Rais William Ruto ametangaza kuwa uwanja mpya wa Raila Odinga International Stadium, uliojengwa katika eneo la Talanta Sports City jijini Nairobi, utafunguliwa rasmi Januari 5, 2027, huku mechi inayotarajiwa kuzikutanisha klabu za Bayern Munich ya Ujerumani na AFC Ajax ya Uholanzi ikiwa sehemu...