Kuna mdau hatumii JF, kachaguliwa kwenda huko Iringa, ila kaniomba nimtangazie group lake kwa waliochaguliwa kwenda huko ili mshirikiane mawili matatu wasomi nyinyi. Jiunge moja kwa moja kupitia link hii: Iringa Interview
Hatimaye mchakato wa kupata Majina ya waliofanikiwa kupenya katika Hatua ya usaili imekamilika, na Orodha hiyo tayari imetolewa ambapo mwombaji anatakiwa kuangalia status ya maombi yake katika account mtandao ya Ajira.
Aidha mwombaji anatakiwa kujiandaa vizuri katika usaili utakao fanyika baada...
Nitatolea mfano halisi ambao nimekutana nao mimi:-
Kuna kijana mmoja alijitangaza mtandaoni anatafuta kazi, amehitimu mwaka juzi kwenye mambo ya IT.
Katika kumuhoji kweli, ikaonekana ana shida ya kazi kweli kwa sababu ata kula yake ilikuwa ni ya shida.
Nikaumiza kichwa, nikaona huyu atanifaa...
Nina mashhaka nabutendaji kazi wa hii sector ni kama imekosa watu wenye upeo wa mambo
Hivi kama unahitaji watu 100 kada x halafu wahitimu wa hio kada from 2015--2017 roughly ni 20,000 wewe kwenye tangazo unasema wote waaply hadi wahitimu wa 2023 ili iweje. ,wanakuja kuaaply watu 45,000...
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kikishirikiana na Taasisi ya Confucius, hivi karibuni kiliandaa Maonesho ya tatu ya Ajira kati ya China na Tanzania baada ya maonesho hayo kusita kwa takriban miaka sita kutokana na changamoto kama vile janga la UVIKO-19. Baada ya kurejea kwake sasa maonesho...
Tanzania ni nchi yenye uchumi unaoendelea, lakini changamoto kubwa bado ni umaskini na ukosefu wa ajira, hasa miongoni mwa vijana. Katika hotuba ya hivi karibuni, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alibainisha kuwa kati ya Watanzania milioni 60, ni watu milioni 2 tu wanaolipa kodi. Hii ni...
Yani mtu kahitimu chuo ana miaka 6 ama 5 anaenda kufanya interview na watoto aliowafundisha shule kipindi yupo field ama aliowaacha shule muda mrefu
Yani mtoto kamaliza juzi chuo anaenda kula ajira kwakuwa kafaulu interview na Hana muda mrefu kumaliza chuo bado ubongo wake umejaa material ya...
UNDERSTANDING THE APTITUDE TEST IN DEPTH AND ITS USE IN ASSESSING TEACHERS
For detailed information on the Aptitude Test and how it can be used to evaluate teachers, click the link below:
Understanding the Aptitude Test and Its Role in Teacher Interviews 2024 and Other Fields:👇👇👇👇👇👇👇...
MASTERING INTERVIEW RESPONSES NATURALLY: A GUIDE FOR SECRETARIATE JOB INTERVIEWS OR ANY PROFFESSIONAL.
+255656480968
👉In a professional interview, questions should be clear, measurable, and able to be scored. The answers should also be measurable and follow specific criteria.
For example, if a...
Mzuka?
Naomba niulize wana jukwaa
kuhusu swala la overtime kwenye ajira.
Hivi overtime huwa inakuwa na makato yoyote kama Nssf au mwajiriwa anatakiwa apewe overtime yake kama ilivyo? kabla sijajichanganya kwa gabachori naomba nieleweshewe.
Tangazo kwa lugha za kichina ,mandarini, korea na kiajemi limewataka watu walio na sifa na walio na siri za yale wanayoyatafuta watume maombi ya kazi ili wafikie msimbo wa website yao.
Hii inamaa kuwa CIA sasa inapanua kufikia nchi hizo kama ilivyofanikiwa kwa urusi na hilo ni sera ya kipekee...
Sikiliza muungwana na nisikilize kwa umakini sana.
Kazi za Serikali na private sector ni ngumu sana muungwana. Wanaotoka ni wachache sana sana ila wanaotaka kuingia ni wengi. Sasa iko hivi kwako wewe ambaye unasema sina ata mtaji sasa nitawezaje?🥺😭😭😭 sasa acha kuilamu serikali muungwana mda...
Habari familia, kuja jambo linanitatiza,
kwa waliopo kwenye ajira hasa binafsi, Kuna hii Kodi ya mapato inayotokana na mshahara, aisee hii Kodi ni kubwa mno inaumiza Sana, sijajua ndo utaratibu ulipo tangu zamani ama ni mabadiliko yaliyotokea hivi karibuni?
Maana unakuta anayelipwa Gross...
Wana jamii forum naomba kuuliza ni ofisi gani inatoa ajira yenyewe bila kupitia utumishi yani wana kibali cha ajira na wana mshahara mkubwa kwa BBA ya accounting kabla ya kupata CPA
Pia ni ofisi gani ambayo interns wanalipwa hela kubwa😂
JWTZ walitoa ajira kama mara 2 hivi lakini hakuna hata moja niliyoona watu wakiitwa kwenye usaili. Ya kwanza kuna ile ambayo walitoa wakasema ni kwa ajili ya watu ambao mkataba wao umeshaisha na wapo majumbani ambayo ilikuwa mwaka jana 2023 mwishoni au mwaka huu 2024 mwanzoni kama sikosei na ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.