Huu ni utani na wananchi ambao hawana ajira. Jiji la Arusha mlifikiria hili mkiwa wazima wa afya. Enyi serikali hebu wajarini wananchi wenu kwa usawa.
Watu hawana ajira, inatokea ajira ya muda badala muwape ajira wasiokuwa na ajira mnawapa wenye ajira?Wacha tukae bila ajira Wala pesa...
Tangu kuanzishwa kwake, Tume ya utumishi wa mahakama imekuwa ikiajiri mahakimu kwa kufuata utaratibu wa michujo na kuwachagua wale waliofuzu kwa vigezo stahiki kupitia tangazo maalumu na la wazi.
Lakini tarehe 20 Septemba 2024 Jaji Mkuu wa Tanzania, aliwaapisha mahakimu 22 ambao baadhi yao...
Habari wadau. Nina ofisi inayoshughulika na uuzaji mabegi ya nguo pamoja na mgongoni jijini Mwanza. Naitaji kijana wakusaidiana nae majukukumu ya dukani
Sifa; 1) awe anajua kusoma, kuandika na hesabu za hapa na pale
2) Umri asizidi miaka 25
3) jinsia awe wakiume
4) Awe...
Kuanzia utawala wa George Bush Snr hadi utawala wa sasa, takwimu zinaonesha kwamba Democrat wametengeneza ajira nyingi kuliko Republican
Utawala wa Bill Clinton ulitengeneza ajira 23 million, Biden akiwa nafasi ya pili.
Donald Trump hizo takwimu hazimbebi.
Democrat wana nafasi kubwa ya...
Wa kutumia pesa zako ukitoa mama, ni mke wako. Msininukuu vibaya, namaanisha mke uliyemtoa usichana ukaiona damu yake. Mwisho wa nukuu.
Naungana na ndugu zangu Natafuta Ajira pamoja na R Heriel. Mke ambaye hukumkuta bikra, si wako na hatokuwa wako.
Faida nimeona nyingi sana, ingawa hasara zipo...
Leo Tanzania vijana hawana ajira,mishahara kiduchu, gharama za maisha zipo juu watu wanatekwa wanauwa,ushoga n.k
Leo uliza mshahara wa hawa askari wanaoranda mitaani kuzima maandamano lakini akuna anaehoji tunazibwa midomo na mbinu ndogo kama goli la mama
Duniani huko vijana wanakiwasha kudai...
Muhasibu wa Chanzo cha Mabango anasema wametakiwa kukusanya mapato ya shilingi bilioni 3 kwa mwaka mzima kupitia chanzo hicho.
Aidha anaelezea gharama ya kubandika matangazo kwenye gari. Inafikia mpaka sh10,000 Kwa squer feet 1.
Nakumbuka makampuni mengi sana yalikuwa na utaratibu wa kuweka...
Wakuu.
Teknolojia kwenye sekta ya magari inazidi kukua kwa kasi sana.
Ni miaka 10 tu iliyopita gari likiwa na Bluetooth, reverse camera, DVD, au cruise control ilikua vitu fancy, ila sasa hivi sio vitu vya kujivunia tena.
Magari yamekua na Teknolojia kubwa sana kumpa comfort dereva na...
Siku ya Kimataifa ya Usawa wa Malipo, inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 18 Septemba, ni siku muhimu inayolenga kuibua uelewa kuhusu tatizo la pengo la malipo kati ya wanaume na wanawake.
Hii ni fursa ya kushinikiza malipo sawa kwa kazi yenye thamani sawa bila kujali jinsia, hali inayosalia...
Kwanza imenibidi nicheke,
Ndugu yangu kaniomba hapa nimpe ushauri hasa ajaze mkoa gani kati ya iringa, morogoro na Dodoma kwa ajili ya oral interview... Yeye ni mwalimu wa Economics, sasa nikamuuliza kwani kwa ujumla mnaitajika walimu wangapi katika hilo somo?
Ndiyo ananiambia kuwa Tanzania...
Kwema Wakuu!
Nimeamini Mjini mipango. Haka kajamaa bhana kama ungebahatika kukutana nako Mwezi wa Saba mwishoni ungeelewa Kwa nini Wazazi na ndugu Zake walikakatia TAMAA.
Ungeelewa Kwa nini hata Mchumba wake alimbwaga.
Kajamaa kalikuwa kamejichokea haswa.
Moja haisomi Mbili haikai.
Sasa...
Kwa hali ilivyo hasa katika sekta ya elimu, afya, ulinzi na TEHAMA kuna uhaba mkubwa sana wa mtumishi.
Kwa nchi za Afrika hauwezi kusema kuna ukosefu wa ajira, hapana, changamoto iliyopo ni serikali hazina pesa ya kutosha kuajiri, baadhi ya sekta hasa nilizoorodhesa hapo juu kuna uhitaji mkubwa...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa Vijana wengi Duniani wanakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo elimu duni na ukosefu wa ajira, hali inayowasababisha kukosa matumaini, kujiingiza katika uhalifu...
Nimefanya kazi sehemu tofauti tofauti kwenye sekta binafsi (Kampuni).
Nimekutana na mengi kwenye makampuni. Kwa wanaitafuta ajira/ mliopo kazini kuwa makini na yafuatayo;
Kampuni nyingi zisizotoa mikataba ya kazi nyingi ni wadhurumaji.
Kuwa makini na kampuni changa hasa za waswahili. Utaishia...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuvutia wawekezaji katika tafiti na uchimbaji wa mafuta na gesi nchini ili watanzania wanufaike na rasilimali zilizopo.
Dkt. Biteko amesema hayo leo Septemba 10, 2024 wakati wa Hafla ya makabidhiano ya leseni...
Wakuu naombeni mwenye link yoyote ya kunisaidia kupata kazi anisaidie.
Nina bachelor ya Hr 2014 na masters ya hr 2022, nimekomaa kusaka ajira mara kadhaa bila kufanikiwa, nilipomaliza chuo nilipiga JKT miaka 3 Magu akatumwaga mtaani bila ajira, nikakimbizana huku na huko nikaangukia kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.