbo la Dallas na baada ya tukio hilo zilidondoka chini na kutokea mlipuko mkubwa huku wananchi wakishuhudia.
Haijaweka wazi idadi ya waliokuwemo ndani ya ndege hizo aina ya Boeing B-17 Flying Fortress na...
Rais Samia Suluhu ameitisha kikao cha dharula na baraza la mawaziri kujadili ajali ya ndege ya precison iliyobeba uhai wa watu 19. Wakati ajali inatokea Rais Samia alikuwa nchini Misri.
Mara ya mwisho baraza la mawaziri kuitishwa kwa udharula huu ni miaka ya 90.
=====
President Samia Suluhu...
Polisi walimkamata dereva huyo baada ya uchunguzi wa awali wa kiwango cha Ulevi kuonesha alikuwa ametumia Dawa za Kulevya.
Watu 14 walionusrika kwenye ajali wamesema Dereva wa basi lilotumbukia kwenye mfereji katika eneo la Nile Delta Nov 12, 2022 alikuwa akitumia Simu huku akiendesha...
Nimesikia wahanga wa ajali ya Precision Air watalipwa fidia, pesa nyingi. Nimekumbuka ajali ya treni Dodoma miaka ishirini iliyopita. Hivi treni huwa inakata bima? Wahanga wa ajali ile wanaweza dai fidia?
Inasikitisha sana kuona wasomi wengi wamejikita kwenye ku-identify watu waliosaidia/waliookoa abiria 24 waliokuwa kwenye ndege ya Precision Air iliyofondoka Ziwa Victoria siku kadhaa zilizopita.
Binafsi naamini kwamba hakuna aliyeokoa abiria hao Kwa ajili ya spotlight, ni tendo la kibinadamu tu...
Ni kawaida kwa nchi hii, watawala wetu kutuambia wameunda Tume kuchunguza matukio mbalimbali yanayotokea ya ajali, lakini Tume hizo zinapokamilisha Kazi zake na kukabidhi kwa watawala, huwa hazisomwi kwa Umma na badala yake, zinafichwa!
Nieleze kwa kutoa mifano michache, iliundwa Tume ya...
Hizi ndio ajali kubwa 5 zilizowahi kutokea nchini mwetu na kugharimu maisha ya watu wengi katika historia ya nchi yetu.
Chanzo: BBC
Kwa sisi waamini tuendelee kumuomba Mungu atuepushe na ajali hizi zisijirudie tena
5: MV Skagit - 2012
Ajali hii ilitokea miezi 10 tu baada ya kutokea kwa ajali...
Lori lililokuwa limebeba saruji limeyagonga magari mawili madogo katika eneo la Tegeta wazo, Dar es Salaam ambapo zoezi la uokoaji linaendelea.
---
Lori lililokuwa limebeba Saruji limeyagonga Magari mawili madogo katika eneo la Tegeta wazo, Dar es Salaam
Zoezi la Uokoaji linaendelea huku...
Kuna haja ya Serikali kuzilipa fidia familia za wahanga wote wa ajali ya ndege kutokana na uzembe uliosababishwa na kukosa uweledi kwenye uokoaji. Suala la uokoaji ni dhima ya serikali, wala haikupaswa kuwa shughuli ya wavuvi.
Nashauri familia za wahanga waungane na kufungua kesi dhidi ya...
Leo hii mgao wa umeme umekuwa kero kwa taifa letu kiasi cha kuporomosha uchumi wa wananchi lakini mnachukulia poa.
Hiyo kampuni ya Mahindra group iliposaini mkataba wa bil 78 kuiboresha TANESCO mbona haijaboresha?
Bunge linapitisha kuwa serikali ikope tril 10. Halafu zinakopwa tril 15 bila...
Kamishna wa Bima Tanzania, Dkt. Baghayo Saqware amesema ndege ya Precision Air iliyopata ajali ilikuwa na bima na kwamba fidia kwa shirika ni zaidi ya Dola Milioni 50 (Tsh. Bilioni 116)
Amesema bima ya ndege hiyo ni halali na ilikatwa kutoka kwa wakala wa ndani nan je ya Nchi ambapo waathirika...
Salaam,
Kwa Pamoja Wakina Majaliwa wote tumewasikia na maelezo yao mmoja akiongelea kuhusu hali ilivyokuwa chini ya maji na Majaliwa Mwingine akielezea hali ya hewa ilivyokuwa mbaya.
Tangu Majaliwa aseme Magufuli anachapa kazi wakati alikuwa anaumwa, simuamini tena na sitakuja kumuamini. "Rais...
Jana mchana nilikuwa namsikiliza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Anga Tanzania akielezea juu ya ajali ya ndege ndani ya Ziwa Victoria. Nikawa nasoma maoni yanayopita pembeni ya kile kioo cha kinakilishi changu.
Alionekana kama anapiga siasa zile zile tunazozizoea kuzisikia kutoka kwa watanzania pindi...
Wana JF
Awali ya yote napenda kuwapa pole wafiwa na majeruhi wa ajali ya ndege Bukoba ya 06/11/2022.
Mengi yamesemwa kuhusu mazingira ya tukio la ajali kabla na baada ya tukio, hasa kuhusu operations za uokoaji na utendaji mbovu wa vyombo husika Serikalini. Na kwa taarifa yenu vyombo husika ni...
Simanzi na majonzi vimetawala katika mazishi ya mmoja kati ya abiria 19 waliofariki katika ajali ya ndege iliyotokea Ziwa Victoria mkoani Kagera, Zaituni Mohamed (28), ambaye amezikwa tarehe ambayo inafanana na siku aliyozaliwa.
Leo Jumatano Novemba 9, 2022 tofauti na misiba mingine ulinzi...
Katibu Mkuu wa Vatican, Kadinali Pietro Parolin, kwa niaba ya Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis ametuma salamu za rambirambi kwa watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia ajali mbaya ya ndege ya Precision Air iliyosababisha watu 19 wapoteze uhai.
Papa Francis ametoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.