Nilifungua account ajira portal mwaka 2020, ila nimesahau password lakni nikienda sehemu ya forget password wanatuma zile digits kwenye namba nilizosajilia account na mimi hizo namba sina na wala sikumbuki.
Nimefanya kila mbinu niwezavyo nimeshindwa kuzipata hizo namba. Nikipiga simu kwa namba...
Habari za saa hizi wana jamvi ,
Nimejisajili na kufungua account ya ajira portal vizuri ila nlikosea kufanya usajili kwenye kipengele cha academic qualification nilikosea kujaza level ya education kwa sasa najaribu kufanya marekebisho kwenye hicho kipengele inakataa haikubali na nmejaribu...
Wakubwa tupeane elimu kidogo nataka kujua jinsi ya kudelete cheti nilicho pachika Ajira Portal. Nimeweka cheti ambacho hakiko certified.
Sasa nikitaka kukitoa hakuna option ya dellete kuna option ya view na edit basi.
Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma iangalie vizuri mfumo wa Ajira Portal unatutesa tunashindwa kutuma maombi, kila ukijaza taarifa hazifiki asilimia 70 na pia hakuna mfumo wa kubadili vyeti ulivyoviweka ili kuweka vingine.
Sijui inakuwaje na ajira zote zinatumwa huko.
Anonymous
Thread
ajiraportal
changamoto
changamoto ajiraportal
mfumo wa ajira
usajili ajiraportal
utumishi portal
Employer: Wakala wa Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT)
Job Post: TUTOR GRADE II (ENGLISH LANGUAGE
Employer: Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE)
Job Post: CURRICULUM DEVELOPER II (FINE ART SUBJECT)
Habri Aliye wahi kuomba Tutor grade ii of english for NTA level 6 pale ajira PORTAL au curriculum developer ii pale TIE kupitia ajira PORTAL Naomba anisaidie nondo na jinsi maswali yanavyo toka au kama ana maswali na notes zilizopita naomba ani save 🙏
Kwann kwenye hichinkipengele cha status kwenye app kiko hakijajazwa wakat kwenye website wamekijaza vizuri kuwa not shortlisted kwa oral.....ilaa hii aptude test bwana et nina 91 afu siko shortlisted😀🤣
Habari zenu wakuu
Kwanza nipende kushukuru aliyebuni uanzishwaji wa hii ajira portal maana imetoa fairness sana kwa walio wengi bila kujali status yako ya kiuchumi
Pamoja na hayo yote lakini kwanini mfumo unabagua sana watu?
Mtu anakidhi vigezo kabisa lakini akituma maombi system inamwambia...
Naomba kujuzwa namna ya kufuta course ambayo nimesave kwenye mfumo wa ajira portal.
Nimeweka level ya education ni diploma na nimesave but nikijaribu kufuta inakataa, lengo niombe kazi kwa kutumia level ya certificate na siyo Diploma.
Naomba mnisaidie kama kuna namna ya kufuta.
Wakuu nataka kuomba kazi ya drive Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Ila nashangaa mfumo unagoma.
Naomba tips namna ya kujaza kwenye kipengele cha "program name" na "Program category"
Bila shaka hivi vipengele ndivyo vinavyonikwamisha.
Aliyefanikiwa kuomba hii post naomba anichungulie hizo sehemu...
Wakuu habari,
Nimeitwa usaili wa IT Security hivyo nimekuja kuomba muongozo ikiwezekana possible za maswali. Kuna hatua tatu, usahili wa paper, practical na oral. Je nifanyaje niweze kufaulu?
Natanguliza shukrani
Hello, Ndugu naomba msaada kidogo, Mimi pia ni mala yangu ya kwanza kufanya application ajira portal kada ya MSAIDIZI WA HESABU II, maswali yangu ni:-
1. Majina yangu ya cheti cha kuzaliwa ni PELIUS MUKIZA LAURENT, form four na vya chuo vyote ni PELIUS M LAURENT na halafu kibaya zaidi ni kwenye...
Una kuta mtu ktk program aliyosemea ndani yake kuna courses za profession fulan lkn kama utumishi ktk education qualification wakisema wanataka B.A Y basi ni Y tu
Huu.mfumo ni wa kuutazama uendane na programs zinazo tolewa na vyuo sio kujichanganya tu.
Mfano : system akisema imwombaji awe...
Haya yakizingatiwa angalau yatasaidia kuboresa mazoezi ya usaili yanayoendeshwa na Utumishi:
1. Katika upande wa mwombaji Waboreshe utoaji wa taarifa kama kuitwa, matokeo, ratiba na mabadiliko yoyote kupitia sms kwa sababu taarifa wanazotoa kwenye website na mifumo inaweza kukwamishwa na mtu...
Habari za leo ndugu zangu.
Naomba msaada je hizi status za ajira portal zipoje. Mfano kwenye portal imeandika SELECTED FOR Oral Interview. Selected for Ina maneno ya kijani lakini kwenye website SELECTED tu no Ina kijani mengine ni meusi.
Naomba kujua nini kinajiri
Hivi hawa utumishi wapo serious kweli? Hivi wanajua maelfu na mamia ya wasaka ajira wanakwama kiasi gani kutokana na huu mfumo wao wa hovyo? hivi watu wateseke kupata elimu kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo bado waje wateseke na huu upuuzi?
Yaani kuhangaika kote kusoma halafu unafika wakati...
Sorry nilituma maombi ya kazi UDSM ila wakati natuma sikuwa nimeweka profile picha, nimeweka picha deadline imeshapita.
Je, Kunaweza kukawa na shida na kusababisha nisiwe shortlisted? Msaada wadau🙏
Naomba msaada kwenye kujaza hii ajira portal. Kila kitu nimeshaweka, pamoja na vyeti vya masomo ambavyo vimethibitishwa na mwanasheria.
Lakini mwishoni pale chini kwenye Academic qualifications, ninakutana na ujumbe unasema "You have not attached any Verification Certificate", nikigusa + hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.