Wakubwa nilikuwa naomba kujuzwa kwa mtu aliesomea Bachelor of science In Information System GPA inasoma 3.0 na anaujuzi wa data analytics.
Anauwezekano wa kupata Ajira in goverment or private sectors?
Wakuu, kuna aliyepitia changamoto kama hii ya ku Log in kwenye mfumo jana au leo akakuta Under maintenance?
MREJESHO: Wakuu naona mfumo umefunguka tayari mambo yako vizuri
Naomba wadau na serikali tuanzishe teknolojia mpya ambayo itawezesha kupatikana kwa part time job .
Mfano Mimi ninaishi Mbagara kuanzia muda wa SAA mbili usiku nitakuwa na uhitaji wa Mwalimu wa history anifundishe topic ya colonial economy
Ninachofanya ninaingia mtandaoni katika hiyo App then...
Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi (CCM) Noah Lemburis Saputi amesema ipo haja ya wataalamu wanaoandaa vigezo vya ajira kuangalia hali za Watanzania kwani kigezo hicho hakiko sawa huku akitaka serikali kujiridhisha umri wa Mtanzania mwenye uhalali wa kuajiriwa.
Saputi ameyasema hayo Jumatatu...
Wadau hivi katika suala la kuomba ajira mpaka kwenye interview,je ukiwa unatumia AFFIDAVIT AU DEEDPOLL kutokana na changamoto ya majina.
Je, hii inaweza kuwa kama udhaifu kwako wa uwezekano wa kufanikiwa?
Log in > Nenda my Application > Employer.
Kuna watu washaanza kupangiwa sehemu za interview....
Interview ya kwanza(kuandika) utafanyia ulipoombea...
Interview ya pili(Oral)utafanyia mkoa watakayokupangia wao..
Kama uliomba masomo mawili,
Utashangaa Written ya hesabu na phy utafanyia hapa Dar...
Hii ndio tofauti ya masikini na tajiri katika utoaji wa sadaka
Masikini anaamini ukitoa sadaka unabarikiwa unapata pesa
Lakini kwa upande wa tajiri katika utoaji wa sadaka na kusaidia wasiojiweza hichi ndio anachokitafuta ushawah kujiuliza kwanini Kuna watu kila wanachoanzisha kinafanikiwa...
Wakuu habari za Leo.
Mimi hapa ni mhitimu wa diploma ya electrical engineering mwaka huu 2024. Naombeni msaada wa namna ya kupata uzoefu na ajira zinazo hususu umeme.
Mnisaidie mashirika yote binafsi na ya serikali yanayohitaji watu wa electrical ili niweze kuyafatilia yote kwani mm ni mgeni...
Kuna kazi nyingi za kufanya ndani ya Nchi na nje ya Nchi huku ikitegemea na taaluma yako uliyosomea.
Kuna watu wamepata kazi hizo kwa kupambana wenyewe huku wengine wakisubiri kusaidiwa kwa namna moja ama nyingine.
Wengine pamoja na taaluma walizonazo lakini wameamua Kusaka maarifa mengine...
So kuna watu wanalalamika kua profile zao ni 100% lakini wakiomba kazi, application inafaili na kuambiwa waangalie vigezo.
Kama umekutana na tatizo hili basi mi nimepata suluhisho .
Kifupi ni kua ili maombo yafanikiwe, basi ni lazima uwe ume meet “minimum requirements”.
Swali, system...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29,napatikana boda ya Tunduma, Elimu yangu kidato cha sita, natafuta ajira ya kuwa transporter au Agent ku clear mizigo boda ya Tunduma, nina uzoefu wa Exportation, importation na Transit Kwa miaka minne sasa.. Kazi itafanyika Kwa uaminifu.
Naombeni ajira...
Wakati mkutano wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) unafanyika mjini Beijing, wataalamu na wachambuzi wa mambo ya ushirikiano wamekuwa wakifanya mapitio ya baadhi ya miradi inayotekelezwa na China barani Afrika, na matokeo yake kwa uchumi wa nchi hizo. Kinachoonekana ni kuwa...
Wanahitajika vijana wa Kike kwa ajili ya mauzo ya mradi wa nyumba uliopo(REAL ESTATE) wilaya ya Kigamboni Dar es salaam.
TUMA C.V YAKO:sophiahamidu59@gmail.com
Ni walimu wakenya wanao fundisha kwenye shule za English Medium za Tanzania.
Wanasema ; 👇👇👇👇👇
" Zamani tulikuwa na soko kubwa Tz kwa sababu kwenye mfumo wa elimu wa Tz kulikuwa na mitihani ya darasa la 7. Lakini sasa hivi mitihani ya darasa la 7 imefutwa. Ipo mitihani ya kidato cha 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.