ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. 44mg44

    MwanaJF aliyetabiri ajali ya ndege nashauri naye apewe ajira na Serikali

    Wadau natumai Ni wazima; Nilipata faraja Sana kuskia kijana alieongoza kuokoa watu kuwa serikali ilimuona na ikampatia ajira,naipongeza Sana serikali kwa hili. Lakini mimi nmekaa nikifkiria nikaona memba wa humu aliyetabir hii ajali nae afikiriwe na Serikali maana huyu ndo ana umuhimu...
  2. BARD AI

    Ni uzembe uliosababisha vifo 19 ajali ya Precision Air

    Ni uzembe. Maneo haya mawili ndiyo yanaweza kuelezea kilichotokea katika ajali ya ndege ya Shirika la Precision Air iliyoanguka katika Ziwa Victoria mjini Bukoba na kusababisha vifo vya watu 19. Ndege hiyo ilianguka takribani mita 100 kutoka ulipo Uwanja wa Ndege wa Bukoba, ikiwa na watu 43...
  3. Mwl Athumani Ramadhani

    Mngeomba msaada kwa CDF, angewapa makomando, wangeonyesha uwezo wao na kuokoa wahanga wa ajali ya ndege

    Nampa pole Waziri MKUU na Rais KWA fedheha na aibu tulioipata kama Taifa kwenye hii ajali ya ndege, mengi yameandikwa lakini NIMEONA niwape mbadala kwa siku za mbeleni kama yakitokea kama Hayo tulioyaona! Naamini kama Waziri MKUU angemuomba CDF amsaidie kwenye hili nadhani tungeshuhudia...
  4. mcshonde

    Tafakuri: Ajali ya ndege Precision Air/Tuna imani na watoa taarifa?

    Edward Snowden, mtaalamu wa Kompyuta na wakala wa zamani wa shirika la usalama wa taifa Marekani, NSA. Alipamba vichwa vya habari ulimwenguni baada ya kufichua udukuzi mkubwa unaofanywa na NSA duniani kote..huku akitajwa kuwa ni shujaa, msaliti, mzalendo na muasi. Aliamua kuweka ukweli...
  5. Notorious thug

    Gari la Magereza lapata ajali, Wafugwa wajeruhiwa

    Gari "bovu na chakavu" la Magereza wilaya ya Kiteto mkoani Manyara limepata ajali eneo la Kaloleni na baadhi ya Wafugwa majeruhi wamekimbizwa hospitali ya Kiteto kwa matibabu. Picha za gari iliyopata ajali
  6. GENTAMYCINE

    Serikali hongereni kwa kukwepa lawama ya uokoaji manusura wa Ajali ya Bukoba kupitia kupewa zawadi muokoaji Majaliwa

    Naona hivi sasa Watanzania (Waswahili) kama kawaida yao wameshahama katika Kuizungumzia Ajali na Mapungufu yake na sasa 97% ya Waswahili (Watanzania) wapo katika Kumzungumzia na Kumzawadia Muokoaji wa Taifa Dogo Majaliwa. Taifa lenye Watu (Raia) makini kamwe hawawezi Kushadadia na Kufurahia...
  7. Ex Spy

    Bukoba: Mwili wa Raia wa Uingereza aliyefariki kwenye ajali ya Precision Air wasafirishwa

    Mwili wa raia pekee wa Uingereza aliyefariki ndani ya ndege ya Precison Air, unasafirishwa leo kwa gari kuelekea Mwanza. Baadaye usiku wa leo, mwili huo wa Jonathan Rose, utasafirishwa kwa ndege kuelekea Dar es Salaam ambako mipango ya kuupeleka London, Uingereza inaendelea. Nimepata taarifa...
  8. comte

    Rekodi ya ajali za ndege aina ya hii ya Precision Air

    Accidents and incidents The ATR 72 has been involved in 46 aviation accidents and incidents including 29 hull losses,[74] resulting in 398 fatalities.[75] This list is incomplete; you can help by adding missing items. (October 2022) Accidents with fatalities Date Flight Fat. Surv...
  9. Mwl.RCT

    Chadema wanatoa tamko juu ya ajali iliyotokea Bukoba

  10. Kijakazi

    Ajali ya Ndege na Cheti Feki

    Walipotimuliwa wenye vyeti feki mliita ukatili, sasa mnazika na kuuguza kwa simanzi baada ya wenye vyeti feki kurudishwa kazini na siajabu kuendelea kuajiriwa, nani anajua kama marubani, wahudumu wa kwenye ndege mpaka waokoaji kama kweli walihitimu mafunzo au waliiba na kufoji vyeti? Mungu ndio...
  11. Replica

