Habari za muda huu wana jukwaa, leo ningependa kutoa ya moyoni kuhusu majanga yaliyonikuta katika mchakato wa kuomba kazi Serikalini. Huenda sio mimi tu bali wengi wetu yametutokea au yanatukwaza kwa namna moja au nyingine.
Nitazungumzia mambo matatu ambayo kwa maoni yangu yanapaswa kuangaliwa...
Niende moja kwa moja kwenye point. Lengo la hii mifumo ni kurahisisha process ya kuomba ajira na kuongeza umakini katika kuhakiki taarifa za mwombaji. Kwenye mfumo mtu anawajibika kuupload copy za vyeti zilizokuwa certified. Kwanini mfumo usiwe intergrated na necta directly.
Kwanini sehemu ya...
Wapendwa kama kuna aliewahi pata Hili tataizo anisaidie alivosaidiwa
Email yangu niliotumia kujiunga na ajira portal iko dis abled means siwez kuitumia je kuna uwezekana ajira portal wakanibadilishia taarifa zangu kwenda email nyingine kama kuna aliewahi pata shida kama hii anisaidie...
Hellow wakuu, mdogo wangu alitaka kuweka hapa barua ya kuombea kazi ambayo amaei type kwa computer, kui-print, kasaini kwa mkono, kisha akaipiga picha ili aiweke hapa. Kwa jinsi navyojua sisi enzi zetu barua za kazi tulikuwa tunaandika kwa mkono.
Je, ni sahihi kuweka barua iliyoandikwa kwa...
Wakuu, mfumo wa kuomba ajira wa sekretariet ya utumishi, Ajira Portal (portal.ajira.go.tz) unaonekana kutofanya kazi baada ya kutangazwa kwa ajira za PCCB na TRA.
Wahuni wameshafanya yao? :( Hii website huwa ina shida ya Security. Nimejaribu kuingia leo jioni, napelekwa kwenye server za...
Shida nini utumishi mbona sehemu nyingine delete ipo isipokua kwenye academic.
Ukikosea kidogo tu unapoteza sifa za kuomba kazi uipendayo badilisheni mtu awe huru.
Wapendwa habari!
Samahani naomba kuuliza nimekosea kujaza details za academic qualification nikajaza cheti Cha degree Mara mbili network ilikuwa inasumbua kumbe imejiupdate.
Nakuja kuangalia CV preview naona degree Mara mbili. Halafu hakuna option ya kudelete wanaojua nifanyeje wapendwa? Maana...
Job Summary
We are looking for secondary school teachers, for arts and business studies Minimum Qualification: Bachelor Experience Level: NO EXPERIENCE.
Job Description
A full-time permanent Teacher position has become available on TAIFA ONLINE EXAM to start in JUNE 2020 at MBEYA TANZANIA...
1. Kama wewe umesomea Bachelor of Engineering (B.Eng) kwa mfano umesomea Bachelor of Engineering in Mechanical Engineering/Electrical Engineering kama nafasi imetangazwa na imetaja inahitaji mtu mwenye Bachelor of Science in respective coarse my dear uki apply inagoma, and vice versa.
2. Mfumo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.