HabariLeo?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ukiangalia kwenye account yako ajira portal kada ya ualimu unaona nini?
Hebu njoo hapa tupeane mirejesho.
Habari wakuu!
Mfumo toka jana uilikuwa under maitenance sasa leo umekaa sawa, lakini sasa kila ukitaka kulog in inakataa na mimi hapa nina vijana wengi niliwafungulia account ajira portal nina email na pasward ninazo lakini zote zinagoma sijui nafanyeje simu hawapokei! Naomba mnisaidie ni mimi...
WALIMU SOMENI HAPA
Difference Between an Aptitude Test and a Memory-Based Test
Aptitude tests and memory-based tests are used for employment assessments, but they evaluate different abilities. Here’s an explanation of both, using examples related to the education sector , such as tasks for...
Wakuu, kuna aliyepitia changamoto kama hii ya ku Log in kwenye mfumo jana au leo akakuta Under maintenance?
MREJESHO: Wakuu naona mfumo umefunguka tayari mambo yako vizuri
Habari,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Siku tatu zilizopita STATUS ilibadilika kutoka employer kuwa MDAs na LGAs hadi employer kuwa mkoa husika. Jana imebadilika status imebadilika tena na kurudi MDAs na LGAs.
Hii inaashiria kitu gani? Tuendelee kuvuta subira.
So kuna watu wanalalamika kua profile zao ni 100% lakini wakiomba kazi, application inafaili na kuambiwa waangalie vigezo.
Kama umekutana na tatizo hili basi mi nimepata suluhisho .
Kifupi ni kua ili maombo yafanikiwe, basi ni lazima uwe ume meet “minimum requirements”.
Swali, system...
Habar Wana JamiiForums nimejaribu kuingia ajira portal ili nianze kujisajiri upya ila nakumbuka zaman Sana nilishawahi kuingia hivo sikumbuki email Wala password niliyotumia kipindi hicho imeniambia nambari ya NIDA ilishatumika hapa nitafanyaje wakuu ili kujinasua katika huu mtihani.
Soma Pia...
Habar wana JF,
Naomba kuuliza hivi ukiwa una apply job kupitia ajira portal kuna haja ya kuattach CV au una preview tu details ulizojaza mwazo na kuattach.
Naomba kufahamu kuhusu hili. Kuna ndugu yangu ali update kimakosa G.P.A yake ya chuo ajira portal akaandika 2.8 baada ya 3.5.
Je, hapo kuna tatizo lolote na inawezekana ku update?
Wakuu kama ujumbe unavyosomeka hapo juu.
Niliweka vyeti original kwenye academic qualification na nikawa naomba kazi bila shida na kuitwa kwenye interview bila shida yoyote. Ilifika kipindi ilikuwa siitwi kwenye interview na kutumiwa ujumbe unaosema niweke vyeti vilivo thibitishwa na...
Habari, mfumo wa ajira portal umekua kero kwa watumiaji kwani endapo kuna kosa basi mfumo hauna optiona ya kufuta kosa hilo (hasa kipengele cha accademic qualification) pia ukiwapigia simu hawapokei unapata ujembe the caller is busy ama wanakuwekea vijinyimbo vya hovyo huku ukipoteza salio lako...
Mfumo wa Ajira Portal wa Secretariat ya Ajira ambao unapatikana katika tovuti ya Public Service Recruitment Secretariat | PSRS una changamoto kadhaa ambazo zimekuwa kikwazo kwa sisi Watumiaji wengi.
Mfumo huo hauruhusu kwa Watu wenye level ya elimu zaidi ya moja kujisajili na kuomba ajira...
Wakubwa naombeni msaada wenu.
Kaam kichwa chahabari kinavyojieleza, nimejaribu kuedit kwenye academic qualifications lakini naona vyeti vyangu bado viko vile vile, nimepiga simu huduma kwa wateja ile ya mkononi na ya mezani kwa AJIRA PORTAL ila hawapokei simu zangu zaidi yakumaliza dakika zangu...
Habari wajuzi,
Naomba msaada, mdogo wangu kapata shida ajira portal, ameattach qualification mara mbili kimakosa na anahitaji futa moja. Naomba msaada kwa anaejua namna ya kufuta.
Nina Bachelor degree of Education in Psychology, Lakini Masomo ya kufundishia nilisoma History na Kiswahili.
Cha ajabu kila nikiomba kazi ya ualimu wa History mfumo Unaandika "Failed"
Mwenye kujua suluhisho tafadhali naomba Msaada.
Nataka kuomba hizi nafasi za ajira.
Yani huu mfumo unachanganya sana watu kwa mfano kwenye kujaza sehemu ya kujaza Professional qualifications kwa watu wa fani ya ualimu hususani Bachelor Degree
Tunashida na ajira lakini mifumo yenyewe ya kuombea ajira ni changamoto sana
Eeh Mungu baba tusaidie wanao wasaka tonge
Tunakosa tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.