    Mtaalam wa ndege CNN: Watu 26 kati ya 43 kuokolewa ni nzuri sana kwa ajali ya ndege

    Mary Schiavo ameshika nafasi mbalimbali Marekani ikiwemo mkurugenzi mkuu wa idara ya usafirishaji Marekani na kwasasa ni mchambuzi wa usafiri wa anga kwenye kituo cha CNN. Kuhusu ndege iliyopata ajali, Mary kasema ndege za ATR ziliacha kutumika nchini Marekani kwa sababu ya ajali za mara kwa...
  12. Webabu

    Kufuatia ajali ya Precision Air tujifunze kutokana na makosa na tupongezane tulipofanikiwa

    Watu 19 wamefariki na 26 kuokolewa kwenye ajali mbaya ya ndege huko Bukoba.Innaa Lilaahi wainna ilayhi raajiuun. Kwanza ni wazi kuwa ni ajali iliyotokana na mipango ya Mwenyezi Mungu.Shirika la ndege na rubani hawana cha kulaumiwa.Zaidi ni kuwa rubani kwa haraka kabla uchunguzi anaweza...
  13. Jaji Mfawidhi

    Ajali ya Precision Air: Wanasheria wa LEAT wameonesha njia, TLS wamelala kama pono!

    1) NAWASHUKURU SANA Wanasheria wa LEAT (Lawyers' Environmental Action Team) kwa hii Taarifa yao kwa Umma (ya tarehe 07.11.2022) iliyosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa LEAT, Dr. Rugemeleza A. K. Nshala. Hii ni kufuatia Ajali ya Ndege ya Precision Air iliyotumbukia majini jana asubuhi huko...
  14. Msanii

    Ajali ya ndege: serikali isitutoe nje ya reli

    Tarehe 06 Novemba 2022 Tanzania iliingia tena kwenye majonzi na simanzi kubwa baada ya ndege ya Precission kuanguka ziwani ilipokuwa inataka kutua uwanja wa Bukoba. Tumepoteza Watu 19 huku kukiwa na sintofahamu kubwa ya namna serikali ilivyoshiriki kuokoa wahanga. Ajali hiyo imemuibua raia...
  15. INJECTION TECHNICIAN

    Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

    Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa. Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na...
  16. ndiuka

    Wachunguzi wa Ufaransa, Canada na Italia wawasili kusaidia uchunguzi ajali ya Precision Air

    Taarifa ya Kamishna Mkuu wa Ufaransa Nabil Hajlaoui inasema timu kutoka Ofisi ya Uchunguzi na Uchambuzi wa Usalama wa Usafiri wa Anga ya Ufaransa itasaidia katika uchunguzi wa ajali hiyo. Tayari timu nyingine ya washauri wa kiufundi kutoka kampuni ya Franco-Italia, ATR, imewasili nchini...
  17. crome20

    Kijana aliyesaidia kuokoa abiria ajali ya Precision Air asipewe hela

    Nimeona mkono wa Pongezi kutoka kwa RC Chalamila kwa ushupavu wa kijana mmoja aliyepiga kasia na kuingia ndani ya maji na kufungua mlango jambo lililosadia kuokoa abiria 24. Ni jambo zuri, USHAURI wangu, huyo kijana aingizwe katika jeshi kitengo cha uokozi wa majini. Itakuwa ni kumbukumbu nzuri...
  18. P

    Ajali hii imetupa kujua, wananchi si kipaombele cha viongozi wao!

    Ndiyo maana mambo yanajiendea tu ili mradi liende! Wanachokiamua huko hata kama wanajua kina maumivu makali kwa wananchi, wao wanapitisha tu! Ajali zinatokea, wao ndiyo kwanza wanakuja na viti wakae kuona watu wanavyohangaika pindi ajali ikitokea! Tukio hili Watanzania kote waliko tumekuwa...
  19. robinson crusoe

    Maafa ni ajali za aina gani ktk nchi hii?

    Waziri Mkuu Majaliwa, Asante kwa kufika mjini Bukoba haraka baada ya ajali ya ndege. Hata hivyo kuna ajali nyingi zilizopoteza maisha ya wengi kuliko hata hii ya Precision, lakini hazikupata nafasi ya kiserikali kama hii. Hazikupewa hadhi ya maafa ya kitaifa kwa uharaka. na hasa kutembelewa na...
  20. comte

    Je, yawezekana marubani wa ndege iliyopata ajali walivunjika miguu na kushindwa kusimama?

    He rushed to the scene with three fellow fishermen and helped to open the rear door by smashing it with a rowing oar which helped passengers seated towards the rear of the plane to be rescued. Mr Jackson said he then moved to the front and dived into the water. He and one of the pilots then...
Back
Top Bottom